Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

Screenshot_20220923-150941.jpg
 
Bila shaka wewe ni p mawenge naona umechukua hii post umeipost kwenye Instagram page yako. Leo ndio nimepata uhakika kwamba kumbe humu kuna wasanii wengi sana ila mnatumia id tofauti.
Huyo uliye m quote sio P
 
Aina hii ya vijana Wana mchango mdogo Sana kwa taifa
Ila kutongoza si mchezo. Ni kujinadi. Kujiweka wazi kimoyo na kimwili. Anayejuwa kutongoza sidhani kama atafeli interview ya aina yoyote ile. Kudos kwa kijana
 
Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care

Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi?

Nikamjibu jina langu naitwa noizee napiga simu kutoka Sinza. Kwa sauti nyororo mtoto akajibu okay asante kwa kutupigia nini tatizo lako tupate kukuhudumia?

Baada ya kusikia hivyo kichwa langu likadata nkazuga kwanza, nikamjibu sms zangu zote nazotuma hazifiki sijui hata shida nn wakati nina salio kama la mwezi hivi. Kwa sauti nyororo mtoto akajibu shida hiyo ni kwenye laini hii tunayowasiliana nikamjibu ndio akasema subiri kidogo usikate simu wakati nalishughulikia tatizo lako

Baada ya sekunde kadhaa mtoto akajibu tatizo lako limeshashughulikiwa unatatizo lingine ,hapo nikajikuta naropoka tu. Ukweli kabisa nimefurahi ulivyomkarimu na nimevutiwa na nimefurahi kukusikia tu kwa simu amini ya kuwa umenitia uwazimu hebu kama upo single nipe hiyo nafasi adimu. Kwa kukazia kidogo mtoto akajibu heeeh mbona umefika mbali? Je kama nimeolewa,nikampooza kdg mm nilikuwa najaribu tu nafasi mamaaa

Akajibu noizee acha usumbufu kata simu unajua hii ni simu ya ofisini? Nikamjibu sawa hamna shida kama unataka kunipa jibu langu utanicheck humu kwa no yangu. Haukupita mda mrefu ikaingia sms "save no yangu ndo mm yule customer care " Daah kifuatacho maongezi yaliendelea kama kawaida na mpaka sasa nishamuona yupo vzr story ikaishia hapo@noizee maker
Huyu kwel P mawenge the day Ep yake imetok na Mimi pia nikaw najiuliz hii idea ya hii post mbn nimetok kuisikia kweny nyimbo ya Mawenge sema EP Kali kiongoz
 
Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂

Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi?

Nikamjibu jina langu naitwa noizee napiga simu kutoka Sinza. Kwa sauti nyororo mtoto akajibu okay asante kwa kutupigia nini tatizo lako tupate kukuhudumia?

Baada ya kusikia hivyo kichwa langu likadata nkazuga kwanza, nikamjibu sms zangu zote nazotuma hazifiki sijui hata shida nn wakati nina salio kama la mwezi hivi. Kwa sauti nyororo mtoto akajibu shida hiyo ni kwenye laini hii tunayowasiliana nikamjibu ndio akasema subiri kidogo usikate simu wakati nalishughulikia tatizo lako

Baada ya sekunde kadhaa mtoto akajibu tatizo lako limeshashughulikiwa unatatizo lingine ,hapo nikajikuta naropoka tu. Ukweli kabisa nimefurahi ulivyomkarimu na nimevutiwa na nimefurahi kukusikia tu kwa simu amini ya kuwa umenitia uwazimu hebu kama upo single nipe hiyo nafasi adimu. Kwa kukazia kidogo mtoto akajibu heeeh mbona umefika mbali? Je kama nimeolewa,nikampooza kdg mm nilikuwa najaribu tu nafasi mamaaa

Akajibu noizee acha usumbufu kata simu unajua hii ni simu ya ofisini? Nikamjibu sawa hamna shida kama unataka kunipa jibu langu utanicheck humu kwa no yangu. Haukupita mda mrefu ikaingia sms "save no yangu ndo mm yule customer care " Daah kifuatacho maongezi yaliendelea kama kawaida na mpaka sasa nishamuona yupo vzr story ikaishia hapo@noizee maker
Shida kubwa
 
Back
Top Bottom