Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

Kimboka,kote kule ungekabwa tu ukaibiwa.
Hicho kibastola unacho hujui kutumia, na hutakiwi kwenda nacho kwa maraya..
Wewe umeenda na bastola na upwiru wako.kutawanya wale ni sekunde tu.
Fanya kitu kimoja kwa wakati sahihi,
Huyo bibie mi nakwambia nishawai kuwa na malaya kibao.
Malaya anauza puchi yake, nyumbani anaweza kukulea wewe
miaka gani hiyo mkuu ulikuwa unatembelea area zile?? usalama mdogo sana.
 
Huko wala hakutishi , tembelea kwenye vyuo vikuu, nizaidi ya huko kimboko mara 10
 
Amini nakwambia, ukiona mwanamke yeyote, ana akaunti insta fb nk, familia picha zake ukiona kapiga picha kageuza matrako kwenye kamera, au anaonesha viungo hata kama kajistiri, bro kahaba huyo achana na mambo eti ni anajiheshimu mkuu hii biashara inafanyika Kwa akili kubwa sana, huwezi kuelewa kama hujajimix na hao viumbe, eti mke wa mtu eti muheshimiwa wewe stuka dunia inakuacha

Kumbe bado mtoto m-bichi kabisa
Miaka 32 huyo ni lishangazi
 
Me hii research nliifanya mwenyewe practically kuanzia mikoa ya kaskazini
Arusha - shivas
Moshi - Malindi
Dar es salaam
Sinza africasana
Sinza maeda
Sinza kitambaa chaupe
Riverside
Uwanja wa fisi
Mwananyamala kwa wahaya
Kinondoni vijana
Kinondoni B ben pub
Sokota - sugar ray bar
Temeke sudan
Tandika
T.I.A geti la uelekeo wa darajani
Mbagala kisuma bar
Mbagala darlive
Bururuni kimboka
Buruguni sheli
Tabata the great
Mbezi mwisho bar ya lubumbashi
Goba lastanza
Unachotafuta kote huko ni nini?
 
Mbona
Me hii research nliifanya mwenyewe practically kuanzia mikoa ya kaskazini
Arusha - shivas
Moshi - Malindi
Dar es salaam
Sinza africasana
Sinza maeda
Sinza kitambaa chaupe
Riverside
Uwanja wa fisi
Mwananyamala kwa wahaya
Kinondoni vijana
Kinondoni B ben pub
Sokota - sugar ray bar
Temeke sudan
Tandika
T.I.A geti la uelekeo wa darajani
Mbagala kisuma bar
Mbagala darlive
Bururuni kimboka
Buruguni sheli
Tabata the great
Mbezi mwisho bar ya lubumbashi
Goba lastanza
Kwanini Dsm ina maeneo mengi sana ya maafisa utelezi, inaonekana hii ajira ina wateja sana kwenye hicho kijiji cha karibu na bahari.
 
Post ya mei 22, 2026. Inaonekana mtoa mada umeenda kimboka ivi karibuni. Lakini hii post ni chai chai ya rangi.. Kimboka miaka hii ni sawa na haipo, baada ya ujenzi mbalimbali na safishasafisha maeneo yale kimboka imebaki stori tu.
 
Back
Top Bottom