Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,483
'Beauty is in the eye of the beholder'Kumbe hakuna cha kusomea 😝😝 sasa mbona air hostess wa ATCL hakuna mzuri hata mmoja yote mabaya
'Beauty is in the eye of the beholder'Kumbe hakuna cha kusomea 😝😝 sasa mbona air hostess wa ATCL hakuna mzuri hata mmoja yote mabaya
Ndo nashangaa, wanawake wanaanzaje kujitolea tathmini wenyewe wakati wahusika wanaume tupo. Njoeni mpite hapa, siye vifaa tutavijua tu hakuna haja ya kuleta maneno maneno mengi.B
'Beauty is in the eye of the beholder'
Ukiona hivyo jua hukukidhi vigezo.Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Njoo inbox kuna shirika hapa linatafuta air hostesNiliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
We unayo? Mfyuuuuuuuu
Barua yako ya maombi haikunifikia.
Air hostess wa Atcl wengi kichefuchefu, ukatimu wa kukremishwa, ukimsumbua kifogo anaonyesha mskucha, sijui kwanini wasijifunze kwa wenzao wa ndege zingine
Weka picha yako (full picture) ithibitishe ubora wako kwa hiyo kazi. Pamoja na hayo yote, kuna mahali ulishindwa kuisoma lugha bubu kwa macho (non-verbal communication) yaani ulizingua ukazinguliwa.Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Jane,Upstairs? Kwani tunaenda kufanya upasuaji kwa wagonjwa pale.
Jane usitukebehi wafupi..Mungu hapendi na ana makusudi yake ujue!Upstairs? Kwani tunaenda kufanya upasuaji kwa wagonjwa pale.
Ndo nashangaa, wanawake wanaanzaje kujitolea tathmini wenyewe wakati wahusika wanaume tupo. Njoeni mpite hapa, siye vifaa tutavijua tu hakuna haja ya kuleta maneno maneno mengi.
Sisi ndio wasaili. Uzuri na nguo zako nenda nao tunata wazuri juu na chini. PERIOD. Sasa sema uzuri wako uko wapi kuna second selection kwa AirbusWe unayo? Mfyuuuuuuuu
Majority ya ma cabin crew wa ATCL ni form4 l na pia uwe amesoma kozi yao ya mambo ya aviation, na upate leseni kutoka TCAA, Tatizo ni kwamba unaweza kuwa na vigezo vyote lakini huna Godfather sasa hapo uandike umeumia.Mambo siyo mvutu too bali upstairs kukoje?????
Ahaa kumbe wanatakiwa kuwavutia na wanawake wenzao, basi hao wanawake watakuwa wasagajiKwani abiria ni wanaume tu.
Labda umezeeka ndio maana walikutosaNiliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Food and Beverage service.Ukitaka kuwa air hostess unasomea madubwasha gani?