Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Lakini na nyie mnazingua! Eti nilimuona kama kaka yangu au rafiki wa kiume ... nilienda anipe ushauri wa jinsi ya kujiajiri.... Mweeeh! Hakuna kitu kama hicho. Nyote mlizingua! Na yeye angekuandaa na kuchukulia fursa kutega nyavu akunase kimasihara! Ona sasa, kamwaga mboga, wewe ugali! Mmekosa nyote!😝
Huyu kaliwa
 
FB_IMG_17526888848131805.jpg
 
Pokea simu yake huenda iyo siku upwiru ulimkabia kwa juu .

Umeenda ghetto umekula na connection ya maokoto unataka for free ? Seriously! ungempa muungwana hata Ahadi ya chochote kitu .
Siwezi kupokea huyu ni mshenzi just imagine mtu anakwambia kesho nakununulia pochi uje basi nyumbani kuchukua kweli nirudi akanile kisa pochi, loh! Amenikosa
 
HAKUNA URAFIKI WA DHATI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE MMOJA KATI YENU AKILEGEZA MNAKULANA.

Uje ghetto kwangu, hata mimi nakusambaza.
Samahani na pole na ujifunze kuweka mipaka ya kazi,kama ni kazi na iwe kazi ofisini tofauti na hapo  UTALIWA tu.
 
Mwanamke kama huna nia ya kuliwa usiende geto la msela watu wana ugumu utakuja uliwe kote ushange balance

Hapo angekuheshimu zaidi kama ungesema tukutane sehemu tofauti na kwake sasa wew usha pazoea kwake ulitegemea nini?
 
Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.

Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.

Ikatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee hapa nilibadilika nikawa mbogo, maana mimi sikujia hayo mambo iweje atake kunibaka bila ridhaa yangu kisa nimekuja kwake ndiyo aone kuwa nimekubali kila kitu.

Tulivutana sana hiyo siku nakumbuka, mimi hadi nimefura kwa hasira ndiyo kumlazimisha akanipeleka home maana ana usafiri wake, tangu hiyo siku nimetoka sijapokea simu yake wala kujibu meseji zake, nimemuona ni mwanaume wa hovyo sana tangu lini mapenzi yakalazimishwa? Mwache mwanamke akupe kwa kuridhia mwenyewe.
Ungempa tu kidunchuuuu.
 
Back
Top Bottom