Ni kweli, wananchi wanaongoza kwa ujinga sana Taifa hili. Connection ina thamani kuliko mambo ya maisha yao. SMH..Na wananchi pia wamejaa ujinga na hivyo kutwa nzima wanajadili ujinga tu. Mfano Moira, koneksheni, n.k
Danganya totoSerikali imepunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kufidia tozo tuache kulalamika tozo zimesaidia kuimarisha sekta muhimu ya afya na elimu
Ni Masharti ndiyo yanawafanya wawe na roho mbaya ila moyoni wananumia Sana ila watafanyaje sasa?.
Masikini peke yako.Wewe ni maskini, kukataa wewe sio maskini Ni sawa na kukataa wewe sio mwanaume.
Uhalisia haukimbiwi bali unapaswa kupambana nao
Mtu anayeukumbatia umasikini kama mtaji wake, ataendelea kuwa hivyo hadi kifo.Hakuna umasikini mbaya Sana Katika dunia ya Leo Kama umasikini wa fikra
Kuna kiongozi mmoja alipiga picha na bibi mmoja ameweka umeme wa Tanesco kwenye nyumba ya udongo. Hawa viongozi hawana muda wa kumkwamua mtu wa chini ili awe na maish mazuri bali kumdidimiza ili awe masikini. Kuna Clip mmoja ya yule mzungu. Nilimuelewa sana. Yule bibi kazi aliyobakiza sasa hivi ni kusafiri tu mara yupo Kenya, yupo Uingereza kwa kodi na tozo za watanzania.Mh. Samia apaswa kujua eti, mwanangu na hilo nendeni mkalitizame, sio kauli ya kiuongozi.
Kama siyo tozo kwanini bei ya bidhaa na huduma zimepanda mara 2?Mkuu nikisema upande mwingine hizi tozo tunazizingizia sana but ukweli kama tunataka kulikomboa taifa inabidi tuchek how we can save big money for our people na sio hizo petty monies
Katika hio transaction hapo tozo hazifiki buku but kama serikali ikiwekeza heavily kwenye kilimo na ufuguaji hao waTz wengi zaidi wataweza tengeneza pesa kubwa zaidi ya hio
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Wewe maskini uliyejificha nyuma ya fake ID, kuwaza wewe ni tajiri ni upumbavu. Pambana utoke kwenye umaskini Ila sio ujifanye tajiri na kufake hutafika kokote.Masikini peke yako.
Mimi nimeshatoka huko shimoni uliko, tena kwa nguvu zangu alizonijaalia Mola.
Usifikiri tuko sawa.
Hii ndio point/hoja ya MSINGI sana ndg yangu Beberu .........................but kama serikali ikiwekeza heavily kwenye kilimo na ufuguaji hao waTz wengi zaidi wataweza tengeneza pesa kubwa zaidi ya hio
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa hata hajadili mada, anatukana wengine tu kwamba maskini. Sijui ana shida gani?!Wewe maskini uliyejificha nyuma ya fake ID, kuwaza wewe ni tajiri ni upumbavu. Pambana utoke kwenye umaskini Ila sio ujifanye tajiri na kufake hutafika kokote.
Sio wabunifu kabisa.Tatizo wa nafikiri hatuna moyo, atuoni wala atusikii kwa vile wanavyitufanyia ila
Nakumbushia zawadi ya benzi ya shilingi milioni 450 aliyopewa Rais Mstaafu Mwinyi hivi ile hela ilikuwa ya umma au ilikuwa ni kutoka mfukoni mwa mtu binafsi? nyumba za Marais wastaafu , magari ya bei mbaya ,misafara ya hatari kwenye ziara , posho za hatari, vyeo lukuki visivyo na tija ,mfano Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu ,Baraza kuubwa la Mawaziri etc, etcJapo Dunia inapitia changamoto sana ambazo zinaathiri karibu kila Taifa, lakini ni wkt tuchukue maamuzi ya kiuongozi, kufunga mikanda wote .
Sio kuwafunga mikanda wananchi na mitozo, huku wao viongozi wakiendelea kununuliana magari ya kifahari kwa hela za maskini.
Duh! Tuna watu wenye raha, hapa Tz. Unaishi wapi ndg? Ingependeza ungetembea vjjn uone waTz wanavoishi. Hiyo sekta ya afya ni majengo tu, hakna dawa ambzo hata bima ya afya inapata shda nazo ktokana na ghrama.Serikali imepunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kufidia tozo tuache kulalamika tozo zimesaidia kuimarisha sekta muhimu ya afya na elimu