Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,521
Ndio huyo huyo sasa mzee wa assist, kapotea sijui ana id mpya[emoji2297][emoji2297]Don.
Ndio huyo huyo sasa mzee wa assist, kapotea sijui ana id mpya[emoji2297][emoji2297]Don.
Ndiyo 🤣🤣🤣🤣 .[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila amu!!! Si ndiyo alikuwa Mzee wa assist huyu?
Dada kiziwi naomba nikutapeli tafadhaliDhambi sana!
Kwakweli inabidi hiyo nayo ianzishiwe kodi maana wamezidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani nilicheka sana.
Nikajua labda kuna kodi mpya ya utapeli [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani kuna yule mzee mtei wa jf haukusoma ile thread huwa nacheka hadi kesho
Hahaha walio sema hii nchi ngumu sana hawakukosea aise[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanashinda kwenye nyuzi za magari kupondea magari ya wanaume wenzao kumbe yupo sebuleni kwa shemeji yake anatapeli wanafunzi elfu 20
ile thread huwa nacheka jamani, mzee mtei wa dar huyo, anatoa koneksheni za kuwa usalama wa Taifa😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah!!! Nimeukumbuka...
Basi nimejiuliza kulikoni Mtei tena hapo jamani?
JF ina matukio hii[emoji28]
Dada kwanini unanitukana matusi makubwa hiviNakuambia utakuta ni yeye maana anapenda tumia shida za wenzake kujipatia tujisent.
Yule falla ana mwili mkubwa ubongo wa minyoo.
We jf walivyo na midomo na wanavyomchukia huyu dada wa watu angekuwa aliwahi kutapeli mtu pangechimbika mbona!! Wangemuanzishia nyuzi mia mia. Ila sijui aliwafanya nini walah, kuna mahali aliwashika vibaya sio bure!! Maana hizi chuki ni too much.Niliwahi kuuliza swali mahali kama hilo kuhusu Wangari sikupata jibu...
Wengine wanamchukia kwa chuki zao Binafsi tu...
🤣🤣🤣🤣 wewe huwezi kuwa sabosabo.Dada kwanini unanitukana matusi makubwa hivi
Alikutapeli nini Mkuu?Mimi hapa.
Heeeee hivi kumbe ile ni ID yake??? kumbe angenipiga sema tu nini namie ni mchoyo wa hela zangu 😂😂😂 alitaka mkopoNdio huyo huyo sasa mzee wa assist, kapotea sijui ana id mpy[emoji2297][emoji2297]
Yaani mimi na ubongo mdogo uliojaa minyoo aise tusi kubwa sana hili 😀😀🤣🤣🤣🤣 wewe huwezi kuwa sabosabo.
Wanasababisha hata wale wenye hela zao waonekane akina kidukulilo tu[emoji1787][emoji1787]Ule ubillionea wao hadi pesa mbuzi wanatapeli
Wewe ni mgumu kutapeliwa nimekuomba mbususu umenitolea nje mwaah 😀Heeeee hivi kumbe ile ni ID yake??? kumbe angenipiga sema tu nini namie ni mchoyo wa hela zangu 😂😂😂 alitaka mkopo
Kiasi kisichoumiza sana, ila inategemea sasa umemtapeli nani. Mwanafunzi hiyo ni kubwa sana aisee[emoji2297][emoji2297]Weeee!!!
Sikujua...Hizo ID si bado zipo humu?
Ndiyo...Yeye alikuwa haombi zaidi...
Utasikia ni'assist 30 Mkuu....blah blah..
Kumbe hadi humu kuna watu wana gono?Bora wewe umetapeliwa 20K.
Kuna mtu huku alitapeliwa 200K, akaliwa utamu kimasihara, akambiwa ana gono lisilotibika na vitisho juu Kwamba atamjua yeye ni mtu mbaya kiasi gani na akashtaki popote anapojua.😡😡
Such a menace and savage humanoid 😡😡
Yaani unamtapelije mtu mwenye shida zake za kumtosha tayari!![emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umechafukwaaaa