Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Mfikirie kaka ndo hivyo tena limoyo lake limekudondokea kama vipi nawewe unalidondosha la kwako halafu yanakutana.
 
we mkubalie tu wala ucwaze ugumu uliopo mbona yeye alikusaidia kwa moyo wote
 
Dah... Mficha sukari mwingine.. Sijui Makonda atumie lugha gani ili mumuelewe 🙂
 
Nimewai itwa kaka kaka kaka....ila hatimaye nilibadili hili neno nakuwa baby, sweet nk nakujilia tamuuuu.....ila huwa inasumbua sana heshima ikizidi.
 
ulio wapa wakapiga na kusepa, walikusaidia nini? mpe anae kushuri akugegede wewe! tena kama wewe nirafiki wa mdogo ake inaweza kuwa ndoa hiyo kuwa makini mwambie msifaye mpaka mpime sema ninavyo kujua tangulia kupima wewe kwanza maana unaweza kuta tayar ikawa aibu kwako!
 
Ila kama ameoa, achana naye aisee....ndugu yangu mm sikushauri hilo. Maana unafanya kitu ambacho hujapenda, ila kama mapendo yapo labda!!!!
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
kumbe mtu ukimuheshimu hawezi kuwa mchumba au mume au mkawa kwenye mahusiano ya mapenzi kuuumbe waliooa au walioko kwenye mahusiano ya mapenzi hawaheshimiwi duh ngoja nijifunze kwa hili na ndio maana kumbe watu wanachepuka kwakuwa no heshima. duh.........................................................................................................................
 
Ni sababu. Ww tuambie kama.upo single.ama una BF...ili tukushauri otherwise unataka tumlaumu mbaba wa watu hapa bila mashiko. Kutongozwa kawaida mbona.
Hilo suala.la heshima sijui nini lina mwisho wake yeye ameshaonyesha kukupenda kama.unampenda shikamana
mwambie mkuu maana Mwanamke kutongozwa suna kwani kila mtu aweke anavyotongozwa hapa nadhani seva zitajaaa
 
ndugu
kumbe mtu ukimuheshimu hawezi kuwa mchumba au mume au mkawa kwenye mahusiano ya mapenzi kuuumbe waliooa au walioko kwenye mahusiano ya mapenzi hawaheshimiwi duh ngoja nijifunze kwa hili na ndio maana kumbe watu wanachepuka kwakuwa no heshima. duh.........................................................................................................................
hapo huajelewa. ashasema anamke, sasa awe naye agundue nini? labda kama dini yake inaruhusu kuwa na mke zaidi a mmoja na bint aridhie.
 
MWAMBIE AKATOE MAHARI KWANZA KAMA ANAKUPENDA LA SIVYO ATAKULA KITUMBUA CHAKO NAKUPOTEA
 
Kwa sbb kuna msaada huwa anakupa na hii imemsababisha yy kuwa na nguvu ya kukutaka.
Hapo endelea kumzungusha tu na ukimwambia dada mtu atakushawish uwe naye ukizingatia wanataka kuachana na mkewe. Happ dada mtu lzma ampigie debe.
 
Nini? Siwezi kabisa yaani sithubutu na sitothubutu kitu kama hicho ili mwisho wake ijekuwaje sasa?
Na sifa zote ulizompa bado hutaki? By the way ukifikisha 30+ utamtaka.
 
Watakuwa kwenye stage nyingine saizi...mbona hajibu...!!
 
Kuna rafiki yangu mmoja alinikutanisha na kaka yake kama mwaka moja sasa kulikua kuna ishu flani hivi akaniambia kaka yake anaweza kunisaidia basi nikashukuru sana.

Uzuri alinisaidia kweli nikaka anaeonekana makini sana kwenye mambo yake.Na ni very strictly namuheshimu kama kaka kama baba naajua namuheshimu na ni mtu anayependa kunionya mengi nakunihasa sana huwa namuona nizaidi yakaka wakati mwingine.

Sasa chakushangaza sasa hivi ananitokea sikutegemea kabisa nasiwezi, nasitoweza, namuheshimu mno.Kila mara huwa nampotezea najifanya simuelewi .

Lakini yeye ndio kwanza yupo serious naogopa kumwambia rafiki yangu maana hataweza kuamini kabisa maana kama kukutana na totoz anawaona wengi na wala hana tyme.

Sasa leo hii nikimwambia sinitaonekana mzushi, nikijidai kumkaushia anakuwa mkali kwa mdogo wake ambae ni rafiki yangu.Hadi ananiamba kwanini kaka anakupigia hupokei amekwambia umpigie sasa.

Mimi naona aibu kwavile namuheshimu mno yeye ananiambia maneno mazito mazito kwenye simu naona aibu sana.

Hivi wanaume mkoje hamna cha dada kwanini msiwe na heshima mkiheshimiwa?
Usiwe na udhaifu wa roho,hebu fikiria kama asingekusaidia hilo jambo lako na huku ukiamini anao uwezo wa kukusaidia ungejisikiaje? Mpe vitu mwana wa mwenzio na ukumbuke ni dhambi kumnyima mtu kitu ulichonacho.
 
Ongea nae kistaarabu ikishindikana mwambie mbele ya mdogo wake jinsi unavyomchukulia la sivyo unawezwa bakwa sasa
 
Back
Top Bottom