komunisti
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,353
- 1,937
Duu aisee tutapona kweli?Kwa uelewa wangu kias.... Mizimu ni kikundi cha majini wenye mafungamano na jamii flani.
Mizimu huwa na mafungamano yasiyo ya kidini na jamii husika, Imani za kale ndio zilitoa nafasi au katiba au formula ya jamii kuishi na mizimu kwenye maisha ya kila siku...... lakini kutokana na mambo kubadirika jamii nyingi sikuhz zimepoteza elim ya Hakika kutokana na ujio wa dini, usasa n.k
Hvyo watu wakatelekeza huo ubia uliopo enzi na enzi bila kujua kila ushirika huwa na mikataba!!
Watu wengi sana wanateseka na hili swala na wamekubali kwa kuhofia mizimu n ushetani... taratibu zao haziendani na Dunia ya Leo, taratibu zao haziendani na mambo ya kidini n.k
Kwahyo mizimu inapitia changamoto ya kukataliwa kila Leo na watu wao... hvyo ndo ugomvi unaanza hapo, na mwanaadam ili uweze kumcontrol ili akubali jambo lako kwa ridhaa yake lazima umshike kwenye furaha yake na uchumi wake
(Ndo utaona watu wengi wengi wenye ugomvi na asili zao huwa na hali ngumu kimaisha, magonjwa n.k)
Mizimu n asili yako... hawa hawahitaji kitu chochote kutoka kwako zaidi ya kutaka kukutumia kuwasaidia ndugu zako!!
Hili ndio kundi ambalo huwa wanataka kuona umefanikiwa bila mashart yoyote, wenyewe wanachotaka n wapate makazi tu!!
Nimetoa maelezo ya faida zao sabb n upande ambao huwa wengi hawaugusi.... wanaeneza mabaya tu!!
Note: Hawa jamaa sio mashetani na wala sio Babu zako waliokufa zamani!!
Dini kageuka n adui mkubwa sana wa hawa jamaa, sabb wadau wa dini kutokuwa na elim na ulimwengu wa kiroho mafundisho Yao yamekuwa n opposite na uharisia..... wao kazi Yao n kutafsiri maandishi✍️
Kitu kimoja watu wasichokijua n kuwa mizimu inaweza kubadirika baadhi ya taratibu zake kutokana na mtu au wakati!!
Nimeeleza kwa ujumla ili upate picha kubwa