Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE.

Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.

Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata SMS toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu.

Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma.

Nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.

Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.

Mkuu yani uyo tayari kashapigwa 3 bomba/3 kali/hat trick, endele na maisha yako achana nae
 
the decision to proceed bng with her or to leave her is upon you. make sure tht wht u decide gives u peace for the sake of ur own happnes.. and remember if you love someone its easy to forgv and mov on.. no one is perfect by the way.:sorry:
 
Mkuu kusoma masters hakumaanishi kuwa wewe ni kila kitu na ushauri hauitaji na kumbuka mapenzi hayana degree kiongozi wangu. but thanks kiongozi wangu

but sio kiasi hiki kaka, maana hapa hata mgeni wa mapenzi ana jibu na wala haitaji kuuliza hii issue mkuu....samahani kwako kama naku-offend but kiumri lazima utakuwa mkubwa wa kutosha kwa mambo kama haya...!!(as umesema umemaliza masters, i am assuming you are above 25 years of age)
 
usisahau kuwa mshkiaji "hasomei masters ya kuhandle stress za mapenzi au masters ya kufanya maamuzi magumu"....nazi ngumu ila sio kwa jiwe itapasuka tuu....

Ni hayo tu.
kaka wewe kama mwanaume ukute used condom chini ya capet kwa girlfriend (remember sio mke) hivi utahitaji ushauri kweli? hapo haswaa ndo kwenye kiini cha mshangao wangu,as kusoma ni kupata mwanga au tuseme maarifa ya basic things in life plus ulichokisomea...sasa hapa sion kwa msomi wa hadi masters kushindwa kuwa na maamuzi/kutokuamini maamuz yake mpaka anakuja kuomba/kusikiliza ushauri wa humu.
sometime tuwapende wana JF sio kuwachosha na even maswali ya wazi/yenye majibu ya wazi kabisa tunayoyabandika humu.
 
SMS uliyopata pamoja na hizo condom bado hujajumlisha na kupata jibu? Bado una Masters - uli develop proposal, ikapita, ikawa na objectives, research questions, methods, findings na conclusion. Lakini hili limekushinda hadi ulete hapa?
Mkuu umenichekesha sana hapo kwenye kudevelop proposal
M
 
Inawezekana kuna mtu anataka kuwagombanisha, nani anakaa na kondom used ndani tena aweke chini ya kapeti ambapo umeweza kuona wewe na mwenyewe asishituke. Cha muhim mpime afya zenu muendelee, ila mwambie unavomhisi ajue hlf ujue reaction yake. Ni ngumu kuanzisha uhusiano mpya wa kuaminiana iwapo hutafuti mzizi hasa wa kukuachanisha nae
 
usikurupuke kumuacha huyo binti jiulize kwanza alipataje ujasiri wa kuleta mwanaume humo ndani tena ni kwako, au kunamtu anawagombanisha tu kijanja. kama umeona ni wife material potezea hiyo kwa sasa. ila mchunguze kwa siri sana bila yeye kujielewa tena ongeza mapenzi asielewe. na muombe sana mungu akuonyeshe ukweli.
 
Back
Top Bottom