Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,490
Inategemeana na nani ni Malaika wa zamu sku hiyo.Nyie sijui nani atawapokea aisee😂
Kama ni Malaika Gabriel au Michael au Josep (Pep) tutajua sku hiyo
Inategemeana na nani ni Malaika wa zamu sku hiyo.Nyie sijui nani atawapokea aisee😂
Hapa unazungumzia the most expensive sports team ever to be sold.🤣🤣🤣
Ngoja kwanza ofa zinamilike baba mtumishi
Tusichaniane mikeka tafadhali...ujue nikikosa hiyo,siwezi vaa jezi yako ya chelshit😀
Inayopigwa Hadi na Asenali?Hapa unazungumzia the most expensive sports team ever to be sold. Expensive
NitaandamanaInategemeana na nani ni Malaika wa zamu sku hiyo.
Kama ni Malaika Gabriel au Michael au Josep (Pep) tutajua sku hiyo
Ile ilikua helping hand tu kwa majirani zetu wa pale uingereza tauni (london) ili nao waingie top 4Inayopigwa Hadi na Asenali?
Halafu mtu hana hata hela ya sabuni ya kufua boksa yake kuuu kuu .yuko busy kutukana masingle maza humuWanaune wa humu mbona mna njaa hivi[emoji2297][emoji2297][emoji2297] mnatapeli watu wenye shida kweli bila hata aibu!!
Kiongozi wa Malaika (jiwe) unajua kabisa hakua fan wa maandamano.Nitaandamana
Aliyekuuzia bangi Leo hajakupiga hela.Kiongozi wa Malaika (jiwe) unajua kabisa hakua fan wa maandamano.
Utaja fungwa jela huko mbinguni
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌Halafu mtu hana hata hela ya sabuni ya kufua boksa yake kuuu kuu .yuko busy kutukana masingle maza humu
Dah maneno ya wakosaji😂Ile ilikua helping hand tu kwa majirani zetu wa pale uingereza tauni (london) ili nao waingie top 4
PlantAliyekuuzia bangi Leo hajakupiga hela.
Amekupa OG kabisa.
SawaPlant
Sema 'plant' not bangi
Put some respek to its name
Tayari.Sawa
Endelea kuvuta
Haha ngoja nkutengeneze mchongoWanaume wa dar wana shida .wanawaza tu utapeli
Sasa amechukuaje hela ndogo hivo
Hyo si ela ya chai tu
Akafie mbele huko
EhHalafu mtu hana hata hela ya sabuni ya kufua boksa yake kuuu kuu .yuko busy kutukana masingle maza humu
Tuwasamehe tu maana tushajua sababu.Halafu mtu hana hata hela ya sabuni ya kufua boksa yake kuuu kuu .yuko busy kutukana masingle maza humu