Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,496
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pepo ipi mbona hakuna pepo ya matapeli???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pepo ipi mbona hakuna pepo ya matapeli???
Mkuu hapa kwa hii andiko basi tegemea masononeko kwa ma she wa apa Jf watajikuta wameumizwa kinoma wakati umesema ukweli😂😂😂😭Kama ni mwanaume kweli,na ukashindwa kumla Wangari Maathai,basi wewe sio mwanaume,hakuna mwanamke MWEPESI na chicken head kama yule dada sasa! Unaweza kumla popote hata kwenye boda boda,analewa hadi anashindwa kuelewa kalala na nani?? Aibu sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo jamaa ana makasiriko yake 😂😂😂😂Na juzi alimuanzishia uzi akidai alimpa nauli akala mods wakaufuta
Na huko M...ga alipo sasa wasipokuwa macho atawapa za uso ohoo!Ndiyo alikuwa ananipa, nami nampa.
Hata kwenye biashara ni mshauri mzuri sana, alinisaidia wakati naanza mwanzo kabisa.
Alikuwa ananipa nimuwekee, maana ana matumizi mabovu, ananipa kilo kadhaaa labda ikifika tarehe fulani anaanza kuniambia nimtumie kidogo kama buku ten au 15 kila siku.
Lakini sasa unamuamini mtu, unampa kazi ya watu unampa na malipo hafanyi, mbaya zaidi anataka ummalizie na balance, nisingeshtuka alikuwa anachukua 800,000 hivi hivi.
Juzi alinicheki alisema amepata kazi mahala, hana nauli anaomba nimkopeshe akipokea salary atanilipa, nikamuambia waeleze maboss watakusaidia.
Akasema hawezi, na haaminiki sehemu yeyote walau mimi ndo naweza msikiliza.
Lakini hapana, alinifanyia kitu kibaya sana.
Sio hapa jukwaani shem...😁Kwamba za kunipa zitatoka wapi? Shem wewe!!!![emoji23]
Hapo mwishoni nimekumanya vyema[emoji23]
Nipe basi kabla sijakutapeli[emoji23]
Huyu dada muacheni sasa, kama damu yake ya kunguni lakini inatosha aisee, kwamba kila mtu kamla?..too muchKama ni mwanaume kweli,na ukashindwa kumla Wangari Maathai,basi wewe sio mwanaume,hakuna mwanamke MWEPESI na chicken head kama yule dada sasa! Unaweza kumla popote hata kwenye boda boda,analewa hadi anashindwa kuelewa kalala na nani?? Aibu sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh umeongea kwa uchungu sanaSasa elfu 20 unapeleka wapi? Unaenda kutoa kabisa kwa wakala elfu 20 mwanaume mzima?.
Acheni uvivu hakii hizo ni nyota za kimaskini sana yaani
Anatuona sisi kenge kama yeyeKwaiyo jamaa ana makasiriko yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Type sabosabo ilikuaje mkuuNa ukute wakati anatapeli yupo bar.
Nimemkumbuka sabosabo
Una moyo nzuri sanaNilifanyakazi ofsi flan, mteja mmj akawa hakuridhishwa na huduma alivyopewa na sekshen yangu ina access na shida yake. Aliomba ikiwezekana atatoa kiasi Cha Fedha. Akaitanguliza pesa kama hiyo hiyo20. Kiukweli Kuna wakati hata pesa ya Lita 2 petrol unakosa. Akanitumia nikainunua wese.
Baada ya Muda akapata service. Nilimrejeshea 20,000. Akahoji Kwa nn umenituma 20? Nikamwambia sio rushwa sawa.. umenipa Asante lkn nafsi ilinisuta nikajiona nipo kifungoni.. Hadi Leo pamoja na Kuwa nilirejesha, bado nakosa amani.
bro please usinihusishe na masuala hayo kabisaUnajua ruwaza?
Id ya Controla inakuja kujibu huu uzi saa 10:27.
Id ya Yuda Iskariot inakuja kucounter argue hoja ya controla tapeli saa 10:45.
Id ya Rosicky inakuja kusupport id ya Yuda iskariot saa 10:47.
Hizi comments zinakuja soon baada ya id ya controla kua tagged, ila wakati haijawa tagged na imetajwa mara nyingi hakuna id yoyote kati ya hizi tatu iliyotoa utetezi juu ya id ya controla.
Tukifuatisha ruwaza tunasema hizi id tatu zinashare interests so hizi id tatu ni za mtu mmoja au ni za watu watatu wanaoweza kutumiana link na kuambiana twende tukajibu comment which is unlikely so tunabaki na jibu la kwanza.
Humble alflufanyaje??alafu mda sana sijamuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nyuzi humu zikiletwa utacheka ulie..
Mimi hadi leo sijawahi kuusahau ule uzi wa Humble African alivyofanywa..
Nimejaribu kuutafuta ila siuoni. Sasa sijui mods walikuja kuufuta..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio hapa jukwaani shem...[emoji16]
We sema wapi na lini, nipo tayari kabla ya mwisho wa mwezi[emoji1787]
Deal!🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa..
Golden fork Sinza unaonaje? J4 ya kesho kutwa...Ile mida ya futari[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Deal![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inategemea shem🤣🤣 unipange mapema shem...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitatapeli chochote halali yangu..