Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Focustz na Ugumu wangu ni Verified Matapeli......

Ubaya wa JF,, mtu anaweza kuacha kutumia ID hio aliyofanyia utapeli,, na akajiunga na nyingine.... Na utakuta yupo hapa na yeye ana comment anamtukana tapeli ilihali yeye ndio tapeli mwenyewe...

Jeiefu ni ngumu sana...
😂 😂 😂
 
kuna kale ka msemo kana sema " survival of the fittest " yaani kuwa nature haitaki viumbe wazembe, strong one ndo anapewa fursa ya kuishi.Pole kwa yaliyokukuta ila hapo ukubali tu umekosea na umeadhibiwa na nature.

Ko siku nyingine jitahidi kuwa muangalifu hili usiadhibiwe tena mkuu hii ni dunia na kila kiumbe kina njia yake ya ku survive iwe kwa njia haramu au halali maana nature haitambui kama umeonewa or not.

Kuwa makin siku nyingne ili usije kupata hasara tena, ila natumai umejifunza kitu.
Komenti yako imenikosha sana mkuu, ila nature kupitia karma inaweza kurudisha majibu kwa yule aliyefanya ubaya
 
Yule Hamna ushahidi wa moja Kwa moja wa utapeli

Bali ni u much know ndo tuhuma zake
Alikuwaga ananifurahisha maana comment zake mimi nlikuwa nazitafsiri kama ana ubabe wa kiume. Sikuwahi mchukulia labda much know au aje nilikuwa namwona tu mtaftaji maana alikuwa anapenda changia hata harakati za kiume.
Jf bwana watu wakikuchanjia unahama
 
Kama ni mwanaume kweli,na ukashindwa kumla Wangari Maathai,basi wewe sio mwanaume,hakuna mwanamke MWEPESI na chicken head kama yule dada sasa! Unaweza kumla popote hata kwenye boda boda,analewa hadi anashindwa kuelewa kalala na nani?? Aibu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuchora
Screenshot_20220423-212120.jpg
 
Yaani aliuwa mshkaji lakini sasa hivi sitaki kuona hata simu zake.
Mie sitaki bana, ushkaji wa kurudishana nyuma siutaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Odo...hela inauma jamani...
 
Kilitokea nini lugalo, mrejesho ulinipita ila hiyo habari ya kuuguliwa na mtoto niliiona.
Alileta picha za mtoto akidai ni mtoto wake ameungua, anaomba mchango. Picha huwezi kuziangalia mara mbili.

Kila mtu humu alisikitika.... kumbe mtoto si wake, hayupo Lugalo wala nini[emoji23] Na sijui picha alizitoa wapi jamani..
 
Labda niseme jambo muhimu sana.
Huyu ukimweka kwenye kundi la matapeli moja kwa moja hafiti.
Mimi naweza kumuita ni omba omba.
Kwangu alikuwa anakopa na kurudisha.

Na hata senti ndogo alizoomba labda hakurudisha wala siwezi kumuita eti amenitapeli.
Nilishajua alivyo kwa hiyo nilichokuwa nampa nilihesabu kama sadaka hata asiporudisha haikunipa shida.
Pili aliwaweza watu wengi sababu naye akizipata aliwaweka watu kikao na kuwahudumia.
Hapo ndipo aliwaweza mabinti wengi wa humu[emoji28][emoji28]
Sijui kwa upande wa mbususu kuwa wangapi aliwaweza lkn ni mtu mwenye uwezo mkubwa kuwaweka watu kati.
Na wengi humu anawajua kwa sura.
Naomba hela Boss wangu[emoji23]
Kipande hii mambo kwa ground siyo poa...
 
Back
Top Bottom