Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

CONTROLA boss nimekuita huku kuna vimaneno vichafu chafu iwe iwavyo kwangu utabaki kuwa Boss na Kiongozi kwangu.
Mdogo angu nakwambia daily,haya maisha hayahitaji u react ktk kila kitu

kuna mambo utayasikia/utayaona/utafanyiwa lakini jibu lake ni "ukimya"

si kila kitu chakutolea maelezo,wanadamu hutaka kusikia wanachotaka wao TU.
 
Wangari ugomvi wake na jinsia pinzani ni papuchi.
Wanataka papuchi yake waje wamuanike na yeye anajihami anakula nauli haendi.
🤣🤣🤣 sasa hapo utapeli ukwapi?
shida iko hapa

wamekosa selfie za kupost humu wakiwa wanakulana km walivomuharbia yule wa mshana na smart
 
Unajua ruwaza?

Id ya Controla inakuja kujibu huu uzi saa 10:27.

Id ya Yuda Iskariot inakuja kucounter argue hoja ya controla tapeli saa 10:45.

Id ya Rosicky inakuja kusupport id ya Yuda iskariot saa 10:47.

Hizi comments zinakuja soon baada ya id ya controla kua tagged, ila wakati haijawa tagged na imetajwa mara nyingi hakuna id yoyote kati ya hizi tatu iliyotoa utetezi juu ya id ya controla.

Tukifuatisha ruwaza tunasema hizi id tatu zinashare interests so hizi id tatu ni za mtu mmoja au ni za watu watatu wanaoweza kutumiana link na kuambiana twende tukajibu comment which is unlikely so tunabaki na jibu la kwanza.
hii koment nzito halafu inapotezewa ila imeonekanaaaaa sana bila hata ya kutumia microscop
 
Mi ni hiyo tu ulinitumiaga wewe mara moja [emoji23][emoji23][emoji23] nyingine hamkunishirikisha hivi siku hiz anatumiaga id gani?
Mimi tulikua tunatoana kiukweli japo yeye ndo alikua ananitoa zaidi. Wewe ulibahatika ile mara moja. Hata sijui kwa kweli mara ya mwisho alinicheck WhatsApp akaniambia atanitafuta ndo sijui aliishia wapi

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Wangari ugomvi wake na jinsia pinzani ni papuchi.
Wanataka papuchi yake waje wamuanike na yeye anajihami anakula nauli haendi.
🤣🤣🤣 sasa hapo utapeli ukwapi?
Ana yule alikuwa tapeli bana ..Kuna story yake ilishaandikwa huku na jamaa mmojaa hivi anamjua vizuri sana huyu bidada ..kama utakumbuka Kuna Uzi uliletwa huku Kuna jamaa alitapeliwa 5k na mwamba mmoja, Sasa Wangari akawa ana mdefend huyo tapeli ..baasi wee, acha watu wafunguke kuhus yeye dah noma sana 😂🤣
 
Wangari ugomvi wake na jinsia pinzani ni papuchi.
Wanataka papuchi yake waje wamuanike na yeye anajihami anakula nauli haendi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa hapo utapeli ukwapi?
Na wanamsifiaga ni chombo ukute ni hasira tu za kupotezewa baada ya kutongozana

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Ana yule alikuwa tapeli bana ..Kuna story yake ilishaandikwa huku na jamaa mmojaa hivi anamjua vizuri sana huyu bidada ..kama utakumbuka Kuna Uzi uliletwa huku Kuna jamaa alitapeliwa 5k na mwamba mmoja, Sasa Wangari akawa ana mdefend huyo tapeli ..baasi wee, acha watu wafunguke kuhus yeye dah noma sana 😂🤣
Bwana weee porojo zao hakuna aliyetapeliwa na wangari.
Wanalilia kitu kingine kabisa 🤣🤣🤣
 
Ana yule alikuwa tapeli bana ..Kuna story yake ilishaandikwa huku na jamaa mmojaa hivi anamjua vizuri sana huyu bidada ..kama utakumbuka Kuna Uzi uliletwa huku Kuna jamaa alitapeliwa 5k na mwamba mmoja, Sasa Wangari akawa ana mdefend huyo tapeli ..baasi wee, acha watu wafunguke kuhus yeye dah noma sana [emoji23][emoji1787]
Kilichomponza kwenye hii story ilikua kuside na tapeli hali mazingira yote yanaonyesha kijana wa watu alipigwa. Ni kama tu wanaume huku walikuaga wanamtafutia angle ajae siku moja.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom