Nilivyotapeliwa na mwanaJF huyu bila huruma

Kuna scenario nyingine hapa, you never know. Huenda pia mleta mada akaja kwa namna nyingine ill apate sympathy toka kwa wanajf wenye huruma sana. Hili chaka kwa sasa siliamini hata kidogo.
 
Mwanamke hawezi kuwa tapeli, akiwa tapeli basi ni mjinga. Unakuwaje tapeli walati Me akikutangazia kukuzimikia anakutumia na ya kutolea. Sisi ndio lazima tuwe na mbinu nyingi za ku suvive.
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Kwahiyo unatumaga na ya kutolea[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mwanamke hawezi kuwa tapeli, akiwa tapeli basi ni mjinga. Unakuwaje tapeli walati Me akikutangazia kukuzimikia anakutumia na ya kutolea. Sisi ndio lazima tuwe na mbinu nyingi za ku suvive.
Sasa umu wakituma nauli usipoenda wabakuambia tapeli.
 
Kuna scenario nyingine hapa, you never know. Huenda pia mleta mada akaja kwa namna nyingine ill apate sympathy toka kwa wanajf wenye huruma sana. Hili chaka kwa sasa siliamini hata kidogo.
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Rafiki yangu anasemaga hela yake anailinda hata ikiwa kwenye wallet kila mara anaichungulia[emoji23][emoji23][emoji23]
Anaomba hela kwa kutia huruma ukiwa na roho nyepesi unampa.... nashukuru malaika mlinda wallet yangu aliekua zamu siku hiyo
 
Back
Top Bottom