bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,016
- 4,961
Fungua pg baada ya pg utaiona tumkubwa bado cjaiona mwendelezo wake
Fungua pg baada ya pg utaiona tumkubwa bado cjaiona mwendelezo wake
Mkuu hadithi hii imeishaga kwa mwendelezo wake anzia page 31 na kuendelea thankHuyu nae anataka kujifanya ka Lara 1! Kata simu jamaa
Nahisi kama hii ni futuhi but any way asante
CHAI CHUNGU atakua anaandaa Season IIHuyu ndio CHAI CHUNGU mwenyewe,enzi hizo huyo mnamuita Lala 1 bado anauza vitumbua mtaa wa Sukita,mtaalamu CHAI CHUNGU alikuwa anatulaza usiku wa manane mpaka ndoa za watu "zikatikisika"
Upo wapi CHAI CHUNGU??
Hiyo story ulishaitoa?Mbona WITNESS tushamzika long time mkuu na story imeshagota?
But jiandae kwa simlizi ya kusisimua iliyoniacha nikiwa mlemavu wa kudumu!