Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Usirudie Hilo kosa ,hata wanawake Huwa nawaambia ukiwa umeolewa mgeni wa kiume akija sharti mumeo awepo ,kama hayupo usimkaribushe ndani.kama ni Binti au mke wa mtu usiingie kwenye geto la mwanaume,wanawake wengi wanabakwa kisha wanakosa ujasiri wa kusema kuwa wamebakwa,
Asante mkuu siwezi kurudia tena
 
Ulienda kwa mwanaume ambaye sio kaka yako kufanya Nini? Jamaa hana kosa, hata ungemshitaki usingeshinda kesi. Je ndivyo ulivyofunzwa kwenu kuwa mwanaume yoyote akija offisini kwenu kutaka huduma lazima uende kwake? Kimsingi ulikosa adabu
Nimejifunza sitamuamini tena mwanaume
 
Uliona wapi swala kapita anga za Simba akabaki salama? Alichofanya kutaka game ilikuwa sahihi pia na uzuri umesema hakukubaka ikimaanisha bado alibaki kuwa mwema kwako.

Tuseme angekuwa mtu katili angekulazimisha akakutafuna ungemfanya nini wakati wewe ndio umemfuata kwenye himaya yake? Nani angeamini kuwa umebakwa na si mtu wake wakati umekaa mmepiga mdudu pamoja?

Huyo jamaa ni mstaarabu sana tu.
Nimekoma siku nyingine sitapita engo za Simba tena
 
Kwa sisi ambao umri umesonga haya mambo ya taarifa yanachelewesha mambo. Ukikaribishwa nyumbani kwa mwanaume na ukakubali kwenda jiandae kisaikolojia kuwa kuna mawili kuliwa au kurudi salama. Na possibility kubwa ni kukulana tu hakuna swala la ustaarabu.

Kama hutaki kuliwa usiende nyumbani kwa mwanaume kutana naye sehemu nyingine ya wazi ambayo hawezi kukusogelea akihitaji atakuomba kwa mfumo unaotaka wa kistaarabu.

Hata sisi wanaume kama hatutaki kuwala ukitukaribisha nyumbani au mazingira ya kuwa peke yetu hatuji tunaikwepa appointment maana tunajua kichwa cha chini kikiwa sehemu private na jinsia tofauti kinavurugwa haraka.
Asante mkuu nimekuelwa siku nyingine sitarudia hili kosa
 
Sema nini, wanawake ni wabinafsi sana. Siungi mkono ubakaji lakini kuna vitu vizuri kakufanyia hapo lakini macho na akili yako wala haijajishughulisha kuviona.
1. Huna undugu nae but kakupa connection za kibiashara (this is according to u)
2. Kakupa chakula na muda wake tena nyumbani kwake, mkiwa 2 tu.
3. Baada ya wewe kumkatalia ombi/takwa lake bado umetoka kwake bila kukudhuru lakini bado akatumia fedha na muda wake kukupeleka kwako (kakupeleka kwa gari lake )
Kwa mujibu wa uzi hu, hiyo safari yako kwake ilikua ni kwa shida zako, I mean wewe ndio ulimuhitaji yeye kwa mambo yako na sio yeye kwako BUT still aliweza kutumia gharama zake kukufanyia hivo..., and I can bet, endapo angeacha kuwasiliana na wewe baada ya hilo tukio, is you ambaye ungechukia tena.
Open up your eyes and see, kweli kakukosea but kuna vitu kakufanyia vizuri tu and you didn't deserve but he did
Hayo mambo mazuri aliyafanya kwasababu alihitaji kunitafuna, na pia hiyo connection hata sikupata na kwasasa sitaki mawasiliano naye tena
 
Kumbuka wewe si wa kwanza kubakwa kuna wenzako wengi tu wamebakwa,ungemruhusu kijana ale tunda kimasihara ili comments za uzi wa kula tunda kimasihara zizidi kumea
Mapenzi ya kubakana siyo matamu, hata hivyo sijavutiwa naye anaonekana ni kijana kicheche
 
Alitaka kukubaka ukamkatalia kwa hasira halafu ukamlazimisha akupeleke home kwako kwa gari lake? naye akakupeleka na umesema alitaka kukubaka au alikubaka?
Ndiyo nilimkatalia na akawa ananizuia kuondoka, muda ukaenda nisingeweza kupata usafiri ndiyo akanipeleka na pikipiki yake
 
hii mbona kama ina sign zote, uliliwa .. unabebwaje hadi chumbani pasipo mwili kuwa flexible.. au basii 😎
Nilikuwa nagoma ila akatumia nguvu na nilivyofika chumbani nilifosi sana kutoka nikamwambia tuendelee kukaa sebuleni kule chumbani siyo sehemu salama
 
Kwani si mngeenda mhagawani au hotelini au bar mkafanye majadiliano.

Mtoto wa kike mtu mzima kabisa ubakubali kwenda geto kwa mwanaume asie ndgu yako, anakuahidi na chakula, na unakula.

Hukuwaza anaweza kukuwekea hata dawa akuzagamue kwa uhuru bila usumbufu.

Makinika binti.
Asingeweza kuweka dawa maana tulikuwa tunakula wote hiko chakula, nashukuru nimesha makinika
 
Back
Top Bottom