Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

kama wewe mwenyewe unamkubali yupo strictly na makini basi fresh tu mvulie kyupi au mchane live kama hauwezi kuwa naye
 
Ameoa ila yupo single kwa sasa, ile heshima ndio najiuliza haoni?? Akiwa namdogo wake ananiheshimu mdogo wake akisogeza tuu mguu anaanza kuniambia maneno yaajabu namimi najikaysha kama simuelewi sasahivi anaongea maneno makali kabisa hadi najuta

MPE KINYAMA UGOMVI HICHO...MTU MWENYEWE HATA HUKUKILIPIA SENTI MOJA UMEZALIWA UMEKIKUTA KIMEJAA.... MPE ZIGO HILO AJICHUMIE DHAMBI...UNAMUHESHIMU KAMA KAKA YAKO TUPA KULEEEEE.
 
"...Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana...."

Hivi ni nani aliyewafundisha Wanawake kuwa mtu unayemshimu hupaswi kuwa naye kwenye mahusiano?!
Kuheshimiana sio ndio jambo zuri na nguzo ya mahusiano?

Muwe mnatoa sababu nyingine hii imeshaanza kutuchosha
 
Ewe punguani, kakako ni yule mliezaliwa nae tu. Na hata hao kuna mikasa chungu nzima humuhumu JF kuwa wanafanya uasherati na dada zao.

Hata huyo dada'ke kakuchagua wewe uwe kitu ya kakake.

Punguani wahed.
Bibi shikamoo umempa ngumi nzito za uso
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
kwani ni ndugu yako aisee mpe papuche upate ndoa ya fasta
 
Iseee kweli niamini wanaume sio watu wakuaminika hata umuite kaka hata umuite baba tpuu
Loly, pole kwa maumivu. Huyu kaka anachotaka ni kukutumia au maisha? Kama ni maisha na unampenda yaendelee...lakini kama nikukutumia tu, akili mukichwa
 
Mim dada yangu alinitambulisha rafiki yake flani hiv ambae kumbe mama yangu na mama yake walikua marafiki wakubwa sana utotoni kipindi hicho sasa urafiki wa dada yangu na huyo binti ukawarudisha hadi kwa wazazi wetu maana walikuja kukutana baada ya binti kuomba kuja kukaa kwetu kusoma na dada yangu. Mama wa binti kumchunga mwanae ikabidi aje home kwetu akutane na wazazi wa dada yangu ili kufaham mwanae ataishi wapi na katika familia ya iliyojijenga katika misingi ipi. Hamadi anafika home uso kwa uso na rafiki yake kipenzi. Hio furaha ya hapo kila mtu humu atakua akiimagine mwenyewe nisielezee itakua ndefu. Kipindi hicho nasoma olevel Umbwe secondary moshi 4rm 2 dada anasoma Air wing sec Dar 4rm 2 binti yule rafiki yake anasoma Dar es salaam sec 4rm 2. Tangu kipindi cha 4rm 2 yule bint alikua akiishi kwetu isipokua likizo anakwenda kwao na wakati wa weekend. 2011 ferb wakati mim nasoma Advance Jitegemee na binti anasoma certificate chuo flani hiv nikaanza kumtoke kwa msemo wa loly. Hadi march 2011 ishu ikawa tayari na mpaka hiv sasa mim na yule binti ni mtu na mtu wake. Inshaallah mwakani mwezi wa 6 naamini nitafanya ibada ya ndoa na yule binti.



So wew mdada kuheshimiana kunahitajika wew ushamheshimu mpe nafasi hadi kafikia huko
dah airwing shule yangu.......ila story nzuri sana tumejifunza naamini kajifunza pia
 
Bwana wewe raha ya mwanamke na mwanaume kufahamiana ni kugegedana tuu...mpe utamu huo...kwanza kujisemea mugabe kwa nini ubanie shimo ambalo wee mwenyewe hujachimba
 
Back
Top Bottom