The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,114
- 48,715
Wako very strategic.Sasa dents wa chuo wanaweza enda sehemu classic km hyatt. Johari rotana, elements? Etc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wako very strategic.Sasa dents wa chuo wanaweza enda sehemu classic km hyatt. Johari rotana, elements? Etc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sampa he!!Sampa he!!
Keshasema hataki low value, he is into high quality stuffs. Hawezi changia sehem na watu wa hadhi duni.
Mshauri aende kwa wenye bei za juu huko watakua wachache na wanaomudu ni watu wa hadhi yake.
Zingatia anamiliki silaha na gari, siku hiyo aliamua tu apande daladala na licha ya kuwa na silaha, alishawapa taarifa masela waje ku rescue in case mtu mwenye silaha akitaka kuzidiwa na mateja...
2007 ulikuwa first year! 🙄Umenikumbusha mbali sana kuhusu kimboka. 2007 wakati nipo first year tuliwahi kuibuka hapo
Pale guest ilikua sh.2000 na dadapoa nae 2000, jumla buku 4 tu. Mazingira ya mule ndani guest yalikua machafu sana.
Ukisogea pale sokoni kulikua na sewa bar, napo pia hivyo hivyo
Amini nakwambia, ukiona mwanamke yeyote, ana akaunti insta fb nk, familia picha zake ukiona kapiga picha kageuza matrako kwenye kamera, au anaonesha viungo hata kama kajistiri, bro kahaba huyo achana na mambo eti ni anajiheshimu mkuu hii biashara inafanyika Kwa akili kubwa sana, huwezi kuelewa kama hujajimix na hao viumbe, eti mke wa mtu eti muheshimiwa wewe stuka dunia inakuachaHii biashara ni kubwa mno na mbaya zaidi watu hawajanielewa. Siku hizi njia ni nyingi ikiwemo hiyo ya kuwa na biashara geresha na maisha fake mtandaoni ili wapewe dau kubwa.
Kuna wengi mjini wana wake wauzaji ila hawajui. Inasikitisha
Yeah, nimekula chumvi kidogo😅2007 ulikuwa first year! 🙄
Darasa la saba na kidumu mkononi 😅Yeah, nimekula chumvi kidogo😅
2007 ulikua level ipi? Sec? Primary?
Duh nimekupiga gap flani hivi la umri😅Darasa la saba na kidumu mkononi 😅
Mahii kuna kitu hujakijua wee, unaweza ukawa uko kwenye hiyo fields, ila amini nakuambiaa kupata danga la maana ni bahati na ngekewa,Najua huwezi amini ila wanaweza wakipata kampani na siku hizi issue zimekuwa rahisi kwa sababu ya mtandao, madalali wanawachagua kirahisi insta na tiktok. Na kingine sio kila mara hao madon wanakuwa 5 star hotels kuna restaurants, lounge, events etc
Nimekaa kwenye industry flani ya kudeal na freelancers na influencers. So nawaelewa vizuri
Ila nisifichue mengi nikaja kukamatwa [emoji16][emoji16]
Ndiyo Kwetu, Ndaza maana ake hiyo.Hii idea umetoa wapi[emoji3061]
Si ndioo.Wako very strategic.
Definitely! 32…Duh nimekupiga gap flani hivi la umri😅
But now utakua upo kwenye early 30's
Kwa nn ulihisi ntakua wa 90's?Definitely! 32…
Nimekuwa concerned sababu nilikuwa nadhani wewe nawe 90’s Sikuwahi fikiria hata kidogo kama 2007 ungeweza kuwa first year.
Nadhani nilijudge hivyo kwa namna ambavyo una-interact na watu humu, marafiki zako wa humu etc ….Kwa nn ulihisi ntakua wa 90's?
Mm ndio kwanza nagonga 40
Bado 40 nyingine sina mpango wa kufa Leo wala kesho😅🤣
Nakuwaga najizima data tu, si unajua humu kuna muda hutakiwi kutumia akili sana😅🤣Nadhani nilijudge hivyo kwa namna ambavyo una-interact na watu humu, marafiki zako wa humu etc ….
Njegere iliyolala siku 2 au 3 hivi na ukiipika inaweza isiive. Wauza njegere mitaani ndo msemo waoKumbe ndaza ninini maana yake mahi.?
wewe unaona hiyo laki mbili na hamsini ni kubwa sana kwa level yako uliyoisema humu?sasa mkuu 250k ni ndogo?
Kumbe bado mtoto m-bichi kabisaDefinitely! 32…
Nimekuwa concerned sababu nilikuwa nadhani wewe nawe 90’s Sikuwahi fikiria hata kidogo kama 2007 ungeweza kuwa first year.