Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,092
- 285,760
Kuna tetesi uongozi mpya utafuta baadhi ya chaguzi zilizofanyika , sasa balaa zikiguswa hadi zile zilizokuleta kwenye hizo jumuiya ! ndugu Le Baharia ,Le Mutuz , Le Macheni Dah ! Majina kibao , usijipongeze kwanza subiri kidogo huu upepo upite !