Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,413
- 5,318
Ilinipita hii story
🔥Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1
Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya kimila na jadi.
Lakini hii ya safari hii ilikua kidogo yakutisha. Kijiji chenyewe kipo ufukweni kabisa na kina mito miwili inapita, mmoja Kaskazini mashariki ya kijiji, huu mkubwa kiasi na mmoja mdogo unapita kusinii ya kijiji. Kwa hio kijiji ni kama kimezungukwa na maji, maana mashariki yake ni bahari ya hindi, Kaskazini mto na kusini mto. Magharibi tu ndio kuna njia ya kwenda mpaka barabara kubwa ya lami, ambayo ipo kama kilomita 3 au 4 kutokea hapo kijijini.
Safari hii ilikua ni nzito kidogo kwa sababu niliambiwa unaweza kukaa kijijini huko wiki moja au mbili, itategemea na "babu" huko ataamua kama mambo yako tayari au bado.
Nilifatana na Baba na Mama yangu kwenye gari la nyumbani mpaka hapo barabara kuu kutokea Tanga, hapo nikakuta vijana wawili wakubwa kwangu, wananingoja na baiskeli mbili, moja ya kunipakia mimi na moja ya kupakia mizigo yangu.
Mizigo yangu kweli ilikua mingi, yangu binafsi lilikua ni begi kubwa na racksack ya mgongoni, lakini kuna maboksi kama matatu makubwa yalikua ya mama akanambia haya yote mkabidhi babu yako mkifika.
Basi tukaagana pale, wao wakanambia ukimaliza kazi yako watakuleta hapa barabarani utapanda gari za kuja Tanga, sisi utatukuta Tanga, tutakuja baada ya wiki mbili, kama utakua umemaliza kabla ya wiki mbili ukifika Tanga tusubiri. Wakaondoka zao, na mimi nikapakiwa kwenye baiskeli kama abiria, na nyingine ikafungashwa ile mizigo yetu yote, ikatangulia.
Hatukuchukua muda sana, tukafika kijijini, moja kwa moja mpaka kwa babu yangu. Babu yangu tunajuana sana, na alikua ni sahiba yangu sana, ni mtu ma story ya kizamani na mimi nilikua mdadisi sana. uzuri wa babu alikua hakwepi swali lolote utalomuuliza na alikua hamumunyi maneno, anakujibu mpaka likuingie. Nilikua namshangaa sana, kwani hakuna swali lilililokua gumu kwake.
Hata niwe na swali, mwenyewe naliona gumu kweli, nikimuuliza babu ananijibu huku ananisifia "swali zuri sana hilo", ananijibu kiurahisi kabisa, mengine huwa anachukua muda kuyajibu, mtindo wake wa kuibu ulikua kama anakusimulia hadithi, anaweza akatoka kabisa nje ya swali ulilomuuliza lakini atakuhadithia mpaka utalipata jibu. Mara nyingi akikujibu basi lazima utakua na maswali mengine mawili matatu ya kuuliza. Kwa ufupi alikua anaelewa kufungua "kichwa" kwa mujibu baba yangu.
Links za muendelezo zipo chini hapo (bofya maandishi ya buluu).
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 2
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 3
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 4
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 5
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 6
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 7
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 8
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 9
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 10
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 11
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 12
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 13
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 14
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 15
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 16
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 17
Episode 2 Nilioyaona Dar.
Nilioyaona nilipoingia Dar. 1
Nilioyaona nilipoingia Dar. 2
Nilioyaona nilipoingia Dar. 3
Nilioyaona nilipoingia Dar. 4
Nilioyaona nilipoingia Dar. 5
Episode 3 Safari ya Shinyanga.
Safari yangu ya Shinyanga. 1
Safari yangu ya Shinyanga. 2
Safari yangu ya Shinyanga. 3
Safari yangu ya Shinyanga. 4
Safari yangu ya Shinyanga. 5
Safari yangu ya Shinyanga. 6
Safari yangu ya Shinyanga. 7.
Kisa Cha Adam.
Kisa cha Adam. Utangulizi 1
Kisa cha Adam. Utangulizi 2
Kisa cha Adam. Utangulizi 3
Rejea ya baadhi ya istilahi (terminologies) 1
Kisa cha Adam 1
Kisa cha Adam 2
Kisa cha Adam 2.1
Kisa cha Adam 2.2
Kisa cha Adam 2.3
Kisa cha Adam 2.4
Kisa cha Adam 2.5
Kisa cha Adam 2.6
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1

Mkuu Mwami Atale Kwa msaada wa mtandao hayo maneno ni ya kiibreania maana yake ni "Umebarikiwa wewe, Bwana Mungu wetu, Mfalme wa ulimwengu."Naomba kufahamishwa jambo:
Miaka ya nyuma nilipokuwa mdogo mzee wangu alikuwa na elim flan hivi.... alipendelea kuiita elim ya malaika!!
Alikuwa ananipa story kuhusu hawa viumbe, makazi Yao, kazi zao husika, siku zao n.k
(Kwa Imani yake alikuwa ananiambia hao n malaika!!)
Mfano alikuwa anamtaja sana METATRON na Ariel
Alikuwa anajua namna ya kuwaita... (Kipindi hicho mm nilikuwa mdogo sana, akaniambia ukikua ntakufundisha kila kitu kuhusu hii elim)
Kwasasa mzee wangu kishafariki... ila kitabu alichoandika chenye elim 80% aliyokuwa nayo kipo!!
Huwa naogopa hata kukifata maana nahisi hizo elim n ushetani 🤔
Hivi hao kina METATRON, Ariel n.k ni malaika kweli au mzee alikuwa anadeal na demons??
Maana alikuwa akitaka kuwaita anafunga week nzima, Ali vyakula vyenye roho n.k ........
Halafu maneno ya kuwaita hao viumbe n lugha ya ajabu kidogo,,,, nadhani n lugha za kale
Mfano wa hii hapa chini...
("Baruch ata adonai elohim melech haolam")
Na zingine ngumu zaidi:::::
Em sema neno hapa Arsis
Hii elim sio ya gizani kweli?
Naomba ufafanuzi zaidi.Nguvu za kila kitu za binadam ni bora zaidi.
True. Alikuwa anatumia sana Zaburi 151 (kama sijakosea)Mkuu Mwami Atale Kwa msaada wa mtandao hayo maneno ni ya kiibreania maana yake ni "Umebarikiwa wewe, Bwana Mungu wetu, Mfalme wa ulimwengu."
Sijui kama ni tafsiri sahihi au la. Ila Inaonekana mzee wako alikuwa na elimu ya vitabu hasa zenye asili ya hapo mashariki ya kati.
- Baruch ata– “Umebarikiwa wewe”
- Adonai Elohim – “Bwana Mungu” (Adonai ni jina la heshima kwa Mungu, Elohim ni neno la kawaida kwa Mungu)
- Melech haolam – “Mfalme wa ulimwengu”
Kwa ufupi, dunia yao / zao ni physically lakini zipo kwenye "dimensions" tofauti. Kuna mipaka au niseme pazia baina ya dunia zote hizo. Tofauti yake ni kama vile unapoota (subconscious) unaweza ukaingia kwenye dunia au ulimwengu mwingine (dimension tofauti bila effort.Naomba ufafanuzi zaidi.
Mwanzoni mwanzoni mwa uzi huu Arsis ulishawahi elezea kuhusu dunia kuwa zipo saba, Ya kwanza ndio tupo sisi binadamu ya pili wapo juju na majuju, ya tatu wapo majini, ya nne wapo wanyama wakubwa kama godzila na Mammoth ya tano wapo Ramadiyin.
Sasa naomba tuongee kuhusu dunia ya kwanza na ya tatu, Umesema nguvu za kila kitu za binadamu ni bora zaidi ya majini Je nguvu hizi ili tuweze kuziona au kuzihisi ubora wake kuna namna mwanadamu inabidi awe au kujiweka?
Swali la pili ni kuwa katika dunia tunayoishi wanadamu kuna maeneo ukienda utaambiwa ni makazi ya majini mfano baharini au maeneo yaliyotengwa kama misitu ,milima n.k sasa hapa utaona majini wapo katika dunia hiihii ila ni kwamba tu wengi wetu hatuwaoni, unavyosema wanaishi katika dunia ya tatu unamaanisha dunia ambayo ni physically au ni hiihii ila tu kuna pazia baina yetu na wao? kama ni dunia physically kama hii ya kwetu ina maana hawa waoishi na sisi huku wametoka huko kwao kuja huku kwetu ni ipi hukumu yao na je sisi binadamu tunaweza kutoka huku kwetu kwenda kwenye dunia yao.?
Asante hapo umezungumzia mtu kuingia kwa kuota vipi binadamu anaweza ingia physically kwenye dunia ya majini mfano kama vile ambavyo bakora alivyokuja katika dunia yetu physically kwa umbo la mtu kwenye kile kisa cha unguja cha yule daktari aliyekuwa anaumwa?Kwa ufupi, dunia yao / zao ni physically lakini zipo kwenye "dimensions" tofauti. Kuna mipaka au niseme pazia baina ya dunia zote hizo. Tofauti yake ni kama vile unapoota (subconscious) unaweza ukaingia kwenye dunia au ulimwengu mwingine (dimension tofauti bila effort.
Kuna siku nilikaa riadhw siku 3 msikitin... (Huu msikiti ulikuwa hauna movement ya watu wengi n kama ulikuwa umetelekezwa, kwahyo mda mwingi pako kimya sana)Asante hapo umezungumzia mtu kuingia kwa kuota vipi binadamu anaweza ingia physically kwenye dunia ya majini mfano kama vile ambavyo bakora alivyokuja katika dunia yetu physically kwa umbo la mtu kwenye kile kisa cha unguja cha yule daktari aliyekuwa anaumwa?
Umefanya nikumbuke kitu hapa, Ujue biblia hii ya kawaida kuna vitabu havipo ndio wanaita ''Deuterocanonical'' inajumuisha vitabu kama Tobiti,Yudithi, Baruku, Wamakabayo wa kwanza na wapili na hiyo zaburi ya 151, vitabu hivi inadaiwa vipo katika biblia ile ya kiebrania ya kale ila vilikujwa kuondolewa katika hii biblia ya sasa kwa kudaiwa kuwa ni vitabu vya heshima na si vya mamlaka ya kiroho.True. Alikuwa anatumia sana Zaburi 151 (kama sijakosea)
Kwenye Bible za kawaida Zaburi huishia aya 150, ila Kuna bible moja inafika mpk 151 hiyo ndo alikuwa akitumia kufanya maajabu.
Ni elim za kale kidogo,,,, miongon mwa Siri za Vatican ni mambo haya
Hapa ndio unakuja kuona umuhimu wa kuwa na mtu wa kukuongoza au kukupa ABC za mambo ya kiroho watu wengi sana wanapewa ujumbe kiroho kwa njia ya ndoto au maono ila kwakutokujua au kuelewa ujumbe waopewa wanajikuta wanashindwa kutatua changamoto zao, Kumbe njia ya kutatua matatizo yako unaambiwa kila siku ila ndio hivyo unakuwa huelewi.Kuna siku nilikaa riadhw siku 3 msikitin... (Huu msikiti ulikuwa hauna movement ya watu wengi n kama ulikuwa umetelekezwa, kwahyo mda mwingi pako kimya sana)
Siku ya pili kitu kama majira ya jion hivi katikati ya nyirad nikapitiwa na usingizi,,,, sasa ikawa n vision ✍️
Nikaona kwenye moja ya ukuta wa msikiti Kuna kitu kama mlango umefunguka (Kama zile movie za time travel, Yani mlango ambao unakupeleka ulimwengu mwingine.
halafu kule ndani Kulikuwa na watu wawili wamevaa kanzu, n kama gatekeeper wamesimama pembeni ya mlango mmoja huku mwingine kule.... n kama walikuwa wanasubiri niingie wafunge mlango
Jamaa alivyozungumza habari za Dimensions na muundo wake huwenda ni kweli ....
Hahaha nimekumbuka mbali kdg asee
(Japo vitu hivi vikikutokea usipokuwa na kiongoz unakuwa hujui maana yake.... )
Hapa Leo ndo nagundua kwamba Ile ilikuwa Dunia ya viumbe wengine.. ila kipindi hcho sikujua lolote🥺
Sasa tutafanyaje ndugu na unajua wenye elim ya Hakika sikuhz n wachache na hata ukikutana nao n wachoyo hawezi kukupa ujuzi wenye manufaa!!Hapa ndio unakuja kuona umuhimu wa kuwa na mtu wa kukuongoza au kukupa ABC za mambo ya kiroho watu wengi sana wanapewa ujumbe kiroho kwa njia ya ndoto au maono ila kwakutokujua au kuelewa ujumbe waopewa wanajikuta wanashindwa kutatua changamoto zao, Kumbe njia ya kutatua matatizo yako unaambiwa kila siku ila ndio hivyo unakuwa huelewi.
Mwenyezimungu atujalie ufahamu juu ya jumbe tunazopokea kutoka dimension nyingine.
Hapo jambo kubwa linalotukwamisha katika mambo ya kiroho ni hilo la maradhi ya nafsi.Sasa tutafanyaje ndugu na unajua wenye elim ya Hakika sikuhz n wachache na hata ukikutana nao n wachoyo hawezi kukupa ujuzi wenye manufaa!!
Ila pia ukiwa hauna mwalimu mda mwingine n nzuri maana elim yako inakuwa haina mipaka...... (Japo kwenye foundation lazima awepo mwalimu ila ukishapata basics n vyema ukajitafuta pekeako!!)
Mfano mtu ambaye alikuwa ndio kama mwalimu kwangu, aliyenipa basics, kwasasa nimemuacha mbali sana........ sababu yeye aliendelea kusomewa kitabu ila mm nilichagua kupita njia yenye miba nikaacha universe (spiritual realm) inifunze direct!!!
Ulimwengu wa kiroho hamna siku elim yake utaimaliza.... pia ukipendwa sana unapewa mpk elim kama zawadi.
Binaadam wengi wanamaradhi ya nafsi,,, wababaishaji ndio maana unaona elim ya Hakika inazidi kupotea siku hadi siku, sababu walojaaliwa kupewa hawafundishi wenzao
We unakitu Hakika.... Allah akuongoze kwenye njia alowapitisha waja wake wema!!Hapo jambo kubwa linalotukwamisha katika mambo ya kiroho ni hilo la maradhi ya nafsi.
Nilikuwa nasoma kitabu kimoja cha ibn Arab ''Journey to the lord of power" alielezea hatua za ukuaji wa kiroho mpaka kumfikia Muumba akianza na Kujitenga(Khalwa) alafu Toba na Kujitakasa N.k alieleza hatua kama saba hivi sasa moja katika changamoto inakuja hapa, kadri mwanadamu atakavyokuwa anapiga hatua basi hufunuliwa siri za ulimwengu kama madini, mimea ,wanyama n.k na mwisho huondolewa pazia(Veil) kati ya yanayoonekana kwa dhahiri na yaliyojificha sasa ukiwa katika hiyo safari kuna maadui wa ndani ya nafsi yako wasioonekana ambao wataanza ku-interupt safari yako maadui hao ni
Haya ndio mtu inabidi apambane nayo kuyashinda akiyashinda basi haya hugeuka kinyume chake ndio pale utakuta mchamungu badala ya kuwa na ubinafsi yeye anakuwa na Huruma(Empathy), badala ya kuwa na Kiburi yeye anakuwa na unyenyekevu (Modesty),badala ya kuwa mchoyo yeye anakuwa mkarimu (Generosity) n.k
- Ubinafsi (Self-Centerdness)
- Kiburi (Arrogance)
- Majivuno (Boastfulness)
- Uchoyo (Greed)
- Tamaa (Desire,Lust)
- Hasira (Anger)
- Chuki (Hatred)
- Uongo (Lying)
- Udanganyifu (Deception)
- Fitna (Slander)
- Kusingizia(False accusation)
- Husda (Envy) na Kujipendelea (Ego favoritism)
Tafadhali mimi ninaomba hizo nyiradi mkuuWe unakitu Hakika.... Allah akuongoze kwenye njia alowapitisha waja wake wema!!
Kuna kitu umegusa hapo.... ngoja nikupe kisa chake tena huenda ukapata kitu
Kipindi nafika Zawiyan, siku ya pili yake kabla hata sijaanza kufanyishwa taratibu yoyote...... waalimu wangu walimfata yule mwalimu wangu wa kibinaadam wakamwambia hivi
"Mtibu kwanza maradhi ya nafsi kabla ya chochote..... wakampa na nyirad anipe.
(Hii ukiitaka ntakupa!!)
Amini kwamba vita ya nafsi n ngumu kuliko unavyodhan... hapa ndipo Kuna Mungu, hapa ndipo uchamungu ulipo, Siri zote za kitwariqa zipo hapa✍️
Mkuu unaweza kufafanua kuhusu mizimu?maana inanisumbua kwelikweliWe unakitu Hakika.... Allah akuongoze kwenye njia alowapitisha waja wake wema!!
Kuna kitu umegusa hapo.... ngoja nikupe kisa chake tena huenda ukapata kitu
Kipindi nafika Zawiyan, siku ya pili yake kabla hata sijaanza kufanyishwa taratibu yoyote...... waalimu wangu walimfata yule mwalimu wangu wa kibinaadam wakamwambia hivi
"Mtibu kwanza maradhi ya nafsi kabla ya chochote..... wakampa na nyirad anipe.
(Hii ukiitaka ntakupa!!)
Amini kwamba vita ya nafsi n ngumu kuliko unavyodhan... hapa ndipo Kuna Mungu, hapa ndipo uchamungu ulipo, Siri zote za kitwariqa zipo hapa✍️
Sawa ntakupatia.... ila ni za Islamic!!Tafadhali mimi ninaomba hizo nyiradi mkuu
Kwa uelewa wangu kias.... Mizimu ni kikundi cha majini wenye mafungamano na jamii flani.Mkuu unaweza kufafanua kuhusu mizimu?maana inanisumbua kwelikweli
Namna gan naweza kupata pia hata kdg ya elimu hizi mlizo nazo?Kwa uelewa wangu kias.... Mizimu ni kikundi cha majini wenye mafungamano na jamii flani.
Mizimu huwa na mafungamano yasiyo ya kidini na jamii husika, Imani za kale ndio zilitoa nafasi au katiba au formula ya jamii kuishi na mizimu kwenye maisha ya kila siku...... lakini kutokana na mambo kubadirika jamii nyingi sikuhz zimepoteza elim ya Hakika kutokana na ujio wa dini, usasa n.k
Hvyo watu wakatelekeza huo ubia uliopo enzi na enzi bila kujua kila ushirika huwa na mikataba!!
Watu wengi sana wanateseka na hili swala na wamekubali kwa kuhofia mizimu n ushetani... taratibu zao haziendani na Dunia ya Leo, taratibu zao haziendani na mambo ya kidini n.k
Kwahyo mizimu inapitia changamoto ya kukataliwa kila Leo na watu wao... hvyo ndo ugomvi unaanza hapo, na mwanaadam ili uweze kumcontrol ili akubali jambo lako kwa ridhaa yake lazima umshike kwenye furaha yake na uchumi wake
(Ndo utaona watu wengi wengi wenye ugomvi na asili zao huwa na hali ngumu kimaisha, magonjwa n.k)
Mizimu n asili yako... hawa hawahitaji kitu chochote kutoka kwako zaidi ya kutaka kukutumia kuwasaidia ndugu zako!!
Hili ndio kundi ambalo huwa wanataka kuona umefanikiwa bila mashart yoyote, wenyewe wanachotaka n wapate makazi tu!!
Nimetoa maelezo ya faida zao sabb n upande ambao huwa wengi hawaugusi.... wanaeneza mabaya tu!!
Note: Hawa jamaa sio mashetani na wala sio Babu zako waliokufa zamani!!
Dini kageuka n adui mkubwa sana wa hawa jamaa, sabb wadau wa dini kutokuwa na elim na ulimwengu wa kiroho mafundisho Yao yamekuwa n opposite na uharisia..... wao kazi Yao n kutafsiri maandishi✍️
Kitu kimoja watu wasichokijua n kuwa mizimu inaweza kubadirika baadhi ya taratibu zake kutokana na mtu au wakati!!
Nimeeleza kwa ujumla ili upate picha kubwa