Hiki kibatani cha refresh kinapata kazi sana..
Nachukua order za lunch. Kuna ugali tembele, wali nyama na ugali dagaa.
Hapa umechemsha bro..yaani leo ndio nimekuona boya..lolz
Wewe huoni shazi hapo chini?...kwa stori hii jisemee mwenyewe 'hayanihusu' ..usituunganishe, wengine inahusika sana....
yaani leo hata morning glory nimemrusha Paw wangu. Lakini haijatosha. Mweeeh! Ngoja nikaoge kwanza manake mtoto wa kike ntaaza kunukia mchele sasa!
Ciello shika siti nakuja. Nibebe na kiporo cha lunch kabisaa.
Dark City we unajua vile nilivo sijui nini kinaendelea hapa!hebu nijuze babu yangu!
Halafu Mjeda (Mura kutiki?) uliulizwa km huna Bundle wakujazie,mwenzenu mtandao unasumbua sana na sijui kama hii nayo itakua posted au la.