Sasa mbona unaweka siri za kambi hadharani namana unataka watu waendelee kuamini mimi mshirikina licha ya kujisafisha kote 😃Sio kweli ule hauuzwi😀
Ilikua ni neno la kukutia nguvu kuwa ukiona upo salama sana shetani naye hayupo mbaliNi kweli kabisa Ila Mimi nimeshapita hizo level na naishi kwenye toba, maombi na msamaha💪🏿🙏🏿
ili wasijulikane utawaita majina kama ostadh. 😀Muda mwingine ni harakati za kimaisha ndio zinapelekea mtu kuroga, fungua biashara uswahilini afu ndio utajua umuhimu wa waganga.
Phone book yako taratibu itaanza kujaa namba waganga, ili wasijulikane utawaita majina kama ostadh.
NegativePositive destruction au negative?
Yani unataka kumaanisha nini hapo😀 ni vitu vitatu tofauti kabisa. Lakini vinavyoshabihiana
Dereva
Gari
Ignition
Hongera kwa kuwa mkweli sana, Katika maisha yangu moja ya vitu ambavyo sikuwahi kuamini toka nikiwa mtoto ni uchawi! Nilikuwa naamini na ndivyo ninavyoamini hata sasa siwezi kurogwa! Wakati fulani kazini kwangu kulikuwa na jopo la watu wabadhirifu, niliwasimamisha kazi, lilikuwa kundi la watu wanaogopeka liliongozwa na Mzee mmoja wa kindengereko al maarufu kwa jina la Matimbwa, wakachanga mapesa kwenda kwa mganga hakuna kitu niliona, japo kuna kijana alikuwa rafiki yangu babu yake ni mganga hatari visiwani na wakuu huruka kumfuata, akaniambia niende kwa babu yake anigange, nilimkatalia. Sijawahi kuogopa uchawi .Niliroga mchana nikaroga usiku, niliroga kushoto nikaroga kulia, niliroga mashariki nikaroga magharibi, niliroga kaskazini nikaroga kusini. Niliroga chini nikaroga juu, niliroga mbele nikaroga nyuma, niliroga jua nikaroga mwezi, niliroga nyota nikaroga mawingu.
Niliroga milima nikaroga mabonde, niliroga bahari nikaroga nchi kavu, niliroga mito nikaroga chemchemi, niliroga upepo nikaroga dhoruba. Niliroga moto nikaroga majivu, niliroga masika nikaroga kiangazi, niliroga kila pembe nikaroga dunia nzima, lakini bado siri haikufunuka wala moyo wangu haukutulia.
Lakini mwisho nilitubu na kumrudia mola wangu, nikaacha giza na kufuata mwanga, nikavunja vibuyu na kutupa matunguli. Nilisafisha mikono yangu kwa maji ya toba, nikapiga magoti kwa unyenyekevu mkuu, nikapokea amani ambayo dunia isingeweza kunipa. Yale yote niliyoyatafuta kwa waganga na ramli, nikayapata bure kwa neema na rehema zake, kwani hakuna mkuu zaidi ya Muumba wa mbingu na ardhi.
Sasa mimi ni mpya na wa nuruni, giza limepita na mambo yote yamekuwa mapya, ninasimama imara katika mstari wa haki. Tabia za kale zimezikwa katika kaburi la historia, mavazi ya huzuni yamevuliwa na nimevikwa vazi la sifa na utukufu. Hatua zangu sasa zinaongozwa na mwanga wa kimungu, kila neno langu linajenga badala ya kubomoa, na moyo wangu umejaa amani tele, furaha isiyo na kifani, na tumaini la milele.
Hapana, dini si uchawiUnajua dini nao ni uchawi?
Uchawi upo na unafanya kazi lakini si kila anayerogwa anarogeka na sababu nyingi mojawapo ikiwa ni ulinzi wa kiroho, usafi wa kiroho.. Imani juu ya Mungu nknkHongera kwa kuwa mkweli sana, Katika maisha yangu moja ya vitu ambavyo sikuwahi kuamini toka nikiwa mtoto ni uchawi! Nilikuwa naamini na ndivyo ninavyoamini hata sasa siwezi kurogwa! Wakati fulani kazini kwangu kulikuwa na jopo la watu wabadhirifu, niliwasimamisha kazi, lilikuwa kundi la watu wanaogopeka liliongozwa na Mzee mmoja wa kindengereko al maarufu kwa jina la Matimbwa, wakachanga mapesa kwenda kwa mganga hakuna kitu niliona, japo kuna kijana alikuwa rafiki yangu babu yake ni mganga hatari visiwani na wakuu huruka kumfuata, akaniambia niende kwa babu yake anigange, nilimkatalia. Sijawahi kuogopa uchawi .