Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 673
- 1,625
Huwezi pinga hili.Yaan hata maneno yako yanaonesha haujiamini na kujikubali...kuna watu unaona ni Bora zaidi yako so unakuwa na shobo nao...
Trust yourselves bro...Haya mambo ya kuishi ukiwa unajistukia sio mazuri kwa maendeleo binafsi....na vijana wengi wa Arusha mna ili tatizo...ndo maana mnajiingiza kwenye bang, kuolewa na vibibi...kuiga umarekani ambao hata hao wamarekani wanajithidi kuusolve..nk nk
Obhe nang'hoHio ya kuongea kilugha wakidhani wote ni wahapo ipo sehemu nyingi sana Tz si Mwanza tu !
Safi sana, umetanabaisha maisha halisi yalivyo mtaani hapo Mwanza.Wakuu wazima?
Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza
1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza.
2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers.
3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British).
4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha.
5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k.
6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)
Asanteni wakuu
Labda ulikuwa Goma, maana unayoyasema hayapo Hapa Mwanza!Wakuu wazima?

SemaMwanza kei ya 2,500 nzuri sana kwa dar ungepigwa 50,000
Hujaenda kwa zumaridi?Wakuu wazima?
Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza
1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza.
2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers.
3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British).
4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha.
5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k.
6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)
Asanteni wakuu
Nyanguge
Nyambiti nyanshiski
Ahahaah wewe bila shaka mtu wa Arusha, hata ukisema jiji ni Dar tunakubali lakn haiondoi uhalisia kuwa Arusha ni chamtoto kwa MwanzaArusha cjui iliwakosea nin watu wa Mwanza, ikumbukwe hapa TZ jiji ni moja tu Bongo Dar es salaam
Olasiti Burka huko mitaa yangu[emoji3][emoji3]Wazee wa Olasiti mbona mmechafukwa??
Hahahaaaaaaa
Moja kati ya vitu naipendea Mwanza haina matukio ya uhalifu makubwa na vibaka vibaka, Wasukuma ni wakarimu sana nawakubaliUzuri wa mwanza ni watu wake aiseee, mwanza mjini unatembea usiku bila wasiwasi kabisa yaani mwanza ni the best.
Hii kweli kanda ya ziwa nao wabadirike aiseee hasa Wasukuma, hii sehem niliyopanga kuna wasukuma kama 2 hivi, ikifika Jmosi basi nikupiga nyimbo zao yaani kelele masauti ya juu tafu mbaya zaidi sijui nyimbo zao wanarekodia studio gani hazina melody nzuri hazina nini sauti zimekaa kaa vibayaMkuu kanda ya ziwa n balaaa yaaan kilugha popote....alafu wakiona ww hujui lugha yao wanakuita kwa jna la kabila lao
Wasukuma popote mlipo mlipweee. Ni watu poa sana.Moja kati ya vitu naipendea Mwanza haina matukio ya uhalifu makubwa na vibaka vibaka, Wasukuma ni wakarimu sana nawakubali
Chuga stand upOlasiti Burka huko mitaa yangu[emoji3][emoji3]
Hio ni battle mpyaWewe unazungumzia Mwanza, sasa Arusha inahusikaje?
Tayari battle ushaanza uzi umebadirika rangiMwanza hua ni nzuri bana, ndoto za watu wa Arusha ni kuishi na kuwekeza mwanza hauwezi the kusikia msukuma anawaza kwenda arusha afadhali aende ifakara, lindi, chunya, kigoma, mpanda, sumbawanga, madibila, rujewa, ubaruku, ambapo atalima na kufuga au kuchimba dhahabu , kuliko akateseke arusha
Rangi ya uzi umebadirika hapa6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)
Wanacheza nini Ngoma ?Sahihi Toka ukanda wa Singida wanacheza mbele na nyuma nilishangaa sana mara ya kwanza