Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Tena ukija na wewe ndiyo kabisaa, we mtegemee tumboo sasa, huyo weakness yake naijua nikigusa tu keshalegea, ukishashuhudia baunsa wako anachapwa lazima na wewe usaule kwa upole tu, threesome itanogaje!

Nakuja na sura ya kazi ya mikono na miguu na si ya kiuno
 
Last edited by a moderator:
mh mkuu langu ni moja tu, kama kweli umesoma mpaka masters sioni why unaomba ushauti kwa issue kama hii! Unless otherwise! !

usisahau kuwa mshkiaji "hasomei masters ya kuhandle stress za mapenzi au masters ya kufanya maamuzi magumu"....nazi ngumu ila sio kwa jiwe itapasuka tuu....

Ni hayo tu.
 
Pole,lakini punguza BP Kaka,kwani tangu uwenae yeye hujawahi m cheat? au kama kweli umeona anaweza kua mama bora kwanini usisamehe na kama moyo wako bado unampenda,wengi sio waminifu lakini ukimuweka kwenye himaya yako na ni binadamu huenda akabadilika,vuta mda kwanza angalia kama unaweza kumuacha na ukasonga mbele manake mara nyingi wengi huwacha wapenzi wao kwa hasira baadae hujuta.....na vile vile zimwi likujualo halikuli likakwisha....

thanks mkuu kwa ushauri mzuri
 
huyo nae kapoteza chance ya kuolewa alafu kesho na keshokutwa anaanza kubanana kwa waume wa wenzie!

ahahaha...mie huwa naamini sio kila mwanamke kaumbwa au kazaliwa kuolewa...kwa wingi wa wanawake na uchache wa wanaume...wapo waliozaliwa na kuumbwa kuwa nyumba ndogo, michepuko na vyangu in general....ikitokea mwanaume ukajitusu kumweka ndani mwanamke aliyeumbiwa nyota hizo tajwa hapo juu ni balaa.....

Usijali avemaria huyo kapata haki yake.
 
Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE.

Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.

Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata SMS toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu.

Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma.

Nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.

Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.

Hivi kweli kwa dunia hii kwa jinsi 95% ya mademu wa pale walivyokuwa vicheche kuna mtu bado mpaka sasa anafikria kubahatika mke kutoka pale.

Ninahisi hiyo itakuwa ni sawa kuokota dodo chini ya mti wa mchongoma

Hvi kweli
 
Kwa haya maswala naogopaga kutoa ushauri sijui kwanini tu!!!!!
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mke na mwanamke, now huyo ni mwanamke! Mwanamke unaweza kumtafuta mwenyewe kwa fedha na ujanja-ujanja wetu ule but mke huwa unapewa/anatoka kwa MUNGU na asingeweza hata kidogo kuufanya huo uchafu ... jiulize, ukimuoa tena ndoa ya kikristo maisha yako yatakuwaje?! Sasa basi, chukua akili za mbayuwayu jumlisha na za kwako ..... utapata jibu!!!Pole lakini ...
 
Back
Top Bottom