Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

GOOGLE Translate: Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mgawanyi wake hageuki katika mambo, wala hachagui, wala hashughulikii Jina la Mwenyezi Mungu.”
Hio translation ya google haitarjimu vizuri, ngoja Sheikh Lidafo atufanyie tarjama.
Simba.
 
Yani Mungu akuumbe halafu akuchome moto? Wewe unaweza kumchoma moto mtoto wako? Siamini hili.
Mimi staki kuingilia majibu ya maulamaa humu, nasubiri na mimi nipate elimu ya majibu kwa swali lako hilo zuri sana.
Simba.
 
LITAFAKARI KWA KINA HILO TUNDIKO SIMBA...

Lina ufunguo fulani ya kheri kwako wewe kama 'mtu'...

Hmmm
Sawa Sheikh mose.

Ulipoongelea clean heart ndio ukanikumbusha kipande hicho cha aya za Qur'an. Fupi lakini zimesheheni ujumbe mkubwa sana.

YAANI MOYO SAFI NDIYO 'MPANGO MZIMA'...

Zungumza na 'MOYO wako'--Si kiumbe kingine chochote; Ndivyo utaongea na 'Malaika' na 'Wakuu Kiroho' walio ni khasa...

Mambo ya Moyo ndiyo khasa ushughuliko wa 'Rizayati'...

Kwenye Rizayati hakuna 'Stori' wala 'Mada';

Utu wa kiumbe chochote chenye usentienti, konsayansi na Ufahamu huunganika na 'Mungu/ALLAH/Chazo' kupitia 'Moyo'...

Sasa Moyo ni metafo ya 'Hisia' na 'Kujisikia'; lakini 'imosha' na 'mafikara' ndiyo nasibu ya 'Kujiwazia UTU' katika Usentienti, Konsayansi na Ufahamu.

Hmmm
 
Naam. Bado nasimama kwenye hilo.
Simba.
Ungetoa elimu simba kivipi ni shirk ? Maana wenyewe wanasema ni majina ya mwenyezimungu kwa lugha ya kisriania tena wengine ni masheikh kabisa, Binafsi nilivyoyasikia kwa mara ya kwanza nikasema mpaka nipate uhakika kweli ni majina ya mungu au shirki ndio nitayafanyia kazi, Tufafanulie kidogo watu wasije fanya shirk wakijua wanamuomba Allah.
 
Kuna jambo hapa ningependa niliongelee kidogo kutokana na mshiriki mmoja kusema kuwa haamini mungu anaweza kumchoma moto aliyemuumba

Je hayo yanayotokea duniani mfano palestina na israel,mauaji ya wazee,wanawake na watoto wasio na hatia,je mungu hayaoni?

Hayo yanayotokea huko kongo machafuko na watu kuuwawa je mungu hayaoni?

Hayo yaliyo tokea ruwanda, watusi na wahutu na watu karibia milioni moja kuuwawa,je mungu hakuyaona?

Ukimchukulia mungu kuwa kama wewe kwakuwa una huruma na hisia utaona kuwa mungu hawezi kumchoma mtu,tambua mungu amekamilika kwa kila sifa na hafanani na mtu yeyote yule,kwahiyo anafanya lolote apendalo

Lakini pili je hao ambao wanaua wenzao,kunyanyasa wenzao na wanafanya dhuluma kila kukicha je hawastahili adhabu?

Je wanao fanya shiriki na madhambi makubwa makubwa je hawastahili adhabu?

Vipi kuhusu hao ambao wanakana kuwepo kwa mungu ambaye amewaumba wao,je unafikiri hawastahili adhabu?

Kifupi ni hivi mungu hufanya atakalo bila kujali matokeo yake na hana sifa kama za binadamu,yeye ni wapekee na mambo yake ya kipekee kabisa
 
Hio translation ya google haitarjimu vizuri, ngoja Sheikh Lidafo atufanyie tarjama.
Simba.
Arsis Jamiix Hayo maneno ni dua nzuri sana kwa ajili ya kujikinga na madhara na ubaya. Ntajitahidi kuweka maana yake.
KIARABU - بِسْمِ اللَّهِ الَّذِي لَا يَضُرُّ مَعَ اسْمِهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلَا فِي السَّمَاءِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ
YANAVYOTAMKWA - "Bismillahi lladhi la yadurru ma'a ismihi shay'un fil-ardi wala fissama'i wa huwa as-sami'ul-'alim."
ENGLISH TRANSLATION -
In the Name of Allah, Who with His Name nothing can cause harm in the earth nor in the heavens, and He is the All-Hearing, the All-Knowing.
TAFSIRI YA KISWAHILI - "Kwa jina la Allah, ambaye, Kwa jina Lake hakidhuru chochote kilicho ardhini wala mbinguni, naye ni Mwenye Kusikia na Mwenye kujua."

Tafsiri ya Maneno​

  • بِسْمِ اللَّهِ (Bismillahi) - Kwa jina la Allah
  • الَّذِي (alladhi) - Ambaye
  • لَا يَضُرُّ (la yadurru) - Hakidhuru
  • مَعَ اسْمِهِ (ma'a ismihi) - Kwa jina Lake
  • شَيْءٌ (shay'un) - Kitu
  • فِي الْأَرْضِ (fi al-ardi) - Katika ardhi
  • وَلَا فِي السَّمَاءِ (wala fissama'i) - Wala mbinguni
  • وَهُوَ (wa huwa) - Naye ni
  • السَّمِيعُ (as-sami') - Mwenye kusikia
  • الْعَلِيمُ (al-'alim) - Mwenye kujua/maarifa

Tafsiri ya Jumla​

Dua hii inasema kwamba, kwa jina la Allah, jina Lake linatoa kinga dhidi ya madhara yoyote katika ardhi na angani, kwani Yeye ni Msikivu na Mwenye maarifa yaani mwenye kujua..
 
safi sana,ila mkuu umesahau kitu kimoja muhimu hiyo aya inapatikana katika sura gani na aya ya ngapi?
 
Kwako arsis kupitia kwa simba nina rafiki yangu ambaye anataabika na maradhi kwa muda mrefu amekuwa mtu wa kulazwa hospital akitoka hata wiki alazwa tena hospital. Na kikubwa kwamba ugonjwa wake kila daktari anakuja na majibu yake mara ngiri, mara ana uvimbe kwenye ini mara anavidonda vya tumbo, mara ana saratani na hali ya ugonjwa wake imepamba moto baada ya kupata ajira ya kudumu siku za karibuni. Mpaka muda huu ninapoongea wewe tumbo limevimba na hawezi kutembea. Ni baba wa mtoto mmoja ameoa kwa ndoa. Sasa kwa kupitia karama uliyopewa na mwenyezi Mungu na kupitia viumbe vyake bakora na Arsis nipate kujua huu ugonjwa ni wa hospital au ni wa kichawi na nini kifanyike ili swahiba wangu huyu aendelee na shughuli zake
 
Kitu kingine cha kujifunza hapa wasomaji wa huu uzi,tukubaliane kutokukubaliana kwa baadhi ya mambo tu na wala haipunguzi ukweli wa mambo,yaani ukweli utabakia kuwa ukweli tu,ila kwa kuondoa ubishani tukubaliane kutokukubaliana

Mfano mtu anasema malaika waliasi,mtu kama huyu ni kumkubalia tu lkn ukweli unajulikana,mtu anasema imani fulani haitambui uwepo wa viumbe fulani ni kumwacha tu aamini kwa yale ambayo yanafurahisha nafsi yake ingawa ukweli ni tofauti na matamanio yake

Tuendelee kujifunza zaidi

Asante
Mkuu usilazimishe mambo,
Ukristo na uislamu ni dini mbili tofauti.
Hapa wakristo tunajifunza ya upande mwingine. Ila kwenye Bible hayapo.
 
Ungetoa elimu simba kivipi ni shirk ? Maana wenyewe wanasema ni majina ya mwenyezimungu kwa lugha ya kisriania tena wengine ni masheikh kabisa, Binafsi nilivyoyasikia kwa mara ya kwanza nikasema mpaka nipate uhakika kweli ni majina ya mungu au shirki ndio nitayafanyia kazi, Tufafanulie kidogo watu wasije fanya shirk wakijua wanamuomba Allah.
Kwa ufupi. Hayo ni majina kwanza yaliandikwa na Ahmad AlBuni kwenye kitabu chake Shams Al Maarif... Kitabu hicho jinsi kilivyokua na mambo mazito, wengi wakakiita cha uchawi.

Ahmad Al Buni alikua msomi mkubwa wa Kimisri, wengine wanasema asili yake ni Algeria. Haijsalishi.

Katika kufatilia na kuchunguza hayo majina, 28 ikagundulika kua ni majina ya Miungu ya Kimisri ya zamani na hata Wayhudi wengine walimini hivo. Al Buni mweywe na vitabu vingine vinavyounga mkono kitabu hicho kama vile kitabu, nacho kinabeba jina la Shams Al Maarif... vinasema hao walikua hawana lugha ya kutofautisha makhadim wa siku miungu, ndio wakyaita majina ya miungu. Hayo majina ni kila siku na jina lake kwa mujibu wa Al buni. na Wengine wamesema ni kala siku ya juma sio kila siku ya mwezi.
Vyovyote iwavyo haijalishi.

Sisi Waislam kila kinachohusishwa na kufanya miujiza nje ya Mwenye Mungu kukishiriki inakua ni shirk. Tunaamini muujiza ni wa Allah pekee.

Nahisi panatosha kuanzia kujibu swali lako.
Simba.
 
Kitu kingine cha kujifunza hapa wasomaji wa huu uzi,tukubaliane kutokukubaliana kwa baadhi ya mambo tu na wala haipunguzi ukweli wa mambo,yaani ukweli utabakia kuwa ukweli tu,ila kwa kuondoa ubishani tukubaliane kutokukubaliana

Mfano mtu anasema malaika waliasi,mtu kama huyu ni kumkubalia tu lkn ukweli unajulikana,mtu anasema imani fulani haitambui uwepo wa viumbe fulani ni kumwacha tu aamini kwa yale ambayo yanafurahisha nafsi yake ingawa ukweli ni tofauti na matamanio yake

Tuendelee kujifunza zaidi

Asante
Kweli kabisa, mambo kama hayo ndio ikaletwa Qur'an kuweka sawa palipopotoshwa.
Simba.
 
Je anakuchoma bila sababu?

Ndiyo hayo ninayosema kuna baadhi ya mambo tukubaliane kutokukubalina
Christian doctrine, Yesu alisurubiwa msalabani kwa ajili ya zambi zetu.

Yesu ndio njia ya uzima na kweli, ukibatizwa na kumfuata una uzima wa milele, haya ndio mafundisho ya Biblia, habari za motoni motoni hata ukimsikia mchungaji anahubiri ni kutisha watu tu lakini ukweli na msingi wa Ukristo tumetakaswa na damu ya Yesu.
 
Mkuu usilazimishe mambo,
Ukristo na uislamu ni dini mbili tofauti.
Hapa wakristo tunajifunza ya upande mwingine. Ila kwenye Bible hayapo.
Kweli kabisa lakini yeye ameongelea kuhusu malaika Kuasi, hayo sio mafundisho ya Kiislam.

Waislam tunaamini malaika wanamtii Mwenyezi Mungu kwa kazi zao walizopangiwa na hawawezi kuasi wala kuzikataa wala kubishana.

Kwenye kisa cha Adam, tutakiona tunavyoendelea nacho kuna Waislam wamefikia kuonesha mpaka malaika wanabishana na Mwenyezi Mungu. Kitu ambacho hakiingii akilini. lakini Waislam wengi wanatumia story za biblia kuitafsiri Qur'an, wanashindwa kuelewa kua hivyo ni vitu tofauti kabisa.

Mimi ni Muislam na nakubaliana na wewe kua Ukristo na Uislam ni vitu viwili tofauti, tena nasema Uislam ndio dini, Ukristo sio dini ni imani ya watu.
Simba.
 
Arsis Jamiix Hayo maneno ni dua nzuri sana kwa ajili ya kujikinga na madhara na ubaya. Ntajitahidi kuweka maana yake.
KIARABU - بِسْمِ اللَّهِ الَّذِي لَا يَضُرُّ مَعَ اسْمِهِ شَيْءٌ فِي الْأَرْضِ وَلَا فِي السَّمَاءِ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ
YANAVYOTAMKWA - "Bismillahi lladhi la yadurru ma'a ismihi shay'un fil-ardi wala fissama'i wa huwa as-sami'ul-'alim."
ENGLISH TRANSLATION -
In the Name of Allah, Who with His Name nothing can cause harm in the earth nor in the heavens, and He is the All-Hearing, the All-Knowing.
TAFSIRI YA KISWAHILI - "Kwa jina la Allah, ambaye, Kwa jina Lake hakidhuru chochote kilicho ardhini wala mbinguni, naye ni Mwenye Kusikia na Mwenye kujua."

Tafsiri ya Maneno​

  • بِسْمِ اللَّهِ (Bismillahi) - Kwa jina la Allah
  • الَّذِي (alladhi) - Ambaye
  • لَا يَضُرُّ (la yadurru) - Hakidhuru
  • مَعَ اسْمِهِ (ma'a ismihi) - Kwa jina Lake
  • شَيْءٌ (shay'un) - Kitu
  • فِي الْأَرْضِ (fi al-ardi) - Katika ardhi
  • وَلَا فِي السَّمَاءِ (wala fissama'i) - Wala mbinguni
  • وَهُوَ (wa huwa) - Naye ni
  • السَّمِيعُ (as-sami') - Mwenye kusikia
  • الْعَلِيمُ (al-'alim) - Mwenye kujua/maarifa

Tafsiri ya Jumla​

Dua hii inasema kwamba, kwa jina la Allah, jina Lake linatoa kinga dhidi ya madhara yoyote katika ardhi na angani, kwani Yeye ni Msikivu na Mwenye maarifa yaani mwenye kujua..
Swadakta,nime kusoma vizuri,na ni tafsiri nzuri na pana bila kujali ni dini gani.
Asante sana
 
Christian doctrine, Yesu alisurubiwa msalabani kwa ajili ya zambi zetu.

Yesu ndio njia ya uzima na kweli, ukibatizwa na kumfuata una uzima wa milele, haya ndio mafundisho ya Biblia, habari za motoni motoni hata ukimsikia mchungaji anahubiri ni kutisha watu tu lakini ukweli na msingi wa Ukristo tumetakaswa na damu ya Yesu.
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom