hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,360
- 80,230
Imagine šKama haumpendi mtu usiende geto kwake. Hakuna urafiki wa watu walio balehe na mavuzeeeerrrr kibao
Imagine šKama haumpendi mtu usiende geto kwake. Hakuna urafiki wa watu walio balehe na mavuzeeeerrrr kibao
Huyo kaliwa hapa ana tupanga wanawake ni mafundi wa kuedit storykwamba unaenda kwenye chumba cha mwanaume na hujui anachohitaji? hukwendea hili? tangu lini mwanaume akawa rafiki wa mwanamke? never. pia, hivi unafikiri unaongea na watoto? kwamba tuamini ulitoka bure na akakupeleka kwa gari yake hadi kwenu. acha uzinzi, ni dhambi, itakugarimu, mpokee Yesu na uache dhambi au la ujinga wako hauna mwisho mwema.
Kmmk šššMe geto kwangu ni lupaso hatoki mtu
Isingewezekana ningepiga kelele hadi majirani zake waamkeSwali la kizushi. Kwa mfano ungeliwa (yaani jamaa angekunanihii) ungeleta hii mada?š
Wewe kwenye hiyo meeting ulimchangia Nini or alinufaika na Nini kwako?Isingewezekana ningepiga kelele hadi majirani zake waamke
KampaniWewe kwenye hiyo meeting ulimchangia Nini or alinufaika na Nini kwako?
Ungekua bikra Sawa sasa ushabutuliwa mara kibao na wajuba then unajifanya unamisimamo hapa. Nonsense.Kampani
Naomba nifuate processMshenzi sana huyu kijana kwanini hakuomba tangu sijafika si wenzie ndiyo huwa wanafanyaga hivyo
Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.
Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.
UKAMUAMIN KWA MARAINGINE AKUPELEKE TENA HOME?? huyo jmaa mpe tu n mtu mwema sana. Ningekuw mim ningepeleka gari kwa kasi mpaka utoe tuu.