Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

Hivi mjini watu wanapata madon kwa kujipanga barabarani coca?? [emoji16]
Wajifunze kwa sanchi, Posh Queen, Sishkiki, Nifer [emoji16][emoji16]

Hata hivyo Sitaki kuliongelea sana
Sasa dents wa chuo wanaweza enda sehemu classic km hyatt. Johari rotana, elements? Etc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sampa he!!
Keshasema hataki low value, he is into high quality stuffs. Hawezi changia sehem na watu wa hadhi duni.

Mshauri aende kwa wenye bei za juu huko watakua wachache na wanaomudu ni watu wa hadhi yake.

Zingatia anamiliki silaha na gari, siku hiyo aliamua tu apande daladala na licha ya kuwa na silaha, alishawapa taarifa masela waje ku rescue in case mtu mwenye silaha akitaka kuzidiwa na mateja...
unanionea mkuu kwa namna ulivyoandika
 
Chai. Hii wazee. Eneo la kimboka lishakufa. Sahvi kuna bar inaitwa kalembo. Na haina wateja kabisa. Na eneo hilo limekua eneo safi sana maana barabara imepita mbele. Madada poa hawazidi kumi. Na wengi wao hutumia guest inaitwa agivea iko kwa ndani. Ambayo ni ya mdogo wake marehemu kimboka mwenyewe anaitwa mzee mushi. Kimboka si ile tena. Pamekua pakistaarabu. Hakuna boda nyingi usiku. Zaidi eneo lile usiku wapo watu wanachoma nyama safi za pumbu sijui nundu na mapande. Huyu ni muongo.
Na hawa malaya wa vyumba wamebaki kule kwa wahaya buguruni sokoni au muhimbili tunapaita. Huyu muongo sana.
Mimi nima biashara buguruni na muda mwingi nipo.
okay upo huru kuamini hilo pia
 
Sasa dents wa chuo wanaweza enda sehemu classic km hyatt. Johari rotana, elements? Etc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua huwezi amini ila wanaweza wakipata kampani na siku hizi issue zimekuwa rahisi kwa sababu ya mtandao, madalali wanawachagua kirahisi insta na tiktok. Na kingine sio kila mara hao madon wanakuwa 5 star hotels kuna restaurants, lounge, events etc

Nimekaa kwenye industry flani ya kudeal na freelancers na influencers. So nawaelewa vizuri

Ila nisifichue mengi nikaja kukamatwa 😁😁
 
sasa aliyekudanganya wale wadada ni low valued ni nani? unawafananishaje na wale wa kule buguruni? ukiona mpaka ford na range zina park means ni malaya wanaojitambua wa hadhi yajuu hata kama wapo barabarani...tena nasikia mitaa ya sinza malaya wengine mpaka wana magari wanakuja nayo... so bado point yangu ipo pale pale Balqior
Wauza supu wa sinza, hatarii, hapo mastar wa Instagram wana madalali,
 
Hivi mjini watu wanapata madon kwa kujipanga barabarani coca?? 😁
Wajifunze kwa sanchi, Posh Queen, Sishkiki, Nifer 😁😁

Hata hivyo Sitaki kuliongelea sana
Imenishangaza sana, siku hizi wanajiuza kupitia biashara zao, utasikia nauza nguo mikoba, au saloon za kike na kwenda kufanya mazoezi gym, unajiongeza unatangaza dau unapiga mnaachana
 
Chai. Hii wazee. Eneo la kimboka lishakufa. Sahvi kuna bar inaitwa kalembo. Na haina wateja kabisa. Na eneo hilo limekua eneo safi sana maana barabara imepita mbele. Madada poa hawazidi kumi. Na wengi wao hutumia guest inaitwa agivea iko kwa ndani. Ambayo ni ya mdogo wake marehemu kimboka mwenyewe anaitwa mzee mushi. Kimboka si ile tena. Pamekua pakistaarabu. Hakuna boda nyingi usiku. Zaidi eneo lile usiku wapo watu wanachoma nyama safi za pumbu sijui nundu na mapande. Huyu ni muongo.
Na hawa malaya wa vyumba wamebaki kule kwa wahaya buguruni sokoni au muhimbili tunapaita. Huyu muongo sana.
Mimi nima biashara buguruni na muda mwingi nipo.
Hata buguruni safisha ilivo pita pamekwisha siku hizi, malaya telegram, fb na insta, kidogo sehemu za starehe hao wa barabaran ni waliochoka hata smartfn hawan
 
Habari za weekend ndugu wadau wa JF wa thamani sana!

Mimi katika balehe yangu na kukua kwangu nimesikia mengi mno kuhusiana na hili suala la dadapoa wanaojiuza maeneo mbali mbali hapa jijini Dar es Salaam. Wakati huo wote nilikuwa mbishi mno kwa sababu sikujua upande wa pili wa hili jiji la Dar, na pia sikujua kuwa kuna mpaka maeneo spesho yenye rooms ndani zilizopambwa vizuri mno.

Jamaa zangu baadhi walikuwa na experience na hizi vitu, mimi nilikuwa school boy so sikuwa na makeke ya kuzurura zurura sana nikiwa home. kiukweli mpaka hili la kujua uwepo wa hawa akina dada ndo maana lilinipita kabisa na nikawa nawabishia jamaa zangu.

Sasa imepita miaka mingi nikaona nijaribu kutafiti mwenyewe undani wa hii ishu... weekend nikavaa zangu cap zile kofia za kufunika mpaka mbele ya paji la uso..

Hii ilikuwa na jumamosi iliyopita... nikapanga ruti kwa sababu nilikuwa na maelezo ya kutosha kutoka kwa baadhi ya jamaa za rafiki zangu waliotoka mkoa kuja kuwaona ndugu zao...

Nikabeba kama laki moja cash kwa ajili ya emergency coz lolote linaweza kutokea maeneo ya namna ile... kwa taarifa nilizokuwa nimepewa ni kuwa ni maeneo hatari mno. nikasafisha silaha yangu nikaiweka vema kiunoni na kuhakikisha imefit vema..

Kuhusu mavazi nilibadilisha kabisa muonekano wa mavazi... nikavaa kama mmoja tu wa watu wa kawaida mno kutoka huko kijijini wanakolima ndizi na mpunga. ilipofika saa 1 jioni nikaanza safari na nikaenda Kimboka...

Rafiki zangu nilishawapa taarifa kuwa likitokea la kutokea nitawapigia simu naharaka waje kunichukua coz sikwenda na gari nilichukua daladala.

Kufika pale tu nikaelekea pembezoni mwa barabara. nikana wadada wengi kiasi. wengine walionekan wamedhoofu mno na sura zimebabuka kwa matumzi makali ya madawa ya kujichubua.. na baadhi walionekana bado mabi ti wabichi na si ajabu walikuwa wanafunzi wa vyuo mojawapo hapa jijini...

Wakaanza zile za aaah shemeji... mara twende hawana tafsida kabisa wanaongea kama walevi... nikawa nawapa hii nikijifanya mpia njia tu..

Kuna jambo la ajabu nikalibaini chap... kuna mateja, na wavuta bangi na boda boda wengi karibu na pale kimboka penye ile bar

Kuna wanaume wa aina tofauti wanakwenda kupata huduma... kwa nilivyoona, wengi ni masikini kimuonekano na mavazi yao ni hafifu na duni... pia walevi nao hasa wa matap tap ni wateja wakubwa wa wale wadada... niligundua hili baada ya kunusa harufu ya pombe za kienyeji walipokuwa wakinisalimia..

Kwa hali ile... sikuwa hata na hamu ya kujaribu kuingia ndani kuona kipi ni kipi.. nikatoka pale nikaelekea pale buguruni nimepasahau.. kuna akina dada wengi wana vyumba ndani vinawaka taa nyekundu nyekundu hivi.. all that time kuna jamaa alikuwa ananipa directions kupitia mesage.

Basi kufika pale baadhi wakawa wananishika mikono and so on... kumbuka ni mara yangu ya kwanza hapo kufika maeneo hayo... napo nikakuta wateja wengi waliokuwa wakija pale ni wale waliochoka hivi kimuonekano... pia harufu za pale ni kali kali mithili ya uozo uozo hivi..(nilikuwa na muda wa kuchezea sana ile siku)

basi, ile hali ikanikata stimu mno hata sikutaka kuingia ndani kabisa.. nilichukia sana.. sababu kuu za kutotaka kuingia ndani ni hizi:

1. Wale akina dada wengi ni wachafu wachafu kwa kweli hivyo niliingiwa na kinyaa sana.

2. Aina ya wateja wanaokuja kwao, wengi ni choka mbaya kimuonekano, walevi, wazee waliofeli maisha , wavuta bangi, mateja, vitoto vidogo vya form nk

Nikawaza.. yaani no share uchi na aina hii ya watu? nimekuwa desperate kisi hiki? yaani niingize shimo ambalo low valued men like those i saw there wanaingiza? nope, sikuwa tayari ku share uchi na low valued men.. niliona kama ni kujitia mikosi na nuksi tu kwa kweli.. (sina nia ya kumdharau mtu yeyote.. ila ndiyo mipaka niliyojiwekea maishani mwangu toka napata akili,,, i don't prefer cheap things particularly cheap girls/pussies)

3. Nilikuwa na silaha hivyo nilihofia kuwatisha na hivyo kupigiwa kelele... hali ambayo ingeleta matatizo mengine pia ambayo yangeharibu misheni yangu.

Mpaka saa 5 usiku nilikuwa nimeshakamilisha research yangu isiyo rasmi.. na nikachukua daladala na kurudi nyumbani...

Aisee,, kweli watu wana mioyo migumu...
Hapo magonjwa ya zinaa kama yote vile ujigusa tu, mengine hata condom haisaidii.
 
Imenishangaza sana, siku hizi wanajiuza kupitia biashara zao, utasikia nauza nguo mikoba, au saloon za kike na kwenda kufanya mazoezi gym, unajiongeza unatangaza dau unapiga mnaachana
Hii biashara ni kubwa mno na mbaya zaidi watu hawajanielewa. Siku hizi njia ni nyingi ikiwemo hiyo ya kuwa na biashara geresha na maisha fake mtandaoni ili wapewe dau kubwa.

Kuna wengi mjini wana wake wauzaji ila hawajui. Inasikitisha
 
Umenikumbusha mbali sana kuhusu kimboka. 2007 wakati nipo first year tuliwahi kuibuka hapo

Pale guest ilikua sh.2000 na dadapoa nae 2000, jumla buku 4 tu. Mazingira ya mule ndani guest yalikua machafu sana.

Ukisogea pale sokoni kulikua na sewa bar, napo pia hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom