Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

We fanya maamuzi kuku hawa ndugu yangu ndio wetu, mambo ya kuahirisha ni ndoa ni kujichelewesha.

Muweke kikaangoni akitoa maelezo hafifu mu taight mbaya, wanaume wengine mnatuangusha unakuwa kama hukuzaliwa kwenye mfumo dume...
 
Tena ukija na wewe ndiyo kabisaa, we mtegemee tumboo sasa, huyo weakness yake naijua nikigusa tu keshalegea, ukishashuhudia baunsa wako anachapwa lazima na wewe usaule kwa upole tu, threesome itanogaje!

We baleshi ndio itakua inakufaa ili tukinyanyue vizur icho kidevu chakoo
 
Last edited by a moderator:
hata wanaume hatuaminiki pia!!
Halafu mkuu hiyo avatar unayotumia nakushauri uibadili, it looks gayish, samahani lakini kama nakukwaza.

Heheheeeeeeeee we unavituko sanaa
 
Labda sikukuelewa mkuu....uyo mschana kwan mlikua mnaishi wote???.......na inamaana uyo mwanaume aliingizwa chumbani kwako???[/QUOTE

yes nilikuwa naishi nae....yes alimwingiza kwangu
 
We chini ya kapet ulikua unatafta nn??? Anyway ckiz kila mtu ana mtu inshort akuna cha pekeako

heheheh....kwamba umeme wa tz si wa uhakika lazima uwe na ki-jenerata. Maji nayo ni issue lazima uwe na kidumu.
 
Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE.

Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.

Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata SMS toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu.

Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma.

Nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.

Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.

1) Give her a chance to explain na kujirudi. Akiwa muwazi ni afadhali ila akikuficha hata vitu ambavyo unaona ushahidi wake. Imagine vile ambavyo huoni.
2) Unajuaje condom ilitumika siku 2 nyuma?
 
Back
Top Bottom