- Thread starter
- #3,121
Inabidi kua mwanagalifu sana, bila mabinti, uasherati na zinaa ni uchafu kwa imani zote. hata wasio amini Mungu.Huu uzi umenifanya niwe na mtazamo tofaut kidogo na hawa wanawake na mishangazi na mabinti wanao jitanda tanda baibui au kuvaa mahijab na ma abaya..😂😂
Nimeanza kuwaona kama wana vuvuli vivuli tu vya majini kama vibuki flan hiv kila nikikutana nao, nakaa kwa tahadhari 😆😆😆.
Kuna mmoja leo chombo kikali almanusura ni make a move , ila kuona tu kavaa ushungi ,nikakumbuka hii stori nikajituliza 😅
Simba.