Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Usinichekeshe bwana,mimi sitaki kucheka.

Kweli matapeli ni noma aiseee..anatapeli 20k ya mwanachuo!!!
Ni sawa na wewe leo unitapeli mimi elfu 10 baba
Njoo nikutapeli hela za sadaka mama mchungaji
 
On serious note; Jamaa huwa ana idea nzuri sana..
Kuna Uzi wake Fulani wa biashara kumi ndogo nadhani huwa nautafuta siupati.

We may get something there 😉
Biashara hatuwezi

Ukiendelea kuchukua buku 7 daily hapo lumumba tukaunganisha na hizi napata kwenye mboga mboga tunaweza mvua mdogo angu Mlolongo tupasso twake.

Na sie tutembee tumekaa kama watumishi wenzetu akina lusekelo, Mwaipaja, Mwaigoti, Mwaipaya na akina Mwaikiuno
 
Chizi wewe😂😂😂😂
 
Wangari ugomvi wake na jinsia pinzani ni papuchi.
Wanataka papuchi yake waje wamuanike na yeye anajihami anakula nauli haendi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa hapo utapeli ukwapi?
Kama ni mwanaume kweli,na ukashindwa kumla Wangari Maathai,basi wewe sio mwanaume,hakuna mwanamke MWEPESI na chicken head kama yule dada sasa! Unaweza kumla popote hata kwenye boda boda,analewa hadi anashindwa kuelewa kalala na nani?? Aibu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umemla mkuu hii comment yako haina utu kabisa 🤔
 
Baba Don wetu huyo ametupa ofa wana kop ya jezi ati
Usije chana mkeka ofa yangu ikiharibika baba😂
Tumuombee

Ni mtu mzuri.

Binafsi namuelewaga sana yule mwana. Mtu safi sana.

Anahitaji tu kupata msaada wa ku acknowledge weakness yake.

Then sasa akishakubali ana weakness, apate mwongozo (sio wa Smart 😆) namna ya kujitibu
 
Kama ni mwanaume kweli,na ukashindwa kumla Wangari Maathai,basi wewe sio mwanaume,hakuna mwanamke MWEPESI na chicken head kama yule dada sasa! Unaweza kumla popote hata kwenye boda boda,analewa hadi anashindwa kuelewa kalala na nani?? Aibu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani khaaa
 
Tumuombee

Ni mtu mzuri.

Binafsi namuelewaga sana yule mwana. Mtu safi sana.

Anahitaji tu kupata msaada wa ku acknowledge weakness yake.

Then sasa akishakubali ana weakness, apate mwongozo (sio wa Smart 😆) namna ya kujitibu
🤣🤣🤣

Ngoja kwanza ofa zinamilike baba mtumishi

Tusichaniane mikeka tafadhali...ujue nikikosa hiyo,siwezi vaa jezi yako ya chelshit😀
 
  • Dislike
Reactions: Pep
Back
Top Bottom