Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

pole,nina ku pm,hope ni swala raisi sana kulisolve,will advice,for i hav been solving cases of the kind.
 
sikiliza wewe definitely wewe ni mwanaume na its time kuandika ukweli kuchangia kwa maandishi si kigezo cha kuandika uandikayo zaa mtoto wa kike aje akuambie hayo kisha mjibu hivyo au dadako yamkute hayo mpe ushauri huo.
Nimekuchukiaaa vibaya sana

dear, am a married woman with two kids(boy & gal), nina kazi nzuri na degree nzuri tu. Kwa ujumla nipo comfortable kiuchumi na kijamii! Nimepitia changamoto za design hii pia kwa hiyo najua nachosema.

Sijaona sababu ya davina kuvunja nyumba yake. Period
 
ur right sijamwambia waachane nimemwambia apumzike soma comment vizyri kabla hujaandika.
Narudi
lazima utakua single wewe? Mimi pamoja na ukichaa wangu wote, ndoa yangu bado nimeishika tena sitaki hata initoke dear! Kama kuondoka ndo suluhu hapa basi, i can assure u that, she will go back to her husband. Na mume pia atachanganyikiwa mkewe kuondoka lakini pia davina atachanganyikiwa pia.

Sijui mungu aliweka nini kwenye kiapo cha ndoa, watu wengi waliodivorce au kutengana akiri zao haziko fresh pia huwa wanapoteza focus fulani kwenye maisha na wengine huamua tu kuoa/kuolewa tena ila ni shughuli jamani.
Cha msingi, kue na strong factor ya kuvunja ndoa ambayo hapa sijaiona bado.

Nawakilisha
 
Ndo ukweli...na friction ni kubwa ukijifanya mjuzi wa 'hardcore sex'...lakini still, utelezi haupunguzi risk..kwani kama mwanamke ndo mgonjwa, vijidudu vyenyewendio vipo kwenye huo utelezi! All in all...safer sex is the condomized one, na hii ni challenge kwa wanaume ambao umri umeenda..kitu chenyewe tia-maji tia-maji, hata ukirescuscitate na Viagra...utavisha condom!?

So kama mwanaume hajachubuka kutokana na 'slowjam sex' au sijui mnaitaje si kuna uwezekano kiasi hata kama mdogo asipate maambukizi kutoka kwenye utelezi wa mwanamke? Unlike mwanamke ambaye anamwagiwa????
 
hivi mwanamke aliyeolewa na watoto anaweza kuandika kama wewe???? soma michango ya wenzio walioolewa na wapo kwenye ndoa zao utaelewa namaanisha nini
dear, am a married woman with two kids(boy & gal), nina kazi nzuri na degree nzuri tu. Kwa ujumla nipo comfortable kiuchumi na kijamii! Nimepitia changamoto za design hii pia kwa hiyo najua nachosema.

Sijaona sababu ya davina kuvunja nyumba yake. Period
na nani aliyesema avunje ndoa yake????
 
Kaliripoti kwa wazazi wake kama hana basi ndugu zake wa karibu kwani ukiondoka utakuta mwana si wako.
 
pole kwa yaliyokukuta.kuondoka sio suluhisho, na hasa ukizingatia kuwa huyu bwana mmeishi naye muda mrefu.Kama hakuwa na tabia hii, imekuwaje tena? umeteleza wapi dada yangu?Kwanza ukikaa kimya ndiyo adhabu yake kubwa, kwa kuwa hajui unachofikiria kichwani kwako.na ungemtesa zaidi kama ungemwacha huyo binti akae hapo ili uendelee kuwaangalia bila kusema chochote.Subiri uone yeye kwanza atachukua hatua gani dhidi ya kosa lake.
naamini kwa uwezo wa mungu mko wazima!

napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm n mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia,

kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine
nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo,
, kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu)

jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala,

leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.
wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani
 
Yuko wapi lara 1 ana maushauri yake alitoa kwa uzi flani hivi kudaaadeki.. Haondoki mtu na kama nikuondoka unaondoka umejipanga sawa sawa .. Financially, emotionally n the like lolz.

.. Piga nakshi nakshi kwa sana, jipe raha, ignore maujinga yake, mkingonoka tumia ndom (kwa salama yako).Kaa mkao wa kuestablish ishuz za maendeleo kimya kimya.

Ukiwa unajipanga hivyo.. Tafuta suluhu either ya kushirikisha wazazi au viongozi wa dini (ukificha ili kumlindia heshima utakufa na tai shingoni wewe).
.. Kama haonyeshi kujali na kujutia anachokifanya unasepa zako kiulaini but unakuwa ushajipanga lolz..



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kumshitaki mume sio solution, sana sana unaongeza chuki ndani ya nyumba yako.kaa kimya bila kuzungumzia ulichoona, kama kweli mumeo bado anakupenda na aliteleza tu, ataanzisha mazungumzo ili utoe ulilonalo moyoni ili akuombe msamaha.ila ukishitaki kwa ndugu wataishia kumtukana, na hawana uwezo wa kumfanyia jambo lingine, halafu itakuwa aibu kwenu mtarudi nyumbani mmenuniana, huku nyuma watabaki wanawasema wote wawili
Kaliripoti kwa wazazi wake kama hana basi ndugu zake wa karibu kwani ukiondoka utakuta mwana si wako.
 
Nakushauri usiondoke shosti wangu ila kaa kimya wala usimmulize chochote hata kama ukimkuta yuko chumbani na mwanamke wewe kaa kimya yaani atajisikia vibaya sana ila ukiendelea kuongea nae atayazoea maneno yako atakua anafanya atakavyo. Ila jamani kuna swala la UKIMWI,na hii ni hatari zaidi sasa hiyo ni juu yako kusuka au kunyoa maana msije mkamuacha mtoto wenu yatima
 
hivi mwanamke aliyeolewa na watoto anaweza kuandika kama wewe???? Soma michango ya wenzio walioolewa na wapo kwenye ndoa zao utaelewa namaanisha nini
na nani aliyesema avunje ndoa yake????

ha ha ha ha ha wengine wanaandika what should be read na wanatoa michango mizuri but trust me, mi nipo ki-practical zaidi.

Bye bwana
 
maisha yenyewe mafupi, nawe tafuta wako kula raha achana na vituko vya huyo gubegube
 
ha ha ha ha ha wengine wanaandika what should be read na wanatoa michango mizuri but trust me, mi nipo ki-practical zaidi.

Bye bwana
bora uondokeeeeeee unanikera tu
 
Back
Top Bottom