amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Labda alifanya confirmation through the phoneNyete alitetewa humu kuwa Ni kweli Ana mgonjwa na MshanJr.
Akisema alihakikisha kwamba Ni kweli nyete Ana mgonjwa!
Labda alifanya confirmation through the phoneNyete alitetewa humu kuwa Ni kweli Ana mgonjwa na MshanJr.
Akisema alihakikisha kwamba Ni kweli nyete Ana mgonjwa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe hadi kuna watu wana gono humu?
Yaani hatari kweli[emoji2297]Hahahaaa kuna wengine wanatapeli mpaka wanawake humu Kwa kigezo cha mapenzi
😂😂😂😂😂Hayo hatusemi aise. So unaona hata hawa wanaishia tu kutueleza walivyotapeliana Ila hayo mengine yanabaki kapuniuseme yote lakini usije ukaweka ya chumbani hapa 😂 utakuwa umeniuaaa!
Sasa Kwa nini hawaendi kujitibia?Kumbe hadi kuna watu wana gono humu?
Huyo atakuwa tapeli Mkubwa; Kwa nini Anakula nauli?Tulikubaliana nimtumie 65,000 aje Dar nimgonge (nimtombe) kisha aende kwa msela wake Chanika...
Akanizimia data hadi leo.
Huyu sio Tapeli? Bladfuck!
Kweli nduguFocustz na Ugumu wangu ni Verified Matapeli......
Ubaya wa JF,, mtu anaweza kuacha kutumia ID hio aliyofanyia utapeli,, na akajiunga na nyingine.... Na utakuta yupo hapa na yeye ana comment anamtukana tapeli ilihali yeye ndio tapeli mwenyewe...
Jeiefu ni ngumu sana...
Ndiokuna kale ka msemo kana sema " survival of the fittest " yaani kuwa nature haitaki viumbe wazembe, strong one ndo anapewa fursa ya kuishi.Pole kwa yaliyokukuta ila hapo ukubali tu umekosea na umeadhibiwa na nature.
Ko siku nyingine jitahidi kuwa muangalifu hili usiadhibiwe tena mkuu hii ni dunia na kila kiumbe kina njia yake ya ku survive iwe kwa njia haramu au halali maana nature haitambui kama umeonewa or not.
Kuwa makin siku nyingne ili usije kupata hasara tena, ila natumai umejifunza kitu.
KabisaYaaaani!!!!
Mtu ana matatizo bado kumuongezea matatizo mengine tena...
Inawezekana ni mchezo wake huyo..hizo 20 anawaliza watu wengi, mbali na hapa JF...
Mimi nadhani ifike mahali Uongozi wa JF uangalie namna ya kuwaadhibu hawa watu...Kwa njia yoyote ile..
Huyu huyu alonitapeli au?Tena huyo jamamimi sikuwahi kumjaji kabisa, na nilisimama nae kipindi kile.
Weee alinipiga laki 3...
Nikampotezea mazima mpaka leo.
Juzi kati akanicheki tena ana shida eti atanilipa mwisho wa mwezi, haaminiki sehemu yeyote walau mimi naweza msikiliza.
Rafiki yetu mimi na Mzigua90 .
Kabisa dawa ni kumuanika tuNinadhani sisi wadau humu wa JF inabidi tumchangie huyo tapeli kwa kazi kubwa sana aliyo ifanya, sio jambo rahisi kwa sasa kutapeli mtu online kwasababu mbinu zote ziko wazi na kila mtu amesha kua mjanja na kuwajua utapeli ukoje , sasa kuweza pata mtu na kumtapeli basi ni ujasiri na ujanja mkubwa wa hai ya juu , hiyo ni hazina na inabidi itumike vizuri na sio kuipoteza .
sio yule stock ^controla manager chief president of business forum😅😅Yule jamaa huwa anamwaga nondo za fursa, hadi viungo vya chai alivitolea mchanganuo wa fursa 🙄