Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
Je unaweza kuruka na parashuti??
DuuMzee hizo ni kauli za karne ya 17 hazina maana tena karne hii!
Hivi kuna binadamu gani anaweza kusema Kylie Jenner au Kim Kadashian ni wabaya?
Binadamu gani anaweza kupanda Flight za Emirates akasema kakutana na Air hostess wabaya?
Air Zimbabwe na Air Tanzania air hostess wake ni wabaya wengine wana mapua makubwa mamidomo mapana yani wana mapungufu hao hujawahi ona hahahahahahahahahahaha
Hapa Mimi naona tatizo NYOTA Kama vipi jaribu kuisafisha kulingana NA imani yako imesimamia upande upi! Namaanisha kwa MAOMBI kumuomba M/Mungu au kwa mgangaNiliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upishi na masaji
Inayo ila kwa Tanzania wanatoa mwisho Diploma.Hii kozi ina doctorate?
Upstairs ya nini. Kugawa vinywaji na vyakula kwenye ndege nako kunahitaji uwe vizuri kichwani? Hiyo kazi inahitaji ukarimu na kujua lugha ya kiingereza na kiswahili tu.Mambo siyo mvutu too bali upstairs kukoje?????
Kuvutia kwingine ni kupi?Kwani lengo ni kuvutia ki-ngono..?
We unaweza kuruka?Je unaweza kuruka na parashuti??
Nimeachwa wamechukua mbilikimo. KimewashukaaaaWhich means kichwan peupe, na hii ndio sababu umeachwa.
We unalo?Una tako???
Mbona wanasema we ni keusi hadi ukigusa mkaa unaacha finger printsNiliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Niliwahi kuomba kazi ya air hostess ATCL nikapigwa danadana hadi nikakata tamaa. Mvuto ninao tena urefu ninao. Sasa matokeo yake mnaajiri vijitu vifupi mnaishia kupondwa bungeni
Njoo huku uwe hair hostess wa mabasi ya Dar to KOLOMIJE.
Kuvutia kwingine ni kupi?
Ukitaka kuwa air hostess unasomea madubwasha gani?
Unanijua? Umeniona?hapa ndio fursa zinapo zijitokeza kukamata wajinga.ulikuwa wapi na leo hupo wapi.kama sio makumbusho stendi wewe
Unasomea kuhudumia wasafiri wa ndege....makorokoro na makorokocho yote kwa pamoja ni kukujenga uweze kutoa huduma hiyo kwa wasafiri wa ndege.Ukitaka kuwa air hostess unasomea madubwasha gani?