kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,563
- 5,170
Niko nafanya consultation nione naanzia wapi kwakweli, Kama watu wameliwa 10 Mimi ni nani hadi nikae kimya😃😃😃😃😃
Mimi nimekula nauli ya ATC na bado umenikaushia Mh! huo uzi njoo uuanzishe wasap tafadhali!