Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 13,643
- 42,769
Ofcoz itatembea labda ukute haina magurudumuVikiwepo vyote hivyo itatembea?
Ofcoz itatembea labda ukute haina magurudumuVikiwepo vyote hivyo itatembea?
NdiyoRisasi inaweza kuua roho moja ili kuokoa zingine! Je hii ni destruction?
sasa maana ya kuwa na dereva ni nini?Itatembea bila kuwa ignated?
Kwangu (nahisi) itatembeaVikiwepo vyote hivyo itatembea?
Nipo bagamoyo kwa awadhi mkuu..View attachment 3596149nimeshakuona! Hapo huchomoki! 😂
Sema hapo kwenye kupeleka moto najitahidi as if ndo nimeubwa nije kufanya hiyo.kazi aiseeeeeMganga wake ndio mganga wake..😀 hapo mchawi miuno kiuno! Kumbuka nguvu ya mamba kumai..🙌🏿🏃🏿🔥