Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

17:Baada ya kufika tuu ndani(kitandani)tayari nikaanza kuisachi channel"o"punde nikaipata na mara sebene likaanza.Nilishangaa dume zima nikitokwa na machozi bila kujitambua.Sijui huyu mtoto alikua kajifunzia wapi huu mchezo Lol.Maana akiri yote ilipotea,kwa jinsi nilivyokuwa nimempania niliapa kabisa kwamba lazima leo anikimbie,lakini badala yake mie ndie niliyeweka mpira kwapani.

Nilimuuliza vipi mbona leo uko fiti sana?
Akanijibu kwamba tangu nilivyompa nauri kwenda kwao wakati akiwa mjamzito alinitunzia mali zangu na kwamba hajawahi kuguswa na mwanaume yoyote so alikua na hamu na mimi.Nilifurahi sana na kuona kama nina bahati ya mtende kwa kupata mke mwaminifu.......

Baada ya story na sebene kuisha majira ya saa9 hivi tuliamua kupumzika maana niliona dhahili shairi anausingizi mwingi....

Tukiwa tumepumzika gafla iliniijia picha nzima ya ile safari yangu ya SINGIDA kwenda kumtafuta.Nilijaribu kuvuta hisia kama ni kweli nilisafiri au ilikua ndoto.

Baadae nikaamua kujiaminisha kwamba ilikua ndoto na maadamu tayari my love nimempata lets forget the past na tukaanza maisha na mipango ya kumpeleka kwa wazazi wangu.Na pia nilifurahi kwamba alimpa mwanangu jina nililomchagulia.......

duh! kweli nimeamini msemo wa wahindi usemao"Bo-- dinda,akili potea" yaani ulisahau mahangaiko yote ndani ya muda mchache namna hiyo sababu ya papuch!
 
Aaaaah! bhana unatuchosha, km hautaki kumalizia acha. Watu tumeshindwa ht kwenda kusuka! boa sana mm wewe.
 
Hatimae imeisha, imechukua more than 24hrs kusimulia hii kitu
31:Alikiri kwamba mtoto ni wa MASIGITI(JOHN MANYAMA)na anampenda sana mumewe,na akaahidi kunirudishia gharama zangu zote nilizozitumia kwake.

Nilimjibu kwamba ssitaji anirudishie chochote.
Tulianza safari ya kurudi mjini huku kichwani nikiwaza namna ya kuieleza jamii ili inielewe.

Baada ya kufika mjini my best aliamua kuondoka siku hiyo hiyo kwenda Nzega ili kesho yake apande basi kurudi SINGIDA,aliniahidi kwamba tungewasiliana baada ya yeye kufika.

Baada ya kama siku4 alinitumia simu ya maandishi kwamba alifika salama na wanaendelea na maisha vema.

NOTE:sitaweza kusema kilicho mkimbiza jeshi maana ni mambo ya ndani zaisi.

Ilipita wiki ikaja mwezi,mara mwaka,na kila siku nilikua nikiwaza ni vipi ntamwambia my mama na ndugu zangu juu ya mkasa huu?maana my mama aliniambia si mwanangu mie nikambishia tena kwa maneno makali,sasa yamenikuta mwanaume.

Ilipita miaka kama miwili hivi bila mawasiliano na my best friend,nilijaribu kufanya mawasiliano nae lakini bado hakupatika.
Nilichukua jukumu la kumtafuta lakini bado sikumpata,nilifunga safari mpaka SINGIDA,lakini jibu nililopewa ni kwamba mr MASIGITI(John Manyama)alishaa acha kazi kitambo na akabeba familia yake akahamia Ukerewe,nilitaka kujua sababu za kuacha kazi wakasema alikua hajaajiriwa na tulipo mwambia alete vyeti vya shule ndio ikawa jumla hakuonekana tena.Hii iliniangia akilini maana pia nilikua najua hakua na taaluma hiyo.

Nilijaribu kuomba contact zake lakini wakasema hawana na ata mkewe wakati anashughulikia uhamisho wa kwenda ukerewe hakutuachia address yoyote.

Miaka ilizidi kupita bila kuonana na my friend huyu kipenzi.
Pia nilizidi kuumia kuhusu familia yangu maana tayari taarifa zilishafika kijijini kwetu na hii ilisababisha nishindwe kwenda kijijini.

Baada ya miaka michache mbele bila kumuona my best na huku nikiwa nasumbuliwa na msongo wa mawazo nilianza kukata tamaa ya kuendelea na kazi.Nilikua nikiwachukia wanawake na wala nilikua sina huruma nao,nilianza "kuwagonga" bila huruma aise huku niingia kwenye ulevi wa pombe wakati tangu kuzaliwa nilikua sijawahi kunywa pombe.Bangi ndio ilikua sigara yangu na nilikua sioni shida kuivuta popote.

Nakumbuka siku 1 usiku nikiwa mitaa ya Ali Hasani Mwinyi kwenye kijiwe changu tukivuta bangi walitokea police kwa lengo la kutukamata,kwa wanao kumbuka tukio hili watathibitisha maana zilitembea ngumi ambazo sijawahi ona..Baada ya tif kuzidi niliamua kuchomoka mpaka camp nikiacha jamaa zangu wakishughulikiwa(walikua raia na hawakujua kama mm nilikua askari)
Ilivyofika asbh nilijawa na mawazo kichwani juu ya maisha ninayoishi,nilipiga hesabu ili kujua nimevuna nini kwa miaka 8 jeshini?nikaona hakuna cha maana zaidi ya mademu,nikaona sasa napotea...

Nilikua sina hamu na kazi tena na sasa nikaonekana ni mtovu wa nidhamu jeshini.

Niliwahi kushughulikiwa na ma MP lakini ilishindikana.

Sasa nikaona bora niache kazi niende migodini kutafuta mali...................
 
There are currently 392 users browsing this thread. (92 members and 300 guests)
Graph inazidi kupanda, i guess hii ni thread iliyoweka record kwa siku za hivi karibuni....
hata kwenye lile jukwaa letu la siasa mambo hayawi hivi..

Chat imezidi kupanda mkuu ona .......... There are currently 425 users browsing this thread. (103 members and 322 guests)
 
'umbea' unatusumbua mama...inabidi tuvumilie tu, maana ukisema ususie hii kitu, utasusa mwenyewe tu wengine ndo kwanza wanaendelea ku-join!!
mkuu CHAI CHUNGU naona amekuwa maarufu sana just ndan ya siku mbili tu...

mimi mwenyewe najuta kuisoma nimekuwa mtumwa kwake watu8 bora ukae huko huko usije kwa huyu riafande
 
Last edited by a moderator:
Oya mjeda! Umetumwa mbona ckuelewi! Binafisi umeanza kunichanganya Bora uimalize, kuna thread za member huko zimekoswa watu!
 
aaaaah mi nilijua imeisha bhana, kumbe unarudi tena Kwa Witness, mkosi gani tena huu jamani???
33:Utendaji wangu wa kazi uliwafurahisha hawa wazungu.

Tuliongea mambo mengi kisha nikawa history yangu.

Walita uthibitisho wa ninacho kisema,nikawaambia ninazo picha,wakaziomba nikawaonyesha.

Baada ya hapo waliniuliza jee kawa wanaweza nisaidia kupata kazi?

Niliwambia yes they can na wakaniahidi niwasubili wangerudi baada ya miezi miwili,...niliendelea na shughuli zangu za kilimo cha pilipili HOHO na nyanya pale soni.

Baada ya miezi miwili wale jamaa kweli walirudi na wakanitekelezea walichoniahidi.

Walinipeleka Arusha nikaajiriwa na kampuni moja hivi ya uwindaji wa kitali ambayo ndio naifanyia kazi mpaka sasa hapa Arusha.

Siku moja nikiwa napata dinner pale maeneo ya PICNIC bar nyuma ya GOLDEN ROSE nilimuona dada mmoja mrefu kiasi mweupe(CHANGUDOA)kwa sababu nilishaoa sikua na time nae,lakini yeye alishtukia chezo na akahamasika kunisogelea.

Aliponisogelea nikamfahamu kwamba ni WITNESS shemeji yangu.

Alikua na haraka ya biashara nikaona nikimwachia sintapa taarifa alipo my best,nikamuahidi ntamchukua kwa usiku huo mpaka asbh.

Nilimuuliza bei akaniambia 30,000,nikamwambia poa akatafute chumba sehemu tofauti na mitaa hiyo ya kaloleni,

Akaniambia twende majengo mwanaume nikatii.

Sasa tumo ndani na mtoto hajanifahamu ingawa mimi tayari nimeshamfahamu,mkuki wangu uko tayari kwa kumshambulia nguruwe aliyeko mbele yangu ingawa nilijitahidi saaana kujizuia.

Nilimuuliza kama ana kondom akasema hana,nikaona no sweti sidhani kama ntapata ukimwi kwa siku1.

Mwanaume nikapiga moyo konde nimshughulikie then ndio nipate taarifa za my best.

Akaingia bafuni kuoga huku mimi nikiwa pia navua nguo ili nimfuate bafuni.................
 
si anajua wengi tunapenda umbea? subiri kesho nije hapa na verse zangu za Bible utaona graph inasome zero member na one Guest....hahahahaaa au uongo?
Chat imezidi kupanda mkuu ona .......... There are currently 425 users browsing this thread. (103 members and 322 guests)
 
Mpaka hapa najua hii ni ndoto. Pole sana na ndoto za namna hii zinachosha sana
 
34:Tayari niko ndani na mtoto WIT nikisubiri kuipata doze yake baada ya kuikosa kitambo.

Baada ya kutoka bafuni nilitamani niwashe taa ya chumbani ili nianze kumfaidi kwa macho,lakini nilisita kwa hofu kwamba anaweza nishtukia na akanifahamu kabla sijapata nikitakacho.

Lakini pia ingawa alikua amenenepa na ana afya ya kutosha lakini sikutaka kufa kirahisi vile(ukimwi)mtu mwenyewe changu no,ilibidi niagize condom.

Baada ya kutupia nyavuni kama2 hivi niliamua kumwaga ugali.

Nilimbana mpaka nae akamwaga mboga kwa kunipa details za my best baada ya kuwa tayari kisha jiridhisha mimi ndiye yule niliyetaka kumuua.

Niliinua simu na kupiga nur ya my best,nilifarijika baada ya simu kuanza kuita.

Simu ilipokelewa na mwanamke,nilipotaka kujua kama naweza ongea na mwenye simu akanijibu mwenye simu huwa aongei na simu usiku wa manane,kwahiyo nimpigie simu kesho yake asbh.

Wakati nakata simu mala nikaona number ya wife inaingia na alitaka kujua why nimechelewa leo na niko wapi na nna fanya nini.Nilimwambia nimepata dhalura niko njiani natoka KING,ORI kuna jamaa nilienda kumcheki na pikpik yangu imepata matatizo kidogo.

Alikata simu kwa hasira mie sikujari nikaendelea kumgegeda mtoto WIT huku nikiwa na hamu ya kuongea na my friend in next day morning.

Baada ya muda tuliagana na WIT na nikaahidi kumtafuta weekend mchana ili tuongee zaidi.

Kesho yake asbh niliweza kuongea na my friend baada ya miaka 7,nilimwambia niko ARUSHA nae alitaka kujua nimeipata wapi namba yake?nikamwambia nimekutana na WITNESS Arusha,akasema hataki kumsikia huyo mwana haramu maana alimletea gonjwa hatari sana mpaka sasa anaishi kwa matumaini,akaniambia yeye yuko DAR anamiliki kampuni yake ya ulinzi.

Nilimuuliza ni gonjwa gani hilo?
Akanijibu hivi.......

.
 
Hata waandishi wakubwa wa Riwaya hawaandiki vipande vipande. Umekuwa na haraka ya nini ku post kabla hujamaliza?

Episodes kaka,
Imagine kama Episode zote zingekaa pale juu kabisa, tungechokaje??
Hii style iko poa sana, inaitwa 2013 Version
 
Mkuu leo nimefurahia hii two in one...

Kuna story ya afande CHAI CHUNGU....ambayo ina uzuri wake......inatolewa kwa dozi ndogo ndogo tu.....Nadhani hadi this time tomrrow tutakuwa bado tuko hapa....

Pia kuna story za wafuatiliaji...jamaa kawalowa kwa ndoana kama kambale wa masika.....Hata wajanja kibao wamekamatika....

In short....this is JF...never boring...by The Boss!!

Babu DC!!

post yako imenichekesha saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaa... watu hawanielewi hapa lol
 
Ngoja nijitolee kuiweka sehemu moja baadhi ya Episodes.
Kwa hisani ya CHAI CHUNGU

25:Tulifika nyumbani wote kwa pamoja huku mimi nikiwa na mawazo tele ni aina gana ya adhabu anastahili kupewa huyu malaya kwa kutuchanganya mimi na rafiki yangu,niliona hakuna adhabu itakayomfaa tofauti na kifo.
Ila kabla ya kutekeleza azimio langu nilitaka kujua kama my friend alikua na mpango wa kuendelea nae au la!

Baada ya mapumziko mafupi kwanza nilitaka Kujua kwanini aliamua kubadili jina?

Alinipa mchapo wote bila kubakiza ata kipande,kisha nikamuunga mkono kwa maamuzi yake.

Baada ya hapo alitaka kujua mkasa mzima wa mimi kuonana na WITNESS wakati alimuaga anakwenda Dar?

Nilimpa full story tangu tulipoonana na WITNESS mpaka nilivyoenda kwao kumtafuta na yeye na my baby.Pia nilimwa nilikua na rafiki yangu akiitwa John Manyama lakini amepotea ktk mazingira ya kutatanisha so nataka kumuenzi kwa kumpa mwanangu jina lake.Point hii ilimfurahisha sana na akauthamini urafiki wetu ambao ulikua zaidi ya urafiki.

Aliniambia kwamba kutokana na picha mbaya aliyotuchezea WIT nadhani hakuna aja ya kumuacha akiwa hai,mbaya zaidi aliniomba tummalize na mtoto ili tuweze kufuta kizazi chote cha huyu malaya.

Baada ya makubaliano tulipanga ni wapi tukatekelezee mauaji yetu,tulikubaliana kwamba twende msituni ambako baada ya mauaji tutawazika huko huko bila mtu kujua.

Alinipa kazi ya kutafuta pori zuri la kufanyia mauaji,nilimwambia kuna sehemu inaitwa USOKE njia ya Urambo,kule kuna msitu mnene ambao tutafanya kazi bila mtu kujua.

Tuligawana majukumu kwamba wakati mimi nafanya mauaji yeye atakua akichimba kaburi la kuwazika.

Baada ya maongezi tulikubaliana kwamba mimi niendelee kuwa na huyo mwanamke ndani ili kumwaminisha kwamba hakuna baya then yeye akalale chumba kingine.

Pamoja na kwamba nilikua ndani ya kambi na tulikua tunapanga mipango mizito namna hiyo bado sikutaka kumuamini sana my friend juu ya mpango wa kutekeleza mauaji.
Tukiwa tumelala nilimfaliji mrembo Wit kwa kumwambia kwamba yamekwisha na alichokifanya kimesaidia mm kukutana na rafiki yangu kipenzi,kwahiyo hakuna shida yoyote na sasa yeye achague angependa kuendelea na nani kati yetu?
Ingawa mm ndiye niliyekua nae kitandani kwa wakati huo huku nikimuanda kwa sebene alisema angependa kuendelea na MASIGITI maana tayari kwao wanamfahamu....hali ile ilinikera zaidi na kuona kanidhalau sana.
Lakini sikutaka kumuonyesha hasira zangu waziwazi.

Nilimwambia basi kutokana na hali hiyo naomba nipe penzi la mwisho ili nikiamka asubuhi kesho nianze kukuheshimu kama shemeji yangu na mumeo ntamwambia kwamba ulikataa kunipa mzigo maana unamuheshimu mumeo.

Demu alikubali na ndani ya dk kama 20 hivi kila mtu alikua kando ya kitanda akitweta kama mbwa wa afande kova aliyetoka kuzuia maandamano ya CHADEMA muda mfupi uliopita.

Asubuhi niliamka mapema kwa ajiri ya maandalizi.

Kwa kumtumia my friend tulimwambia ajiandae twende nje ya mji kwa ajiri ya mtoko wa wiki moja kupumzika kutokana na sekeseke lililotokea.

Nilifanya maandalizi yangu huku nikichukua tahadhari kubwa kwa my best friend maana nilikua simuamini hata kwa 40%.

Tukiwa ndani landrover kuelekea USOKE mwanaume nilikua niko full kwa lolote hata kama ni kuua watu wote tuliokua ndani ya gari.

Tulifika sehemu moja hivi inaitwa TUMBI,nikahisi kuna hatari mbele yangu,maana kuna sura 2 za watu nilihisi ni askari.

Nilijiweka tayari kwa ajiri ya kujilinda,niliishika siraha yangu kiunoni nikaona iko poa huku nikipiga hesabu nianze mimi mtifuano maana tayari nilishajiridhisha kwamba wale ni askari.

Tulifika sehemu moja inaitwa MABAMA nikaona kama nikiruhusu tuvuke eneo hilo basi kazi itakua ngumu sana kwangu.
Maana ndani ya gari kuna wanaume 3 ambao natakiwa kupambana nao,muongoni mwao mmoja ni my best na tayari alikua ni commando aliyeacha jeshi,hawa wengine nilikua siwajui kabisaa.

Nilimuamuru dereva asimamishe gari ili kama ni mtifuano uanzie hapo,ndani ya sekunde chache nilikua chini bila kujijua..................
26:Baada ya kufika chini sikuona dalili yoyote ya hatari,nilimuamuru my friend na Witness washuke maana tumeshafika.

Walikubaliana na mimi maana wao walikua wageni eneo hilo.
Ingawa tulishukia out of target nilirekebisha harakaharaka mambo ili waamini ndio eneo husika.

Tulianza kutembea kwa miguu kuelekea upande wa kusini,tulitembea kwa muda wa kama dk 50 hivi huku tukipita mashamba makubwa ya tumbaku.
Atimae tulifika sehemu iliyotulia huku kukiwa na miti mingi za zambarau zilizoiva sawia.

Niliwaomba kwa pamoja tupige camp ndogo tule matunda kisha tuendelee na safari yetu iliyokua imebakiza dk chache tuu.

Nilishajiridhisha kwamba pako salama kwa 85% na sasa ninaweza fanya lolote.

Baada ya dk chache nilimpa ishara my friend na akaenda kuandaa kaburi huku nami nikijiandaa kwa kufanya unyama,baada ya yeye kuondoka nilichomoa siraha yangu na kuiweka tayari kwa kazi..............
27:Sasa wazo la kuwaua wote watatu liliniijia na Nilipanga kufanya mauaji yao kwa risasi na ni risasi mbili tu ndizo zilizokua ndani ya bastola.

Na ili kazi iwe rahisi inabidi nianze na my friend kipenzi,kisha Witness na yule mtoto nimwache pale pale fisi wamtafune.

Nilinyanyuka machine mkononi huku witness akinikodolea macho bila kujua kwamba ana dk zisizozidi 10 kuliona jua,nikamfuata JOHN(MASIGITI)aliyekua mbali wa mitatu kama 300 kutoka tulipokua,ili niwahi kumaliza mchezo hasira zangu zipoe,masikini nilimkuta JOHN(MASIGITI)akiwa amevua shati akitokwa na jasho jingi kwa kuchimba kaburi kwa kutumia mti aliokua ameuchonga vema kama mkuki.

Sikujari sana niliendelea kumsogelea huku yeye asijue kinachoendelea................ ...
28:Nilimkodolea my best jicho la kumuaga maana kulikua na sekunde zisizozidi 50 ili niwe nimeshamsafirisha ahera huku nikijipa moyo mgumu wa kubaki na siri hiyo peke yangu mpaka siku ya mwisho wa maisha yangu ili nikaijibu kwa M/mungu.

Akiwa hajui ili wala lile mwanaume nilichomoa machine kutoka mfukoni kwangu kisha kwa kasi ya ajabu kilitokea kitu ambacho sikukitegemea kukiona kabisaaa...................

29:Ni vijana 2 wakiwa vifua wazi na mashoka begani ndio walionishutua kiasi cha kuruka kwa kasi mpaka pembeni ya kichaka kilicho kua jirani.Kiukweli hawakuniona na badala yake walimuona my best peke ambaye nae pia baada ya sekunde chache nae alikua tayari tayari kwa lolote,vijana wale walikua wakienda kuangusha magogo kwa ajiri ya kuchomea tumbaku,walitaka kujua why tunachimmba shimo kama kaburi harafu polini,my best alliwajibu kwamba ni shimo tunatengeneza mtego poli kwa ajiri ya kutega fisi maana tumeagizwa na mganga wa kienyeji kutoka Tabora mjini.

Walituelewa na wakatupa ushirikiano wa mawazo kupitia kwa my best.Walitaka kujua mbona yuko peke yake?akawambia tupo 3 so kila mtu inabidi afanye kazi ya kukamata fisi wake.

Kitendo cha kuipisha dk1 ktk dhamila yangu ya kuua ilikua ni kama ROHO MTAKATIFU kaniingia.......
30:Baada ya vijana wale kuondoka nilimgeukia my friend na kumkumbatia huku nikiwa bado ninatweta.

Kisha nikamuuliza why tumuue mtu ambaye tayari kisha sababisha tumekutana tena?akasema ana uchungu sana na huyu malaya maana alimuamini na Kumpa kila akitakacho kumbe malaya?nilimwambia hapana ni bora hili swala tulimalize kiume kaka.Akasema yes inabidi tufanye maamuzi ya kiume ambayo ni kumuua kisha nami ntafute utaratibu mwingine wa maisha,baada ya mabishano ya kama dk 3 hivi tulifikia muafaka na tukakubaloana sasa tukamuulize vizuri mtoto ni wa nani na yeye yuko tayari kuishi na nani.......
31:Alikiri kwamba mtoto ni wa MASIGITI(JOHN MANYAMA)na anampenda sana mumewe,na akaahidi kunirudishia gharama zangu zote nilizozitumia kwake.

Nilimjibu kwamba ssitaji anirudishie chochote.
Tulianza safari ya kurudi mjini huku kichwani nikiwaza namna ya kuieleza jamii ili inielewe.

Baada ya kufika mjini my best aliamua kuondoka siku hiyo hiyo kwenda Nzega ili kesho yake apande basi kurudi SINGIDA,aliniahidi kwamba tungewasiliana baada ya yeye kufika.

Baada ya kama siku4 alinitumia simu ya maandishi kwamba alifika salama na wanaendelea na maisha vema.

NOTE:sitaweza kusema kilicho mkimbiza jeshi maana ni mambo ya ndani zaisi.

Ilipita wiki ikaja mwezi,mara mwaka,na kila siku nilikua nikiwaza ni vipi ntamwambia my mama na ndugu zangu juu ya mkasa huu?maana my mama aliniambia si mwanangu mie nikambishia tena kwa maneno makali,sasa yamenikuta mwanaume.

Ilipita miaka kama miwili hivi bila mawasiliano na my best friend,nilijaribu kufanya mawasiliano nae lakini bado hakupatika.
Nilichukua jukumu la kumtafuta lakini bado sikumpata,nilifunga safari mpaka SINGIDA,lakini jibu nililopewa ni kwamba mr MASIGITI(John Manyama)alishaa acha kazi kitambo na akabeba familia yake akahamia Ukerewe,nilitaka kujua sababu za kuacha kazi wakasema alikua hajaajiriwa na tulipo mwambia alete vyeti vya shule ndio ikawa jumla hakuonekana tena.Hii iliniangia akilini maana pia nilikua najua hakua na taaluma hiyo.

Nilijaribu kuomba contact zake lakini wakasema hawana na ata mkewe wakati anashughulikia uhamisho wa kwenda ukerewe hakutuachia address yoyote.

Miaka ilizidi kupita bila kuonana na my friend huyu kipenzi.
Pia nilizidi kuumia kuhusu familia yangu maana tayari taarifa zilishafika kijijini kwetu na hii ilisababisha nishindwe kwenda kijijini.

Baada ya miaka michache mbele bila kumuona my best na huku nikiwa nasumbuliwa na msongo wa mawazo nilianza kukata tamaa ya kuendelea na kazi.Nilikua nikiwachukia wanawake na wala nilikua sina huruma nao,nilianza "kuwagonga" bila huruma aise huku niingia kwenye ulevi wa pombe wakati tangu kuzaliwa nilikua sijawahi kunywa pombe.Bangi ndio ilikua sigara yangu na nilikua sioni shida kuivuta popote.

Nakumbuka siku 1 usiku nikiwa mitaa ya Ali Hasani Mwinyi kwenye kijiwe changu tukivuta bangi walitokea police kwa lengo la kutukamata,kwa wanao kumbuka tukio hili watathibitisha maana zilitembea ngumi ambazo sijawahi ona..Baada ya tif kuzidi niliamua kuchomoka mpaka camp nikiacha jamaa zangu wakishughulikiwa(walikua raia na hawakujua kama mm nilikua askari)
Ilivyofika asbh nilijawa na mawazo kichwani juu ya maisha ninayoishi,nilipiga hesabu ili kujua nimevuna nini kwa miaka 8 jeshini?nikaona hakuna cha maana zaidi ya mademu,nikaona sasa napotea...

Nilikua sina hamu na kazi tena na sasa nikaonekana ni mtovu wa nidhamu jeshini.

Niliwahi kushughulikiwa na ma MP lakini ilishindikana.

Sasa nikaona bora niache kazi niende migodini kutafuta mali...................
32:Niliamua kuachana na kazi rasmi na nikaondoka huku aseti zangu nikizikabidhi kwa jirani yangu niliyemuona kama ndugu.

Safari yangu haikwenda migodini bali ktk hali ya kushangaza niliingia ktk kundi moja la uwindaji haramu,

Nilifanya kazi hiyo kwa muda wa mwaka 1 nikawa na kipato kizuri kilichoniwezea kufika popote tanzania hii.

Habari ya my best John ikawa imenitoka tayari huku sasa akili yangu ikiwa imetulia sawia.

Ktk uwindaji wetu nilikutana na bwana moja alikua ni mwenyeji wa Tanga.nilijaribu kumdadisi ni vp maisha yalivyo tanga akasema pako poa ila dili ya uhakika ni ya kilimo cha mboga mboga,nilitaka kujua kama inalipa akasema inalipa vizuri maana wafanya biashara wanaingia sana kutoka Dar.

Hii ilinifariji sana na nikamuomba kama vipi tujiunge tukafanye kazi.

Alinielewa na safari ya Tanga ikaanza.

Tulikwenda mpaka sehemu moja inaitwa Soni na ndio nyumbani kwao.

Tulipokelewa vizuri na baada ya wk chache tukaanza project.

Nakumbuka siku 1 nikiwa ktk mizunguko yangu ya kawaida niliwaona wazungu 2 hivi mwanaume na mwanamke.
Ilinishangaza maana sikutegemea kumuona mzungu eneo hilo,niliwasogerea nikawasalimia na tukaongea mambo 2,3 hivi.Kisha nikajua kwamba ni wataalamu wa viumbe hai na wamekuta USAMBARA MOUNTAINS kufanya research ya fulani ya NYOKA,nilitaka kujua kama watapenda niwape campan,hawakua na kipingamizi ingawa pia niliona wana hofu fulani hivi.

Waliniambia tuonane asbh kwa ajiri ya safari ya kwenda misitu fulani hivi inaitwa MPONDE.

NILIJIANDA na kesho yake asbh safari ya mponde ikaanza.................

33:Utendaji wangu wa kazi uliwafurahisha hawa wazungu.

Tuliongea mambo mengi kisha nikawa history yangu.

Walita uthibitisho wa ninacho kisema,nikawaambia ninazo picha,wakaziomba nikawaonyesha.

Baada ya hapo waliniuliza jee kawa wanaweza nisaidia kupata kazi?

Niliwambia yes they can na wakaniahidi niwasubili wangerudi baada ya miezi miwili,...niliendelea na shughuli zangu za kilimo cha pilipili HOHO na nyanya pale soni.

Baada ya miezi miwili wale jamaa kweli walirudi na wakanitekelezea walichoniahidi.

Walinipeleka Arusha nikaajiriwa na kampuni moja hivi ya uwindaji wa kitali ambayo ndio naifanyia kazi mpaka sasa hapa Arusha.

Siku moja nikiwa napata dinner pale maeneo ya PICNIC bar nyuma ya GOLDEN ROSE nilimuona dada mmoja mrefu kiasi mweupe(CHANGUDOA)kwa sababu nilishaoa sikua na time nae,lakini yeye alishtukia chezo na akahamasika kunisogelea.

Aliponisogelea nikamfahamu kwamba ni WITNESS shemeji yangu.

Alikua na haraka ya biashara nikaona nikimwachia sintapa taarifa alipo my best,nikamuahidi ntamchukua kwa usiku huo mpaka asbh.

Nilimuuliza bei akaniambia 30,000,nikamwambia poa akatafute chumba sehemu tofauti na mitaa hiyo ya kaloleni,

Akaniambia twende majengo mwanaume nikatii.

Sasa tumo ndani na mtoto hajanifahamu ingawa mimi tayari nimeshamfahamu,mkuki wangu uko tayari kwa kumshambulia nguruwe aliyeko mbele yangu ingawa nilijitahidi saaana kujizuia.

Nilimuuliza kama ana kondom akasema hana,nikaona no sweti sidhani kama ntapata ukimwi kwa siku1.

Mwanaume nikapiga moyo konde nimshughulikie then ndio nipate taarifa za my best.

Akaingia bafuni kuoga huku mimi nikiwa pia navua nguo ili nimfuate bafuni.................
 
Hapa hakuna cha kususia stori,nikutembea na notebook kuandkia page alipoishia hi stori imekamata watu!kufika kesho member 1000
 
....hivi imeisha jamani?mie ndio naanza kuisoma mda huu!!niko page ya 8 ila kila nikienda mbele page nyingine zinaongezeka,arrrggghhhhh!!
-currently 323 users browsing
-62 members
-261 guests
Huenda hii ikawa "All the time thread"?
Nlichompendea huyu Mjeda,wadau wanachimba mkwara,sijui lindo saa ngapi,sujui Days of or lives,mara mke wangu ananingoja.... yeye wala hanajishughulishi kujibu!anatuacha na kiu,halafu anaendelea polepoleeee!!hahahahahaaa

Senior members naona wanona nouma kuokotwa,kwahiyo nao wameamua kuwa Guests........chezeja mjeda wewe........:rockon:
 
There are currently 446 users browsing this thread. (101 members and 345 guests)

Hapana chezea mjeda, looooh....
 
Back
Top Bottom