Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,749
- 12,563
Yes sirUnaamini katika Mungu?
Yes sirUnaamini katika Mungu?
ila bado naona kama unapenda sana porojo, uongo, umbea, uzushi, ghasia na mwanadamu mwenzio akifa unashangilia jukwaani,Niliroga mchana nikaroga usiku, niliroga kushoto nikaroga kulia, niliroga mashariki nikaroga magharibi, niliroga kaskazini nikaroga kusini. Niliroga chini nikaroga juu, niliroga mbele nikaroga nyuma, niliroga jua nikaroga mwezi, niliroga nyota nikaroga mawingu.
Niliroga milima nikaroga mabonde, niliroga bahari nikaroga nchi kavu, niliroga mito nikaroga chemchemi, niliroga upepo nikaroga dhoruba. Niliroga moto nikaroga majivu, niliroga masika nikaroga kiangazi, niliroga kila pembe nikaroga dunia nzima, lakini bado siri haikufunuka wala moyo wangu haukutulia.
Lakini mwisho nilitubu na kumrudia mola wangu, nikaacha giza na kufuata mwanga, nikavunja vibuyu na kutupa matunguli. Nilisafisha mikono yangu kwa maji ya toba, nikapiga magoti kwa unyenyekevu mkuu, nikapokea amani ambayo dunia isingeweza kunipa. Yale yote niliyoyatafuta kwa waganga na ramli, nikayapata bure kwa neema na rehema zake, kwani hakuna mkuu zaidi ya Muumba wa mbingu na ardhi.
Sasa mimi ni mpya na wa nuruni, giza limepita na mambo yote yamekuwa mapya, ninasimama imara katika mstari wa haki. Tabia za kale zimezikwa katika kaburi la historia, mavazi ya huzuni yamevuliwa na nimevikwa vazi la sifa na utukufu. Hatua zangu sasa zinaongozwa na mwanga wa kimungu, kila neno langu linajenga badala ya kubomoa, na moyo wangu umejaa amani tele, furaha isiyo na kifani, na tumaini la milele.
ushirikina ni drama nyepesi na ya kichekesho sana aise,Kwakweli Mimi sasa ni wa nuruni nitaweka link ya ile uzi lakini pia nitaongeza maelezo kidogo leo
Katika ulimwengu wa kiroho na ushirikina, Tanzania inatajwa kuwa na vitovu vikuu vya nguvu za giza ambavyo hutumika kama "malango" ya kuingilia ulimwengu wa roho chafu.
Eneo la Lango la Rajuni huko Pangani, Tanga, linasifika katika simulizi za kishirikina kama makao makuu ya kipepo ya ukanda wa Afrika Mashariki, ambapo wachawi na majini hukutana kufanya mabaraza yao makubwa.
Vivyo hivyo, maeneo yenye maajabu ya asili kama Mapango ya Amboni na vilele vya milima mirefu hutazamwa na wataalamu wa vita vya kiroho kama "madhabahu za kale" zilizowekwa wakfu kupitia damu za matambiko tangu enzi za mababu, huku maeneo ya ajali za kutatanisha (kama milima ya Kitonga) yakiaminika kuwa ni malango yaliyofunguliwa kunywa damu za wanadamu ili kulisha falme hizo za giza.
Siri ya Mwenge wa Uhuru Kama "Zindiko" LinalotembeaKuhusu Mwenge wa Uhuru, nje ya pazia la kiserikali linalouelezea kama alama ya uzalendo, kuna mitazamo mizito ya kishirikina na kiroho inayouhusisha na "madhabahu inayotembea" (mobile altar).
Wachambuzi wa mambo ya siri wanadai kuwa kitendo cha mwenge huo kuzungushwa kila mwaka mikoa yote na wilaya zote nchini si bahati mbaya, bali ni mnyororo wa kiroho uliokusudiwa "kuifunga" nchi kiulinzi na kuweka agano la amani.
Kwa mtazamo wa kishirikina, mbio hizo hutazamwa kama zindiko kuu la kitaifa lililowekwa tangu mwaka 1961 ili kufunika macho ya maadui wa nje na wa ndani, huku moto huo ukiaminika kubeba "roho" inayolisha utulivu wa kisiasa wa nchi kwa gharama za kiroho ambazo hazijawekwa wazi kwa umma...
You being too philosophical now 😁,weka story za kichawi mengine tuachieUmeshawahi kumuona?
Hapana, katika sheng ya Nairobi, neno "kuroga" halimaanishi kupendeza.Maana ya "Kuroga" Kwenye ShengNairobi "kuroga" maana yake kupendeza
Hahahaha I was coming to a very crucial point lakini umenikata kalima...!You being too philosophical now 😁,weka story za kichawi mengine tuachie
Mimi nilijua wanakutaniaga, kumbe kweli? Lakini siku za hivi karibuni umethibitika hujihusishi kabisa na mada za kichawiNiliroga mchana nikaroga usiku, niliroga kushoto nikaroga kulia, niliroga mashariki nikaroga magharibi, niliroga kaskazini nikaroga kusini. Niliroga chini nikaroga juu, niliroga mbele nikaroga nyuma, niliroga jua nikaroga mwezi, niliroga nyota nikaroga mawingu.
Niliroga milima nikaroga mabonde, niliroga bahari nikaroga nchi kavu, niliroga mito nikaroga chemchemi, niliroga upepo nikaroga dhoruba. Niliroga moto nikaroga majivu, niliroga masika nikaroga kiangazi, niliroga kila pembe nikaroga dunia nzima, lakini bado siri haikufunuka wala moyo wangu haukutulia.
Lakini mwisho nilitubu na kumrudia mola wangu, nikaacha giza na kufuata mwanga, nikavunja vibuyu na kutupa matunguli. Nilisafisha mikono yangu kwa maji ya toba, nikapiga magoti kwa unyenyekevu mkuu, nikapokea amani ambayo dunia isingeweza kunipa. Yale yote niliyoyatafuta kwa waganga na ramli, nikayapata bure kwa neema na rehema zake, kwani hakuna mkuu zaidi ya Muumba wa mbingu na ardhi.
Sasa mimi ni mpya na wa nuruni, giza limepita na mambo yote yamekuwa mapya, ninasimama imara katika mstari wa haki. Tabia za kale zimezikwa katika kaburi la historia, mavazi ya huzuni yamevuliwa na nimevikwa vazi la sifa na utukufu. Hatua zangu sasa zinaongozwa na mwanga wa kimungu, kila neno langu linajenga badala ya kubomoa, na moyo wangu umejaa amani tele, furaha isiyo na kifani, na tumaini la milele.
Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa | JamiiForums Tanzania Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu TaifaWengi humu jf tulikufahamu kwa nyuzi za aina hii,Jambo zuri kufanya toba.Lakini kama hutojali kuna mada moja uliwahi kuizungumzia huko nyuma kuhusu milango ya kuzimu hapa Tanzania,na mazindiko yaliyowekwa kwa nchi mfano mwenge,kwa faida ya watu fulani, unaweza kuturudisha darasani tena kuhusu hizo mada?
😂😂Hizo mbele na nyuma ulizowaza sio hizo loh😂