Ulienda kwa mwanaume ambaye sio kaka yako kufanya Nini? Jamaa hana kosa, hata ungemshitaki usingeshinda kesi. Je ndivyo ulivyofunzwa kwenu kuwa mwanaume yoyote akija offisini kwenu kutaka huduma lazima uende kwake? Kimsingi ulikosa adabuKuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.
Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.
Ikatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee hapa nilibadilika nikawa mbogo, maana mimi sikujia hayo mambo iweje atake kunibaka bila ridhaa yangu kisa nimekuja kwake ndiyo aone kuwa nimekubali kila kitu.
Tulivutana sana hiyo siku nakumbuka, mimi hadi nimefura kwa hasira ndiyo kumlazimisha akanipeleka home maana ana usafiri wake, tangu hiyo siku nimetoka sijapokea simu yake wala kujibu meseji zake, nimemuona ni mwanaume wa hovyo sana tangu lini mapenzi yakalazimishwa? Mwache mwanamke akupe kwa kuridhia mwenyewe.
Uliona wapi swala kapita anga za Simba akabaki salama? Alichofanya kutaka game ilikuwa sahihi pia na uzuri umesema hakukubaka ikimaanisha bado alibaki kuwa mwema kwako.Mimi nimeshangaa sana huyu kijana kwanza anaonekana ana mademu kibao nikajua mimi atanichukulia kama mdogo wake tu loh! Kumbe alikuwa ananipigia mahesabu nikimaliza kula kitimoto anile na mimi
Alikosa utambuzi jamaa sio kaka yake. Kuna wanawake wanaenda nyumbani kwa mwanaume na asipochukua hatua za kujiongeza wanamsema vibaya kuwa yawezekana si mwanaume. Jamaa ni mwanaume halisi.Ulienda kwa mwanaume ambaye sio kaka yako kufanya Nini? Jamaa hana kosa, hata ungemshitaki usingeshinda kesi. Je ndivyo ulivyofunzwa kwenu kuwa mwanaume yoyote akija offisini kwenu kutaka huduma lazima uende kwake? Kimsingi ulikosa adabu
Kwa sisi ambao umri umesonga haya mambo ya taarifa yanachelewesha mambo. Ukikaribishwa nyumbani kwa mwanaume na ukakubali kwenda jiandae kisaikolojia kuwa kuna mawili kuliwa au kurudi salama. Na possibility kubwa ni kukulana tu hakuna swala la ustaarabu.Angenipa taarifa ya hilo tukio siyo kunishtukiza kama mke wake
NA wewe umekumbuka eeeeeh....Amekukumbusha mbali
Hakuna mwanaume serious anaweza kufanya upuuzi wa kumlazimisha mwanamke sexTatizo lenu Huwa hamjui kusoma wanaume. Huwa mnawanyima wanaowapenda kwa dhati na wenye malengo ya maana mnaenda kuwapa wajinga wajinga ambao mwisho wa sikunazaa na masanii yanayoishi maisha ya kuingiza. Ungempa tu huyo anaonekana alikuwa serious na alipnyesha viishara kwako ambavyo hukuvisoma
😅 Ushapata funzoAngekula ningelia sana na uzi nisingeuleta😂😂 nimekoma siendi tena kwa watu
hapo upate mwanaume wa pwani ndo tunauweza huo ustaarabu 😀Inabidi uiombe kiustaarabu kabisa
Ukiwa mbali ndoano hainasi kwa urahisi kuliko ukiwa karibu chambo kidogo tu kazi inaishaMshenzi sana huyu kijana kwanini hakuomba tangu sijafika si wenzie ndiyo huwa wanafanyaga hivyo
We naae. 😅😅😅Utadhani umeandika kitu cha maana
Niambie kipenzi. Yaani mtu kaenda mwenyewe geto halafu anajifanya haelewiWe naae. 😅😅😅
Kulazimisha Huwa kunakuja baada ya kujaribu all available options kwake kwa hisia na maneno kushindikana lakini moyo ukiwa unamsukuma kuwa ni wewe tuu.Hakuna mwanaume serious anaweza kufanya upuuzi wa kumlazimisha mwanamke sex
Sikubaliani na wewe kwenye hiliKulazimisha Huwa kunakuja baada ya kujaribu all available options kwake kwa hisia na maneno kushindikana lakini moyo ukiwa unamsukuma kuwa ni wewe tuu.
Hawa wasukuma na wakurya hamna kitu kabisa😂😂hapo upate mwanaume wa pwani ndo tunauweza huo ustaarabu 😀