Niliomba kazi air hostess nikanyimwa

Niliomba kazi air hostess nikanyimwa

Majority ya ma cabin crew wa ATCL ni form4 l na pia uwe amesoma kozi yao ya mambo ya aviation, na upate leseni kutoka TCAA, Tatizo ni kwamba unaweza kuwa na vigezo vyote lakini huna Godfather sasa hapo uandike umeumia.
Kwanza ukuitwa kwenye interview shukuru maana wana bin maalum kama huna mtu barua yako ni straight kwenye bin. Barua nyingine zinapolelewa na watchman, kama yako imepokelewe na watchman andika umeumia hawana muda ya kuifungua
Hayo mambo yamepitwa na wakati kwani yamesemwa sana. Kwenye uteuzi wa kipindi hiki kuna wengi walioomba amba ni A level na wengine na graduates. Filtering ya candidates hao ilisimamiwa na vyombo vingi tu. Wacheni kugeneralise mambo. Kwenye kile chuo cha ATC kwanza ni open na pili siyo kigezo kikubwa kwani mwisho wa hizi interviews ndipo intensive cabin crew training hufanyika pamoja na mengine ya technical.
Uzuri siyo sifa pekee bali upstairs pia.
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Tatzo una sura ya kibungo
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Omba tena na tena na tena watakupa tu. Wait.. Kwani kuomba kazi mahali mwisho mara ngapi?
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Una tako???
 
Mzee hizo ni kauli za karne ya 17 hazina maana tena karne hii!

Hivi kuna binadamu gani anaweza kusema Kylie Jenner au Kim Kadashian ni wabaya?
Binadamu gani anaweza kupanda Flight za Emirates akasema kakutana na Air hostess wabaya?

Air Zimbabwe na Air Tanzania air hostess wake ni wabaya wengine wana mapua makubwa mamidomo mapana yani wana mapungufu hao hujawahi ona hahahahahahahahahahaha
OooQ Ndio mama zenu na dada zenu.
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Nitumie picha yako inbox.
 
Back
Top Bottom