Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

Tehe!tehe!tehe! Weye mjeda acha chenzo!!, acha kutupiga ngumi! Za Jet Lee!!!
 
....hivi imeisha jamani?mie ndio naanza kuisoma mda huu!!niko page ya 8 ila kila nikienda mbele page nyingine zinaongezeka,arrrggghhhhh!!
-currently 323 users browsing
-62 members
-261 guests
Huenda hii ikawa "All the time thread"?
Nlichompendea huyu Mjeda,wadau wanachimba mkwara,sijui lindo saa ngapi,sujui Days of or lives,mara mke wangu ananingoja.... yeye wala hanajishughulishi kujibu!anatuacha na kiu,halafu anaendelea polepoleeee!!hahahahahaaa
 
Chai Chungu,
Story ilikuwa tamu sana ulipoianza mwanzoni kwa sababu ilikuwa umetulia na ulitoa details lakini huku mwishoni una haraka vile!! utaharibu uhondo ujue. Hadi sasa umejipatia umashuhuri kwa kukusanya kundi kufuatilia story japokuwa tunajua ni ya kutunga!! ni ushauri tu
 
King'asti mbona sikuoni umekalia kwa wapi vile?
Naona mjeda kapiga 'the all time well-congested thread in MMU'
 
Last edited by a moderator:
Nilichostudy ktk story hii hapa ni kwamba huyu mke wa wajeda ni mjinga sana. Anakubalije kukaa porini na watu wawili aliowakosea kikubwa namna hii.
 
31:Alikiri kwamba mtoto ni wa MASIGITI(JOHN MANYAMA)na anampenda sana mumewe,na akaahidi kunirudishia gharama zangu zote nilizozitumia kwake.

Nilimjibu kwamba ssitaji anirudishie chochote.
Tulianza safari ya kurudi mjini huku kichwani nikiwaza namna ya kuieleza jamii ili inielewe.

Baada ya kufika mjini my best aliamua kuondoka siku hiyo hiyo kwenda Nzega ili kesho yake apande basi kurudi SINGIDA,aliniahidi kwamba tungewasiliana baada ya yeye kufika.

Baada ya kama siku4 alinitumia simu ya maandishi kwamba alifika salama na wanaendelea na maisha vema.

NOTE:sitaweza kusema kilicho mkimbiza jeshi maana ni mambo ya ndani zaisi.


Ilipita wiki ikaja mwezi,mara mwaka,na kila siku nilikua nikiwaza ni vipi ntamwambia my mama na ndugu zangu juu ya mkasa huu?maana my mama aliniambia si mwanangu mie nikambishia tena kwa maneno makali,sasa yamenikuta mwanaume.

Ilipita miaka kama miwili hivi bila mawasiliano na my best friend,nilijaribu kufanya mawasiliano nae lakini bado hakupatika.
Nilichukua jukumu la kumtafuta lakini bado sikumpata,nilifunga safari mpaka SINGIDA,lakini jibu nililopewa ni kwamba mr MASIGITI(John Manyama)alishaa acha kazi kitambo na akabeba familia yake akahamia Ukerewe,nilitaka kujua sababu za kuacha kazi wakasema alikua hajaajiriwa na tulipo mwambia alete vyeti vya shule ndio ikawa jumla hakuonekana tena.Hii iliniangia akilini maana pia nilikua najua hakua na taaluma hiyo.

Nilijaribu kuomba contact zake lakini wakasema hawana na ata mkewe wakati anashughulikia uhamisho wa kwenda ukerewe hakutuachia address yoyote.

Miaka ilizidi kupita bila kuonana na my friend huyu kipenzi.
Pia nilizidi kuumia kuhusu familia yangu maana tayari taarifa zilishafika kijijini kwetu na hii ilisababisha nishindwe kwenda kijijini.

Baada ya miaka michache mbele bila kumuona my best na huku nikiwa nasumbuliwa na msongo wa mawazo nilianza kukata tamaa ya kuendelea na kazi.Nilikua nikiwachukia wanawake na wala nilikua sina huruma nao,nilianza "kuwagonga" bila huruma aise huku niingia kwenye ulevi wa pombe wakati tangu kuzaliwa nilikua sijawahi kunywa pombe.Bangi ndio ilikua sigara yangu na nilikua sioni shida kuivuta popote.

Nakumbuka siku 1 usiku nikiwa mitaa ya Ali Hasani Mwinyi kwenye kijiwe changu tukivuta bangi walitokea police kwa lengo la kutukamata,kwa wanao kumbuka tukio hili watathibitisha maana zilitembea ngumi ambazo sijawahi ona..Baada ya tif kuzidi niliamua kuchomoka mpaka camp nikiacha jamaa zangu wakishughulikiwa(walikua raia na hawakujua kama mm nilikua askari)
Ilivyofika asbh nilijawa na mawazo kichwani juu ya maisha ninayoishi,nilipiga hesabu ili kujua nimevuna nini kwa miaka 8 jeshini?nikaona hakuna cha maana zaidi ya mademu,nikaona sasa napotea...

Nilikua sina hamu na kazi tena na sasa nikaonekana ni mtovu wa nidhamu jeshini.

Niliwahi kushughulikiwa na ma MP lakini ilishindikana.

Sasa nikaona bora niache kazi niende migodini kutafuta mali...................
 
Naona huku inakoelekea huku inawadhalilisha wanawake halafu nao wamekaa kimya tu (nawachonganisha tu)
 
There are currently 350 users browsing this thread. (71 members and 279 guests)

CHAI CHUNGU

Naona unachungulia kwa mbali.
 
Hapa umechemsha bro..yaani leo ndio nimekuona boya..lolz
Wewe huoni shazi hapo chini?...kwa stori hii jisemee mwenyewe 'hayanihusu' ..usituunganishe, wengine inahusika sana....

Yaani mi nimejitoa mazima kwenye haya makitu, hanielezi kitu mtu jana mpaka leo niko hapa nimesimamisha shughuli zangu zote kwa ajili yako mjeda
 
yaani leo hata morning glory nimemrusha Paw wangu. Lakini haijatosha. Mweeeh! Ngoja nikaoge kwanza manake mtoto wa kike ntaaza kunukia mchele sasa!
Ciello shika siti nakuja. Nibebe na kiporo cha lunch kabisaa.

Huwa wakati mwingine nashindwa kuchora picha yako....

Bora nilishindwa kabisa somo la Fine Art...!!

Dark City we unajua vile nilivo sijui nini kinaendelea hapa!hebu nijuze babu yangu!


Kuna mshikaji mmoja katengeneza misukule hapa JF...

Karibia 24hrs watu wanafuatilia story ya malavi davi...

Inaonekana 2013 kazi tunayo....

Ila ni raha kwani JF inakuwa active kama zamani...

Umesalimika lakini??

Happy New Year!!

Babu DC!!
 
mh! Nimechukiaje!! Yan nimeanza kuisoma leo nkajua kwakuwa nimechelewa ntakuta kamaliza kumbe baaaaado? Kana nke ubhaye mura?
 
Uwiiiiiiiiiiii chai chungu utam unakuja alafu unakata,hi stori ni tam tam wangeisoma wahehe wanaopenda kujinyonga wangeelimika sana!
 
mwenzenu mtandao unasumbua sana na sijui kama hii nayo itakua posted au la.
Halafu Mjeda (Mura kutiki?) uliulizwa km huna Bundle wakujazie,
sasa unasema eti mtandao unasumbua mbona sasa hiyo msg imefika wewe tumalizie au tuambie tukusubiri saa ngapi maana km ni Jumba la sinema pale Diamond pale Tabora tiketi zimeshaisha kwa hii tamthilia yako
Wewe tuambie tukutatane saa ngapi? tumuone huyo jamaa anayechimba kaburi alivyokunyang'anya AK 47 (maana wewe si mjeda unahasiri za kugegedewa na silaha hujui kuitumia km unabisha endelea tuone basi)
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom