Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

nimesoma nimefreeze na kitu nlichogundua watu wengi wamefreeze hata kuchangia wameshindwa nimeumia sana sana how can he?
katika vitu ambavyo vinaniumiza ni hivi nyie wanaume mkoje lakiniiii?????????????
nilikosea tangu mwanzo na sitaki kukumbuka, lakini jua alinirubuni nikiwa binti mdogo sana!
my dia dada una mtoto mmoja tu huna watoto 11 life is choice uamuzi ni wako japo hapa umekuja kushare na sisi kupunguza stress ila uamuzi ni wako hata biblia inakataza uzinzi
.
Life is about happiness.Tafakari chukua uamuzi nawachukiaaaa woooteeeee wanaokuambia uvumilie while unateseka gadamn
 
Ukiondoka tu ni kosa kubwa unaruhusu mambo mengine kutokea bora uwe mpole
endelea na huyo mtu wako ni majaribu tu hayo ambayo huyaoni yanaweza kuwa mengi
zaidi kuwa mpole
 
sasa kama mahindi yenyewe mabovu tena huyapendi, si bra kumuacha nyani ajilie tu

Kama bado anampenda na kumuhitaji uamuzu wa kuondoka hautamsaidia kitu labda kama anataKa kutengana naye moja kwa moja, ila asije kujutia baadaye.
,
 
kwani anatoa nguo hovyo barabarani? Kama anatoa nguo ovyo sehemu husika na kwa watu stahiki mi sioni tatizo. Kwani si kaamua bwana na mwili ni wake, je kama anatakar balanced diet ya sex afanyaje?
uHa jamani, mboo ni yake sasa why ikuumize akiri wewe? Kwani na wewe si una k yako bwana?

Ah hakuna jipya chini ya jua hili jamani

Ayanda punguza ukali wa maneno, jitahidi kutumia maneno mbadala tutaelewana tu.
 
kama bado anampenda na kumuhitaji uamuzu wa kuondoka hautamsaidia kitu labda kama anataka kutengana naye moja kwa moja, ila asije kujutia baadaye.
,

sasa atengane nae kosa gani kafanya jamani? Ndo tatizo la watu wengine, yeye amejipa raha tu na ataendelea kufanya hivyo mpaka atakapoamua kutulia na mkewe tu. Sijaona sababu ya kutengana hapa, problem ni kwamba jamaa kayafanya hayo ndani ya mazingira ya matrimonial home. Cha msingi next time aende gesti
 
nimesoma nimefreeze na kitu nlichogundua watu wengi wamefreeze hata kuchangia wameshindwa nimeumia sana sana how can he?
Katika vitu ambavyo vinaniumiza ni hivi nyie wanaume mkoje lakiniiii?????????????
My dia dada una mtoto mmoja tu huna watoto 11 life is choice uamuzi ni wako japo hapa umekuja kushare na sisi kupunguza stress ila uamuzi ni wako hata biblia inakataza uzinzi
.
Life is about happiness.tafakari chukua uamuzi nawachukiaaaa woooteeeee wanaokuambia uvumilie while unateseka gadamn

sio avumilie, achukulie powa. Mbona kuna wenye makubwa kuliko haya.
Chezeya ndoa wewe! Utalala hoi
 
Ondoka zako au subiri ukimwi,dunia ya leo sio kujifikiria kwenye hatari
 
Usiondoke, ukiondoka huyo bwana hana cha kupoteza. Wewe kaa kimya tu ndio dawa pekee. Pole
 
Ayanda punguza ukali wa maneno, jitahidi kutumia maneno mbadala tutaelewana tu.

read my signture utaelewa hutapata taabu na maneno mbayo hayana tafsida just click report abuse
 
Usiondoke, ukiondoka huyo bwana hana cha kupoteza. Wewe kaa kimya tu ndio dawa pekee. Pole

nyie watu have mercy please kwani aliyekuambia yeye mwanamke akiondoka ana cha kupoteza ni nani?????na kwa nini huyo mwanaume asiwe na cha kupoteza????how can he tolerate that ----ing bullshit kuweni na moyooo jamani come on
wanaume siku zote wanyanyasaji sana davina sikwambii uondoke ila take a break funga virago vyako ondoka na mtoto kapumzike kwanza ila usipochukua ction utadhalilika na kunyanyasika kila siku
 
Last edited by a moderator:
ondoka zako au subiri ukimwi,dunia ya leo sio kujifikiria kwenye hatari

ha ha kama ni ukimwi bas tayari anao mpenzi. Unadhani ile ndo mara ya kwanza kufanya?
Na nani kawaambia wahuni wote huwa wanapata ukimwi?
 
sikiliza wewe definitely wewe ni mwanaume na its time kuandika ukweli kuchangia kwa maandishi si kigezo cha kuandika uandikayo zaa mtoto wa kike aje akuambie hayo kisha mjibu hivyo au dadako yamkute hayo mpe ushauri huo.
nimekuchukiaaa vibaya sana
sio avumilie, achukulie powa. Mbona kuna wenye makubwa kuliko haya.
Chezeya ndoa wewe! Utalala hoi
 
ooooops khaa sijui umetokea wapi na wewe msalimie fp.ila wanaume wa kingoni hatareeeeeeeeeeeee weka mbali na tembo ,inawaka moto 24/7

Nivea salam lakini?
Hivi huyu kigogo mume wa davina ni wa kunyumba?

Huyo jamaa nadhani hakuutumia vizuri ujana wake sasa anakumbuka shuka kumekucha.
Ama la alipokuwa na umri wa ujana alikuwa apeche alolo sasa amezifumania ukubwani ndo anajiona kijogoo cha mjini. Pole bibie Davina nadhani umeshapata ushauri mwingi sana toka kwa wadau mimi hata sina cha kuongeza zaidi ya kukupa pole kwa maswaibu yanayokukuta.
 
Last edited by a moderator:
nyie watu have mercy please kwani aliyekuambia yeye mwanamke akiondoka ana cha kupoteza ni nani?????na kwa nini huyo mwanaume asiwe na cha kupoteza????how can he tolerate that ----ing bullshit kuweni na moyooo jamani come on
wanaume siku zote wanyanyasaji sana davina sikwambii uondoke ila take a break funga virago vyako ondoka na mtoto kapumzike kwanza ila usipochukua ction utadhalilika na kunyanyasika kila siku

lazima utakua single wewe? Mimi pamoja na ukichaa wangu wote, ndoa yangu bado nimeishika tena sitaki hata initoke dear! Kama kuondoka ndo suluhu hapa basi, i can assure u that, she will go back to her husband. Na mume pia atachanganyikiwa mkewe kuondoka lakini pia davina atachanganyikiwa pia.

Sijui mungu aliweka nini kwenye kiapo cha ndoa, watu wengi waliodivorce au kutengana akiri zao haziko fresh pia huwa wanapoteza focus fulani kwenye maisha na wengine huamua tu kuoa/kuolewa tena ila ni shughuli jamani.
Cha msingi, kue na strong factor ya kuvunja ndoa ambayo hapa sijaiona bado.

Nawakilisha
 
Miaka 7 kwenye ndoa mtoto 1 unategemea nini? Ndo anamtafuta wa pili hivyo! wasema unaogopa kusema kwa watu??..kwani hapa JF sisi ni Manyani eti..? nauliza tu husikasirike! hata hivyo Pole!
naamini kwa uwezo wa mungu mko wazima! napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm n mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia, kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo, , kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu) jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala, leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu. wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani
 
ha haha, Dr bwana; you caught me at my bad side. Lakini si nyie mnatuambia friction ikiwa kubwa kuna uwezekano mkubwa wa maambukizi?????

Ndo ukweli...na friction ni kubwa ukijifanya mjuzi wa 'hardcore sex'...lakini still, utelezi haupunguzi risk..kwani kama mwanamke ndo mgonjwa, vijidudu vyenyewendio vipo kwenye huo utelezi! All in all...safer sex is the condomized one, na hii ni challenge kwa wanaume ambao umri umeenda..kitu chenyewe tia-maji tia-maji, hata ukirescuscitate na Viagra...utavisha condom!?
 
Ukiondoka tu atakuja mwingine wa kuziba pengo, na akifanikiwa kuziba hilo pengo kumng'oa itakuwa ishu nzito balaa. Kuwa mvumilivu, mwombe Mungu akupe busara na amfungue ufahamu/akili mumeo maana tayari keshatekwa. Ufahamu/akili ukishatekwa kila mwanamke atakayepita "jamaa anasimamisha".
 
Back
Top Bottom