Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Kweli wanaume tumebaki wachache duniani. Mwanaume hawezi kusema hivi kuhusu binti.

Wewe ni mwanamke tu. Njoo PM nikukague mwezi ujao nikuletee posa huko dodoma. Njoo PM mke wangu mtarajiwa
Ni kweli huu ni upuuzi. Huyu jamaa ni mpuuzi. Ukimkuta mwanaume anatangaza kutembea na mwanamke fulani, huyo ni dogo hajakua. Hana anachojua juu ya uanaume. Mwanaume hata ukiliwa nauli unapotezea. Yaelekea ametafunwa yeye nauli tena ya boda.
 
Nasubiria kupewa mbinu shem..
Nataka mwezi huu nikushushie kitu kizito[emoji23]
He he he!
Kunitapeli shem, sahau! Nitakupa tu, ila sasa za kukupa xiko wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We subiri tu...kuna watu sidhani kama kwenye kumbukumbu wanatoka kirahisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwamba za kunipa zitatoka wapi? Shem wewe!!!![emoji23]
Hapo mwishoni nimekumanya vyema[emoji23]
Nipe basi kabla sijakutapeli[emoji23]
 
Alileta picha za mtoto akidai ni mtoto wake ameungua, anaomba mchango. Picha huwezi kuziangalia mara mbili.

Kila mtu humu alisikitika.... kumbe mtoto si wake, hayupo Lugalo wala nini[emoji23] Na sijui picha alizitoa wapi jamani..
Ahaaaa kuna mambo humu???
 
Back
Top Bottom