Picha inawekwaje?Hebu tuweke picha yako tuku thaminishe
Ova


Uliomba Kazi na ukanyimwa je, uliweza na Kutoa kitu Kingine ulichokabidhiwa na Mwenyezi Mungu chenye Ushawishi wa Kimwonekana na Kimwili kwa Wapokea Maombi hayo ambao najua ni Wanaume watupu na wakashindwa Kukusaidia uweze Kupata hiyo Kazi ambayo inaonekana unaipenda na kuitamani hadi hivi leo Mkuu?
Haaaaaahaaaaa stress za kukosa kazi hizi unawaponda hao wadada kwani wao ndio walokunyima kazi?Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Unachura?Picha inawekwaje?
HaaaaaahaaaaaNitumie picha na CV yako PM Jumatano uje kwenye interview!
Halafu hawa wanaoamini kwamba ni wazuri kichwani huwa hazijatimia ndio maana katemwa!INAONEKANA HUO UZURI WAKO UNAUONA MWENYEWE NDO MANA WALIKUACHA
Huu uzi bila picture haunogiNiliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Air hostess ni bar maid wa angani.Baa yake iko juu mawinguni .Ukitaka kuwa air hostess unasomea madubwasha gani?
La haulaaaaa yaani uzuri tu wa sura?Mara nyingi kama unajiamini una sura nzuri ni rahisi kupata
Ili upate kazi hiyo unabidi uwe na wowowo na miguu ya bia! Sasa wewe umepigwa pasi na miguu ya tooth picks nani atakuajiri?Picha inawekwaje?
Kama umeshindwa kuelewa hilo basi hukupaswa kuchaguliwa. Ila kwa taarifa yako vigezo vinavyotumika siyo mvuto peke yake kuna mambo mengi ambayo huchambuliwa kwenye uteuzi wa kazi hiyo maana wengi wanadhani kazi ya air hostess ni kugawa vinywaji na chakula tuu. Ingekuwa hivyo, mbona mitaani wako wengi tu.Upstairs? Kwani tunaenda kufanya upasuaji kwa wagonjwa pale.
JE UNA MAKALIO MAKUBWA?Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
We unayo? MfyuuuuuuuuJE UNA MAKALIO MAKUBWA?
Leta picha na CV nikuweke kwenye mabasi ya KILIMANJARO TRUCK, tunalipa vizuri na utaolewa na mchagaa, wapenda maendeleoNiliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Jina lakoMara nyingi kama unajiamini una sura nzuri ni rahisi kupata
Labda ulipigwa ka swali ukajibu hivi hivi kama unavyomjibu huyu mteja? sasa sifa si umeshakosa? Umbo sawa- kauli siyoUpstairs? Kwani tunaenda kufanya upasuaji kwa wagonjwa pale.