Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Tatizo huna chura!
unavojibu tu hapa inaonyesha kwanini hii kazi hukupata. kwani ukijibu hili swali vizuri unakatika wapiWe unalo?
unaona sasa, unapataje kazi na majibu kama hayaNnalo la kukalia
wanaangalia chura sema huwa hawasemi tukwenye hii kazi hawangalii chura kama wengi wanavyodhani kikubwa ni umri na elimu uliyopata kuhusu kuhudumu kwenye ndege, umri na ufaulu wako, mvuto na tabasamu pamoja na akili yako... sio unaogopa mende alafu unataka kufanyakazi angani.
Tatizo lako unaitwa Jane lowasa Hilo jina la lowasa likiisha ona hela basiNiliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni