Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.

Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.

Ikatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee hapa nilibadilika nikawa mbogo, maana mimi sikujia hayo mambo iweje atake kunibaka bila ridhaa yangu kisa nimekuja kwake ndiyo aone kuwa nimekubali kila kitu.

Tulivutana sana hiyo siku nakumbuka, mimi hadi nimefura kwa hasira ndiyo kumlazimisha akanipeleka home maana ana usafiri wake, tangu hiyo siku nimetoka sijapokea simu yake wala kujibu meseji zake, nimemuona ni mwanaume wa hovyo sana tangu lini mapenzi yakalazimishwa? Mwache mwanamke akupe kwa kuridhia mwenyewe.
Unatusimulia tukusaidie nini?
 
Hapa ndipo nashindwaga kuwaelewa vijana wasasa ivi ulishawahi kuona mzaz wako akakuambia kua huyu ni rafiki yangu
Inakuwaje binti anasema anarafik wakike na mvulana nae anasema anarafiki wakike inatokea wapi hyo
Mkikutana kazin bac nyie mnakua ni wafanyakazi nasio marafik kwahyo mambo mnayotakiwa kuzungumza ni ya kazin na inatakiwa mida yakazi
Naamin kwenye hili utapata kuelewa
 
Hapa ndipo nashindwaga kuwaelewa vijana wasasa ivi ulishawahi kuona mzaz wako akakuambia kua huyu ni rafiki yangu
Inakuwaje binti anasema anarafik wakike na mvulana nae anasema anarafiki wakike inatokea wapi hyo
Mkikutana kazin bac nyie mnakua ni wafanyakazi nasio marafik kwahyo mambo mnayotakiwa kuzungumza ni ya kazin na inatakiwa mida yakazi
Naamin kwenye hili utapata kuelewa
Yaani nimeelewa na kujifunza siku nyingine sitarudia
 
Huyo mwamba ameponzwa na uzi wa rikiboy wa kula tunda kimasihara.
Huyo mwanamke ndio alikuwa mkatili...in short alikuwa akimkubali mwamba na hata kwenda kwake alitaka kuangalia life kwa ujumla kisha ammegee ... kama angekuta samani za bei ghali na mengineyo .Angetoa Uchi na kulala kabisa mpaka kesho yake ... Mwamba ni kwamba hakuwa na cha kushow off kwa demu akawa turned off . Big up kwa mwamba kajaribu.
 
Habari ndio hiyo na ndio code ambazo wanawake hushindwa kuzisoma kwa husband material na kuangukia mikononi mwa wasanii wasanii wasio na mbele Wala nyuma
Kwenye husband material nao ni wabakaji
 
Back
Top Bottom