Niliomba kazi air hostess nikanyimwa

Niliomba kazi air hostess nikanyimwa

Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
UZI HUU BILA PICHA YAKO ,NI SAWA SAWA na mwanaume ambaye hajatahiriwa ..
 
Criteria wanazotumia kuamua nani apewe kazi za anmna hii ni mostly subjective based. Ni kama mashindano ya uzuri aka u-miss. Kila mwanamke anajiona ni mzuri kuliko wenzake na atashinda nafasi ya kwanza.
 
Walikuogopa shepu yako ni nzuri sana. Matron miajiri hataki warembo ndio maana tupo tulipo
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Sentensi yako ya mwisho inaeleza kwa nini ulipigwa chini. Hiyo kazi haitaki gubu, inataka tabasamu hata kama ukitukanwa na mteja.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
ATC.jpeg

Hawa wote wawili walinyimwa Kazi ATCL, wakachaguana wasukuma wafupi na wasio na mvuto, sasa hivi wapo kwenye makampuni ya simu , moja la vudaa na mwengine tyigoo.

Aliyeshika kiuno jina la nyumbani ni Manka na aliyevaa kivazi kizuri cha ufukweni anaitwa "Mkyekuu"
 
Attachments

  • ATCL.jpeg
    ATCL.jpeg
    7 KB · Views: 17
Sijapanda ndege internal toka Fastjet afungashe virago.
Siku nikipandw nitatoa tathimini
 
Tupiamo kapicha ili tufanye tathmini, hata kama siyo hiyo ya ndege tunaweza kukupangia kazi nyingine
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
sasa hao si ndg zetu...!ufupi si hoja!
 
Barua yako ya maombi haikunifikia.
Air hostess wa Atcl wengi kichefuchefu, ukatimu wa kukremishwa, ukimsumbua kifogo anaonyesha mskucha, sijui kwanini wasijifunze kwa wenzao wa ndege zingine
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
 
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni

Tuma Picha
 
Kujiamini na aura nzuri!!!
Unakosea sana..unaweza ukajoamni sana lakini katika makosa.
Jambo la mdingi ni kuifanya kazi kiufasaha, ukarimu na kujua mahitaji ya wateja wako
Mara nyingi kama unajiamini una sura nzuri ni rahisi kupata
 
Nilijilinganisha na air hostesses niliowakuta yaani hamna kitu. Wafupiiiii
Huenda hawajaangalia urefu wala uzuri wameangalia mtu alichosomea ukute wenye qualifiaction wapo yaaani waachwe uchukuliwe ww kisa mrefu halafu elimu ya unachoomba huna?! Ebu tuache kulalamika bila sababu
 
Back
Top Bottom