Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE.

Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.

Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata SMS toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu.

Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma.

Nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.

Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.
 
Fata kama moyo wako utakavyo kama wataka muacha basi mlie bati!!
 
Pole mwaya ila ulitegemea nini kukaa mbali out of sight out of mind usijali mange ataanza kuwauzia madildo myatumie msiwe na sababu ya michepuko hahaha madildo oyeeere saa ya ukombozi ni sasa lols
 
mkuu sasa hapo unataka nini tena? kama moyo wako una nafasi ya kusamehe samehe.... sheeets happen count on it any time its happen... hina maana ukitafuta mwingine atakuwa malahika hatakosea hapana mkuu utakuwa unajidanganya...

samahani mkuu ulishawahi mcheat huyo mpenzio?
 
labda panya walikuwa wanapiga kipindi..any way ur matual enough to take a stand in your decision
 
Mh mkuu langu ni moja tu, kama kweli umesoma mpaka masters sioni why unaomba ushauti kwa issue kama hii! Unless otherwise! !

Masters hata Nape Nnauye anayo, wasomi wa Tanzania ndio vichwa maji kuliko darasa la 7.
 
Mh mkuu langu ni moja tu, kama kweli umesoma mpaka masters sioni why unaomba ushauti kwa issue kama hii! Unless otherwise! !

Mkuu kusoma masters hakumaanishi kuwa wewe ni kila kitu na ushauri hauitaji na kumbuka mapenzi hayana degree kiongozi wangu. but thanks kiongozi wangu
 
Daah hajui zimefikaje? Afu zimeshatumika, bora zingekuwa bado angepata cha kudanganya.
Pole mkuu kumuacha ni uamuzi sahihi
 
Labda kabla sijakushauri nilitaka kujua umeahirisha mpaka lini?
 
We chini ya kapet ulikua unatafta nn??? Anyway ckiz kila mtu ana mtu inshort akuna cha pekeako

pale ni kwangu niko huru kuangalia kokote na kumbuka sikuwepo muda mrefu na nilihitaji kupanga vitu pia... najua hakuna cha peke yako lakini inapofika stage ya kuoana ni vyema pawepo cha peke yako. thanks but
 
Labda kabla sijakushauri nilitaka kujua umeahirisha mpaka lini?

nahitaji kuoa so sijaumizwa na wanawake wote ila najua wapo wema so nimeahilisha kwake na si kwa wengine, ila ushauri wako mkuu
 
pale ni kwangu niko huru kuangalia kokote na kumbuka sikuwepo muda mrefu na nilihitaji kupanga vitu pia... najua hakuna cha peke yako lakini inapofika stage ya kuoana ni vyema pawepo cha peke yako. thanks but

hicho cha peke yako sijui labda useme apige lakini usijue
 
We chini ya kapet ulikua unatafta nn??? Anyway ckiz kila mtu ana mtu inshort akuna cha pekeako

ila na huyo mwanamke inaonekana jamaa anachapa kitu mpaka kumbu kumbu zinaruka kabisa kiasi cha kuacha condom zilizotumiki chini ni tatizo kwa kweli
 
Pole,lakini punguza BP Kaka,kwani tangu uwenae yeye hujawahi m cheat? au kama kweli umeona anaweza kua mama bora kwanini usisamehe na kama moyo wako bado unampenda,wengi sio waminifu lakini ukimuweka kwenye himaya yako na ni binadamu huenda akabadilika,vuta mda kwanza angalia kama unaweza kumuacha na ukasonga mbele manake mara nyingi wengi huwacha wapenzi wao kwa hasira baadae hujuta.....na vile vile zimwi likujualo halikuli likakwisha....
 
pale ni kwangu niko huru kuangalia kokote na kumbuka sikuwepo muda mrefu na nilihitaji kupanga vitu pia... najua hakuna cha peke yako lakini inapofika stage ya kuoana ni vyema pawepo cha peke yako. thanks but

Labda sikukuelewa mkuu....uyo mschana kwan mlikua mnaishi wote???.......na inamaana uyo mwanaume aliingizwa chumbani kwako???
 
Back
Top Bottom