Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

usituletee u miaka 12 hapa kumheshimu ndio asikupende aumsipendane...tena huyosi ndio poakabisa...sio kaka yako wa damu usijifanye huyo kaka yako...kwenye mapenzi hakunamaneno mazito ndio kashakuambia amezimikia........au unataka mtu aje ambaye hujamsjua vizuri...unatuzingua kwanza ushampenda sema unaogopa tu....tangazaeni harusi tuje kula ubwabwa sie
 
Mim dada yangu alinitambulisha rafiki yake flani hiv ambae kumbe mama yangu na mama yake walikua marafiki wakubwa sana utotoni kipindi hicho sasa urafiki wa dada yangu na huyo binti ukawarudisha hadi kwa wazazi wetu maana walikuja kukutana baada ya binti kuomba kuja kukaa kwetu kusoma na dada yangu. Mama wa binti kumchunga mwanae ikabidi aje home kwetu akutane na wazazi wa dada yangu ili kufaham mwanae ataishi wapi na katika familia ya iliyojijenga katika misingi ipi. Hamadi anafika home uso kwa uso na rafiki yake kipenzi. Hio furaha ya hapo kila mtu humu atakua akiimagine mwenyewe nisielezee itakua ndefu. Kipindi hicho nasoma olevel Umbwe secondary moshi 4rm 2 dada anasoma Air wing sec Dar 4rm 2 binti yule rafiki yake anasoma Dar es salaam sec 4rm 2. Tangu kipindi cha 4rm 2 yule bint alikua akiishi kwetu isipokua likizo anakwenda kwao na wakati wa weekend. 2011 ferb wakati mim nasoma Advance Jitegemee na binti anasoma certificate chuo flani hiv nikaanza kumtoke kwa msemo wa loly. Hadi march 2011 ishu ikawa tayari na mpaka hiv sasa mim na yule binti ni mtu na mtu wake. Inshaallah mwakani mwezi wa 6 naamini nitafanya ibada ya ndoa na yule binti.



So wew mdada kuheshimiana kunahitajika wew ushamheshimu mpe nafasi hadi kafikia huko
 
Ewe punguani, kakako ni yule mliezaliwa nae tu. Na hata hao kuna mikasa chungu nzima humuhumu JF kuwa wanafanya uasherati na dada zao.

Hata huyo dada'ke kakuchagua wewe uwe kitu ya kakake.

Punguani wahed.
Duhh!!!
 
Ewe punguani, kakako ni yule mliezaliwa nae tu. Na hata hao kuna mikasa chungu nzima humuhumu JF kuwa wanafanya uasherati na dada zao.

Hata huyo dada'ke kakuchagua wewe uwe kitu ya kakake.

Punguani wahed.
Sjawahi kusapoti hoja zako humu ila leo umenena,kaka yako ni yule unayeshare naye baba au mama.sijui kwanini hawa mabinti hawalielewi hili
 
Ulivyoeleza inaonyesha unampenda,ngoja anyamaze hata week moja kama hujamfuata kwakwe ukiwa umeshika pichu mkononi
 
Mimi sio muhuni nakukubali kufanya tendo linalowahusu wanandoa tuu Mimi sithubutu hasa kwa MTU ninaemuheshimu kama baba, sasahivi huwa naona aibu sana nikionana nae nasiwezi kumkwepa maana ananisaidia swala flank ambalo lilishakuwa gumu kwangu
Kinyume cha heshima ni dharau, je utakuwa tayari/kumpenda unayemdharau?
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Mwambie hutaki
 
Hiyo heshima ya ukaka na udada weka pembeni tumeletwa kuijaza dunia, watu henzi wangeishi kwa fikra kama zako dunia leo mimi na wewe tusingekuwepo.
 
Masistaduu wengine bhana....we mpe kitobo hicho mdau ajipigie kiroho safi mambo ya udada kuheshimiana ni ya kifamilia zaidi so far we ni rafiki tu sio dhambi kumpa kaka yako wa kufoji.Usiishie kumpa naniliu tu mpe mpaka moyo,unavyo mheshimu ndio patamu hapo.
 
ooh just inabidi kuweka evaluation kabla ya kufanya maamuzi so inabidi ufanye unachopenda na sio kupenda unachofanya so zingatia hilo mwisho wa siku ni maisha yako soo.....
 
Back
Top Bottom