Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

Hayatuhusu. This is your private business.
Huu mwaka mwingine 2013 tunataka story za namna hii, yaani kila mara una simu mkononi? au upo kwenye laptop /Computer na uwe Online na jamii forum kumfuatilia CHAI CHUNGU
Sio story zenu za kizamani 2012 za kina Mwanamalundi hebu mwite na Mzizi mkavu na Daudi Mchambuzi kuna Script za kurekebisha hapa kabla Kaole hawajatengeneza Tamthilia
Unajua huyu Mura CHAI CHUNGU ana ingine ya Goma DRC, (walivyobaka na utafutaji madini) na ile ya DARFUR na kina janja weed
kwa hiyo YANATUHUSU acha tumsubirie wenye vilongalonga vya Blackberry
 
Last edited by a moderator:
Hapa umechemsha bro..yaani leo ndio nimekuona boya..lolz
Wewe huoni shazi hapo chini?...kwa stori hii jisemee mwenyewe 'hayanihusu' ..usituunganishe, wengine inahusika sana....

kuna mwana jamvi alitoa uzi wa kumsaidia kisaikolojia huyu, aje tu mimi ntamsaidia kupunguza stress zinazomfanya awe abnormal.
 
There are currently 299 users browsing this thread. (69 members and 230 guests)

There are currently 304 users browsing this thread. (70 members and 234 guests)
Bado mchana tutakuwemo ila mwandishi hii Tamthilia ni FICTION hasa kuna vipengele unajisahau ingawa umesema tusicopy na kuPaste isipokuwa wakati unaiuza hii Picha badilisha Script zifuatazo:-
  • Huwezi tembea kwa miguu kutoka Igunga hadi Shelui
  • Treni ya Dar -Tabora haiingii Tabora alfajiri bali jioni
  • Jamaa yako John Manyama na Witness walipoenda Itigi kupanda Treni haichukui siku 3 kufika Tabora,
  • Ulipokuwa unaoga bafuni ulifanyiwa vituko na vikakumaliza nguvu humo humo
  • Ulipokuja kitandani kutafuta Channel 'O' tayari bafuli ulishalegezwa
  • na vingine vingi km ukiiunganisha utagundua upo kitandani na mara Mama Musoma anakuambia mtoto si damu yako
Umesema tusicopy lakini kwa ushauri ni story kali hebu imalizie na utueleze ni kwanini Manyama alikimbia Jeshi je? aliiba AK 47 au alimjeruhi CO
Sikulazimishi ni ushauri tu, ilaq tutafuitie na zingine HAPPY NEW YEAR 2013
 
mwenzenu mtandao unasumbua sana na sijui kama hii nayo itakua posted au la.
 
Hii hadithi wala sioni cha maana ndani yake;
Ina uongo mwingi na kukosa mtiririko (consistence);
Kufikirika kumezidi.
Qa ufupi ni fujo, ghasia,​
Naam ni Mchafukoge!​

Ila inafaa sana kupotezea muda.



Bazazi!
 
29:Ni vijana 2 wakiwa vifua wazi na mashoka begani ndio walionishutua kiasi cha kuruka kwa kasi mpaka pembeni ya kichaka kilicho kua jirani.Kiukweli hawakuniona na badala yake walimuona my best peke ambaye nae pia baada ya sekunde chache nae alikua tayari tayari kwa lolote,vijana wale walikua wakienda kuangusha magogo kwa ajiri ya kuchomea tumbaku,walitaka kujua why tunachimmba shimo kama kaburi harafu polini,my best alliwajibu kwamba ni shimo tunatengeneza mtego poli kwa ajiri ya kutega fisi maana tumeagizwa na mganga wa kienyeji kutoka Tabora mjini.

Walituelewa na wakatupa ushirikiano wa mawazo kupitia kwa my best.Walitaka kujua mbona yuko peke yake?akawambia tupo 3 so kila mtu inabidi afanye kazi ya kukamata fisi wake.

Kitendo cha kuipisha dk1 ktk dhamila yangu ya kuua ilikua ni kama ROHO MTAKATIFU kaniingia.......
 
Arooo! Weye mjenda uko kipande ipi!kuja hapa kamanda ili utusaulishe shida zet kwa mda!!
 
30:Baada ya vijana wale kuondoka nilimgeukia my friend na kumkumbatia huku nikiwa bado ninatweta.

Kisha nikamuuliza why tumuue mtu ambaye tayari kisha sababisha tumekutana tena?akasema ana uchungu sana na huyu malaya maana alimuamini na Kumpa kila akitakacho kumbe malaya?nilimwambia hapana ni bora hili swala tulimalize kiume kaka.Akasema yes inabidi tufanye maamuzi ya kiume ambayo ni kumuua kisha nami ntafute utaratibu mwingine wa maisha,baada ya mabishano ya kama dk 3 hivi tulifikia muafaka na tukakubaloana sasa tukamuulize vizuri mtoto ni wa nani na yeye yuko tayari kuishi na nani.......
 
Back
Top Bottom