danizzo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 278
- 38
halafu mjeda (mura kutiki?) uliulizwa km huna bundle wakujazie,
sasa unasema eti mtandao unasumbua mbona sasa hiyo msg imefika wewe tumalizie au tuambie tukusubiri saa ngapi maana km ni jumba la sinema pale diamond pale tabora tiketi zimeshaisha kwa hii tamthilia yako
wewe tuambie tukutatane saa ngapi? Tumuone huyo jamaa anayechimba kaburi alivyokunyang'anya ak 47 (maana wewe si mjeda unahasiri za kugegedewa na silaha hujui kuitumia km unabisha endelea tuone basi)
easy man!